THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

mambo ya gado

obama swearing in


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  John McCain was very graceful alipokubali kushindwa. Africa inabidi tuige mfano kama huu.

  Ni aibu mtu kama Gado amekosa cha kuchora na kuandika uongo. Kwa Wamarekani uchaguzi ukiisha, mshindi hupongezwa na mshindwa ana-appreciate' mshindi. Ndio maana Hilary na Bill Clinton walimpigia kampeni Obama.

  Gado hovyo sana.

 2. Anonymous Anasema:

  Nakubaliana na mdau wa kwanza. McCain alitoa hotuba nzuri sana wakati akikubali kushindwa. Ilikuwa ni hotuba ya mtu aliyekomaa na yenye kugusa hisia kweli! Alisema (tena kwa msisitizo huku akipuuza miguno na fujo za wafuasi wake) kwamba "Obama atakuwa raisi wangu na nitaendelea kuitumikia nchi yangu niipendayo na raisi wangu kwa moyo wangu wote" Obama pia aliusifia ushujaa na utumishi uliotukuka wa McCain kwa nchi ya Amerika na hasa misukosuko yake aliyoipata akiwa vitani. Kwa ujumla hizi ni siasa zilizokomaa na siyo kama zetu ambako mtu akishindwa anaanza kuleta zogo la kupinga matokeo au kuiba kura waziwazi. Sasa huyu Gado naye amejipigilia ugali wake na kimpumu huko aliko na anaruka na katuni ambayo haina kichwa wala miguu...Very demeaning!

 3. Anonymous Anasema:

  nakubaliana na mdau wa kwanza na pili!

  Gado usikurupuke mwana, ulionja ka komoni nini?au ndio ufinyu wa firka

 4. Anonymous Anasema:

  Gado umezoea siasa za Kenya na unajisahau ukafikiri Marekani ni hivyo hivyo. Nenda cnn.com kaangalie hotuba ya McCain, utajiona mjinga kwa katuni ulivyoitoa.

 5. Anonymous Anasema:

  Hotuba nzuri ndio ya Mccain, lakini kwa nini hotuba nzuri baada ya kushindwa. wakati mwanzo ilikuwa matusi ya nguoni kwa Obama.
  Soma habari hii ya Bill maher
  "McCain did make a classy speech last night. But, you know, they all make a classy speech when they lose. What else can you do?

  And it does ring a little less true when only a day before you're calling the guy a socialist, a communist, a terrorist, anti-Semitic, anti-American.

  Oh, we lost? He's a great guy. Forget what I said yesterday. Let's all get behind the guy I just said was a communist. Please."