

HABARI ZILIZOINGIA SASA HIVI NI KWAMBA WASANII WA KUNDI LA VUNJA MBAVU LA THE ORIGINAL COMEDY WAMETUA JIJINI LONDON KWA ZIARA YA SIKU KADHAA NA LEO MCHANA WAMETEMBELEA OFISI ZA UBALOZI .
WAKIWA UBALOZINI HAPO WALIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUONGEA NA MHESHIMIWA BALOZI, MAMA MWANAIDI SINARE MAAJAR PAMOJA NA MAOFISA WENGINE WA UBALOZINI HAPO KUHUSU UTENDAJI WAO WA KAZI NA MASUALA MENGINE MUHIMU KWA JAMII.
HABARI ZAIDI ZA ZIARA HIYO ZITAFUATA BAADAYE.
NIMEFURAHI SANA KUWAONA KUA WAMETIMIA.. HONGERENI SAANA KWA KUJA KWENU HUKU LKN HUYO JOTI HICHO KIFULANAZZZZZZ CHAKE KISIJE KUMRUDISHA TAABANI
ReplyDeletenimefurahi sana kusikia kwamba hawa jamaa wapo UK hii,kwa kweli langu kuu ni kuwaomba watakapo panga ratiba ya kazi zao za kutuimbuiza na kuelimsha jamii basi sisi watanzania wa READING tunawaomba sana wafike hapa,kwani mbavu zetu zimepinda tunahitaji kuzirudisha kwenye khali yake.
ReplyDeleteKwa kweli tuanridhika na kazi zao kwani wanasaidia sana kutoa ukitimba kuke nyumbani mimi ni nafuatilia sana mambo ya nyumbani kwenye mitandao,sema na wao wameacha kutuwekea mambo kwenye mtandao tulikuwa tunawapata ila tunapata zile zile za zamani.
MTANZANIA KUTOKA READING.
It is unbelievable. Namuona muhaya majisifu kala pozi. Please mtakapoandaa show mkumbuke kuweka na show maalum kwa watoto. Maana watoto wetu nao wanawatambua kwa wazimu wenu.
ReplyDeleteMambo ya kimya kimyazzzzzzzzz!
ReplyDeleteNdani ya ngome ya malkia. Ama kweli riziki ya mtu iko kinywani mwa mtu. Karibuni sana hapa ndio kama mlivyosikia UK ya wote
huyu ndo balozi wa kweli yeye hupokea kila mtanzania, hana ubaguzi kabisa. safi sana mama hope wengine wataiga mfano wako.
ReplyDeleteThe comedy original na Masanja Mkandamizaji honegereni sana kwa safari ya London. Tunawakaribisha pia hapa Oslo. Kweli kikundi hiki tumekimiss sana kwa ule muda ambao walisimamisha show zao. Long live ZE COMEDY. Karibuni Oslo Norway, wadau tunawakaribisha sana. Japokuwa kuna baridi kali (Nyuzi joto -10oC)lakini kunakalika.
ReplyDeleteMdauzzzzzzz wa Oslo
Michuzi nimefurahi sana kuwaona hawa watu.....tafadhali sana tu update tujue kama watakuwa wanafanya show...lini na wapi
ReplyDeleteMdau Slough
Napenda sana kazi ya hawa vijana maana si kuchekesha tu bali kuna ujumbe ndani yake. Wadau tupo na tunashukuru kwa kuja kwenu ukerewe kutuletea burudani. Tuwekeeni ratiba mapema ili tuweze kupanga shift zetu fresh...big up....keep going.
ReplyDeletei real like them,naiman London wataburudika sana,Masanja hayo mabutu ka fidodido na wakuvwanga mbona kama anogopa anaangalia nini
ReplyDeleteNimefurahi sana kuona kuwa hawa wasanii wameweza kutoka nje ya nchi na kuja Ulaya kuonyesha vipaji vyao. nawashauri wajitahidi waweke kazi zao za usanii kwenye DVD ili wauze na mauzo yawasaidie. Hongera kwa wote na kila la heri
ReplyDeleteHeri ya sikukuu kwa Watanzania wote
Hongera kwa Commedy kutoka nje ya nchi, wajitahidi wawe wabunifu zaidi kuonyesha kipaji chao. Hongera kwa Jotti, tumeona ze Fulanazzzzzzzzzzz
ReplyDeleteMASIKINI KIKUNDI HIKI SASA KIMEJIKITA SANA KWENYE MIPASHO YA WATU BINAFSI BADALA YA VICHEKESHO KAMA HAPO AWALI, HIVYO KUJIPUNGUZIA UZURI WA VICHEKESHO VYAKE. KUTOKANA NA HALI HIYO KIKUNDI CHA FUTUHI KINACHORUSHWA NA STAR TV KIMEKUWA NA VISHEKESHO VYENYE UBUNIFU WA HALI YA JUU ZAIDI.
ReplyDeleteWHYY KWA NINI SEKI VIPI MBONA AONEKANI JE AKWENDA AU NDO YALE MAMBO YETU YALEEEE.
ReplyDeleteYaani nyie ze comedy mmeenda LOndon? Mmepata wapi tiketi na paipoti? Wizi mtupu. Haya na kwa huyo balozi maajar mmeenda kutafuta nini? Enzi za mwalimu msingeweza hayo hakuna kitu kama hicho. Wizi mtupu
ReplyDeleteUnachekesha wewe hao FUTUHI labda wewe ndo unawapenda wako DOROOOOOOOOOOOO wawachie wenzao fani yao kama FUTUHI imeshika kasi why?watu walikuwa wana kimiss Comedy mm naona ukalale tuuu UMETUMWA NINI?
