Ushahidi wa kubebwa liverpool ni huu hapa:
/sport/football/article1897594.ece
Refa mwenyewe kakubali,
Michu wala usibanie wala nini.
Hii ni gobu ya jamii, imwage wadau wajionee wenyewe.
Mdau Helsinki
-----------------------
tatizo nyie mnaifuatafuata sana liva ndo mana mambo madogo kama haya mnayakuuuuuuza. ah! acheni hizo jamani. ndo gemu hiyo...
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mimi ni mpenzi wa bwawa la maini. lakini sipendezwi na mwenendo wao. Rafa bado ana kazi. naona hakuna striker. Keane bure.

    ReplyDelete
  2. Bwawa washazowea kubebwa siku hizi basi inakuwa tabu sana kujitegemea wachezaji wenyewe. Mtafika kweli?, wenzenu arsenal washaanza kuchemsha.

    ReplyDelete
  3. REF Martin Hansson has admitted he cocked up by saving Liverpool’s Champions League hopes with a last-minute penalty.

    The Swede — now being dubbed the new Anders Frisk — gifted Steven Gerrard an injury-time leveller against Atletico Madrid on Tuesday, despite a soft challenge from Mariano Pernia.


    And he allegedly told Swedish TV station SVT after the game: “From my angle, I am not convinced that it is a penalty but according to UEFA rules I’m not allowed to make any comment on specific match incidents.”


    The decision rescued Liverpool from a home defeat and prevented the Spaniards from automatically qualifying for the last 16.






    FLASHPOINT ... Gerro & Pernia


    Hansson seemed to make his decision after the linesman flagged.


    But defender Pernia blasted: “When we were complaining the linesman apologised to me for giving it.

    "That was when there was still time to take a step back from giving a wrong decision but he wouldn’t do that.


    “He actually said to me ‘sorry, sorry’. This makes you feel like there is a campaign against us because UEFA have closed our ground for one game, banned our coach from the touchline and now they’ve given a non-existent penalty to Liverpool.”


    “I call it non-existent because Gerrard threw himself on top of me. It should have been our foul.”


    Hansson is now being compared to Swedish official Frisk, who famously quit in 2005 after receiving death threats from Chelsea fans for sending off Didier Drogba in a clash with Barcelona.

    ReplyDelete
  4. Hakuna aliyekataa tumebebwa kwanza liverpoolfc hawasomi thesun gazeti hilo waliokuwa uwengereza Issa Michuzi usilisome kabisa ni Anti Liverpool kama Sir Alex alivyokuwa haongei na Sky tv na bbc sababu rooney anabebwa card nyekundu na mabao ya berbatov yanakuwa offside ila hatusemi mbona? hahaha.

    ReplyDelete
  5. marefa hao hao wameshawanyima LFC penati ama mabao halali kadhaa.hivyo sioni kama hii ilikuwa iwe kitu ya kutolea macho.the same goes to other teams too.kama siku ni yako basi hata goli la mkono ambalo hata kipofu angelio Refa anaweza kulikubali.au hata goal kick refa akalala kati.
    one of those things that a team has nothing to do about.
    yani msimu huu marefa wamekuwa na blanders kibao,alafu eti wana-demand RESPECT.pumbavu sana!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...