pamoja na amri ya serikali ya kushusha bei ya mafuta kuanzia leo jumatatu, na kinyume na matarjio ya wengi, hadi globu ya jamii inaenda mitamboni bei ilikuwa kama zamani. inasemekana wamiliki wa vituo vya mafuta walikwenda asubuhi ya leo kuonana na uongozi wa mamlaka husika yaani EWURA lakini matokeo ya mkutano huo bado hayajapatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. huku texas gallon ni $1.19

    ReplyDelete
  2. SASA HICHO KIBURI WANAPATA WAPI CHA KUKAIDI MAAGIZO YA CHOMBO HUSIKA HALALI CHA UMMA, MAYBE HUMO MUNA HISA ZA WAKUBWA NA MAFISADI, HATA HIZO NCHI ZA KIPEPARI KWENYE SOKO HURIA HUWA WANATII AMRI ZA VYOMBO HALALI HUSIKA NA WAKIKAIDI HUWA SERIKALI INATIA MKONO WAKE, HUNYANG'ANYWA HATA LESENI NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.

    ReplyDelete
  3. Gallon ndio nini? Tukueleweje sasa sisi ambao hatutumii gallon? Au unafikiri hii blog ni ya Wamarekani. Ni bora useme KISADOLIN au KIDUMU utaeleweka.

    ReplyDelete
  4. Ndo mambo ya soko huria...kama serikali inataka kupanga bei basi ipange pia na bei ya manunuzi kwa hayo makampuni ya mafuta. Vinginevyo serikali itafute namna ya kufidia gharama za manunuzi kwa makampuni ya mafuta ili bei uwe nafuu kwa consumers.

    ReplyDelete
  5. Naomba kujua gallon moja ni sawa na lita ngapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...