ReplyDeleteWEWE NGO'MBE WAKO HAWAJARUDI ZIZINI NINI?(HILI FUMBO MUULIZE KAKA MJENGWA LA NGO'MBE WAKO HAWAJARUDI ZIZINI )FUTUHI NDO NINI?WANABOA ILE MBAYA HAWAJUI LOLOTE
ReplyDeleteAaah wapi! Anonymous wa Tarehe December 23, 2008 7:41 AM, Futuhi hawaoni ndani kwa Orijino Comedy - nadhani Orijino Comedy wapo juu sana ya Futuhi.
ReplyDeleteHahhahahahahahha nimekupenda wewe kweli Ngombe wake hawajarudi zizini tumwache Na Futuhi yake yy Futuhi wote Ngombe zao hazijarudi zizini kwa sababu Futhuhi ni Copy and Paste ,Ni Wez tuuu hao Futuhi Ujinga Mtupu
ReplyDeleteComedy:light and humorous drama with a happy ending. ze Original Komedi wanafit katika hili jina
ReplyDeletehawa FUTUHI wanajifanya kama wanatangaza taarifa ya habari kwa lafudhi za makabila fulani hawana vichekesho hao, wanaiga kitu wasichoelewa, comedy wanachekesha kwa matukio yenye kuendana na uhalisia. KOMEDI wapo juu sana _Robert Tabata Mangumi
Hahahahaha! Yaani nyie Commedy X-Mas yote hii mmetuacha kwenye mataa mmeona bora mkachukue hela za wabeba ma box! haya bana kilalakheri, tunawasubiri bongo mlete za ulayaulaya!
ReplyDeleteMdau migomigo
wapi zile raba mtoni milizovaa joti na masanja?
ReplyDeletehahaaha masanja visaaaaaa!!! anamuiga bi mkubwa hapo kukunja mikono hahaha mtizame Joti anavyomtizama bi mkubwa naona mpoki umetoka kiengereza kama POsh vile wa Essex UK. Baraka kaka na wewe umejiunga Orijino Komedi? hahaah. Mambo lainiiiii kama unanawaaaa tunabinya ki advocate sikuhizi wiziiiiiiiii mtupu. Enzi za Chachil kulikuwa suti na vikofia virefuuuu. siku hizi wiziiiiiiii mtupu maneno ya orijino komedi. Mwaipopo. mungu awazidishie juhudi orijino komedi.
ReplyDeleteHivi ww Joti ndo kumwangalia gani huko Mama Balozi katika picha ya kwanza!!!????
ReplyDeletekweli nimewakubali naona mnawaka,Mpoki kumbe madude (pambaz)unayajua safi sana.We Joti vituko sana.!!!
ReplyDeleteNimeleta comments zangu asubuhi ya leo na umezibania, lakini naleta tena nikiwa nimezichuja kidogo ihope utaziweka. comments zangu zinakwenda kama hivi: hivi comedians wa tanzania wanadhani comedy ni kufanya nyuso (faces) na kufanya visauti tu? ukiangalia clip za comedy zote hazina mtiririko, ziko bad written, zime aktiwa ovyo na punches ni ovyo kabisa, siamini watu wanawasifia. hawana talent yeyote ile.
ReplyDeletewe anony wa December 24, 2008 2:35 AM embu acha upuuzi. sikiza wewe kama umeona wanakosea ni vyema inamaanisha kuwa una fursa ya kurekebisha kwa kuanzisha ya kwako. na vile vile wana adress yao so watumie hayo mapungufu na siyo kuponda tu wakati wanakubalika.
ReplyDeleteHAHAHAHHAHA!LAZIMA NICHEKE KIDOGO KWANZA HIVYO NDIVYO HAWA WATU HUNICHEKESHA NILIPATA BAHATI YA KUKUTANA NAO NILIVYOKUWA LIKIZO BONGO WAKATI BADO WANAITWA ZE COMEDI NA NILIPATA KUONA VIPINDI VYAO ITV.TAFADHALI WAANDAAJI MSISAHAU KUTULETEA reading na slough,Leila
ReplyDeleteAma kweli nimeamini kuwa tenda wema nenda zako usingoje shukurani. hivi comedy ingefikia hapo ilipo kama sio huyo wanayemkashifu hii leo? Jamani kumbukeni mlikotoka. Hatukatai kuhama sehemu moja kwenda nyingine, lakini kashfa hazifai kwani kuna methali inayosema usitukane mkunga wakati uzazi ungalipo.
ReplyDeletewewe BLADI BASKUTI HAPO JUU eti futuhi wapo juu zaidi we umedata nini futuhi waliwaiga orijino comedy ila wamechemka sana. watz tunapendaga kuiga tuwe wabunifu jamani yani mpk kutangaza habari kuweka lafudhi za kilugha ahh futuhi mmezidi ila orijino mpo juu kuliko uwezo. mchezo wenu wa jana umenichekesha sana mpo mmevalia ki fadha xmas mpo ndani ya landani jamani mnawaka waka.
ReplyDeletePS:joti nimekupenda umeoa?
TATU MASHAKA