Home
Unlabelled
mpiganaji musendo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
``Ajali kazini`` ndio nini michuzi ? Si useme tu jamaa ni former editor aliekua found guilty of graft, rushwa, akafungwa kwa kosa la ufisadi! Unaficha nini Michuzi?
ReplyDelete``Upiganaji`` wake unakuja vipi sasa michuzi? Hebu tueleze.
Unakuwa kama na wewe unatetea tetea ufisadi, Watanzania tujifunze kuji-distance na characters zilizokuwa tainted with corruption. Ni sawa na Masha alipoenda kuwaona Yona na Mramba jela, nishai.
Mzee Zeph, Nakuona!
ReplyDeleteHappy Holidays to you and your family!
Du Side wewe kiboko. Kama watanzania wote tungekuwa mentali kama yako, ya kuwaogopa kama ukoma hawa convicted felons, basi watu wangeogopa kufanya mambo yatakayowapelekea kufungwa, kama ya ufisadi (mdogomdogo au mkubwamkubwa)
ReplyDeleteJAMANI JELA NI HATARI NA KUBAYA , HUYU JAMANI SIKU ALIYOTOKA JELA ALIKUWA MZEEEEEEE, LAKINI EBU MUONENI SASA NI KIJANAAAAAA. JELA SI MCHEZO.
ReplyDeleteYeah! Hata mimi nimeshangaa sana. siku ile aliyotoka jela alikua mzee sana. Nikazania ni kibabu cha watu. Leo naona yupo young yaani bado anadai kabisa.Jela sio mchezo.
ReplyDeleteNa Michuzi kaka yangu UKIURAMBA unapendeza kweli. Ungekua unavaa hivyo kila siku.
Ajali kazini mimi nilifikiri ameyakanyaga mawaya kumbe ni fisadi..Michuzi acha kukumbatia mafisadi na kusema ajali kazini. Kemea kama pepo mchafu. Ushindwe na ulegeee katika jina la bwana
ReplyDeleteMpiganaji natumaini hata Fisadi tena.
ReplyDeleteSamahani mimi ni mshamba kidogo hivi kwa nini hawa watu wa habari unawaita wapiganaji hivi ina mananisha nini? maana yake nikisoma baadhi ya article zako nakutana na mpiganaji ila anafanya kazi katika media. navyoelewa mimi wapiganaji ni kama wanajeshi. nahitaji ufafanuzi tafadhali najua kiswahili kinakua naweza kuwa naachwa. Natanguliza shukrani.
ReplyDeleteanonymous wa December 23, 2008 8:47 AM huko peke yako, tupo wengi tunaoshangazwa na matumizi wa neno wapiganaji. ona post ya wale waliozawadiwa kwa kutowa taarifa za conflict ya komoro. mimi nilidhani hao jamaa ni majeshi kwa jinsi post ilivyo ripotiwa!!!!
ReplyDelete