THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

swahili fashion week yaanza kwa kishindo

Mmoja wa mamodo akipita jukwaani wakati wa onyesho la
mitindo ya mavazi la Swahili Fashion Week lililodhaminiwa na kampuni ya simu za
mkononi ya Zain Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee hall Dar usiku kuamkia leo. Supa modo anayefanya shughuli zake Afrika Kusini,
Happiness Magesse, akipita jukwaani wakati wa onyesho la mitindo ya mavazi la
Swahili Fashion Week lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain
Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee hall usiku kuamkia leo

Modo akipita jukwaani wakati wa onyesho la
mitindo ya mavazi la Swahili Fashion Week ukumbi wa Diamond Jubilee
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa taarab, Bi. Kidude akitumbuiza kwa
kuimba huku akipiga ngoma wakati wa onyesho la mitindo ya mavazi la Swahili
Fashion Week lililoshirikisha wanamitindo kutoka nchi mbalimbali Afrika na
kudhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania kwenye wa kuamkia leo

Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  hivi michuzi unaelewa maana ya SUPER MODEL au unalitumia tu? Hapiness hajawa level ya super model yet

 2. Anonymous Anasema:

  Misoup
  Nimempenda sana huyo dada picha ya tatu...she has a beutiful body; she can play the game (fashion)for many years

 3. Anonymous Anasema:

  zile mbili za kwanza zimetulia, zina haiba. Kasoro kimtandio kfufunika mabega mbele ya wastahiki. Hii ya mwisho haikidhi viwango vya utamduni wa mswahili. Si uswahili kuonyesha sehemu hizo nyeti kadamnasi.

 4. Anonymous Anasema:

  michuzi nimependa sana hizi dizain,na nahitaji kujua who designed it and how i can get hold of 1,unaweza nijibu plz?

 5. Anonymous Anasema:

  JAMANI HAKO KAZEE SI MUTAKIMALIZA? SI KITAKUJA KUPINDUKA NA HILO GOMA NA KUJIFIA KWENYE STEJI?

 6. Anonymous Anasema:

  JAMANI MBONA TUDANGANYANA, SWAHILI FASHION NI LEBO ZA ZAIN KWENYE KILA NGUO...MBONA HATUONA MAMBO YANAYOENDANA NA "SWAHILI" KWENYE HIZO NGUO KAMA NGALAWA, MILIMA, WANYAMA, MISHALE, MINAZI N.K??!!!

  KWA NINI WASINGEITA HAYA MAONYESHO "ZAIN FASHION WEEK"???

 7. Anonymous Anasema:

  WAJUKUU WA BI KIDUDE ACHENI UVIVU, FANYENI KAZI ILI MMUUDUMIE BIBI, AMECHOKA SASA, LAKINI ANADAI WAJUKUU ZANGU WATAKULA NINI,NAMPENDA SANA BI KIDUDE LAKINI MWEEE ANASTAHILI KUSTAAFU, UMRI UMESOGEA SANA, BUSH QUEEN.