THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

EASY TV THAT IS EASY AND AFFORDABLE TO ALL

ANTENNA YA KAWAIDA

EASY TELEVISION
DIGITAL TV WITH NORMAL ANTENNA
EASY TO ENJOY

*UNAPATA CHANNEL ZA TANZANIA 
*UNAPATA CHANNEL ZA KIMATAIFA
*GARANTII YA MWAKA MMOJA
*NZURI SANA KWA FAMIIA, SALUNI, DUKA NA SEHEMU ZINGINE 

*HUHITAJI KUTUMIA ANTENNA KUBWA WALA DISH,
 ANTENNA NDOGO TU TOSHA

*UNAPATA KITABU CHA MAELEZO KWA LUGHA YA KISWAHILI

*UNAPATA CHANNEL 40!

*UNAPATA DECODER NA SMART CARD KWA TSHS 180,000/- TU!

*UNAONGEZA 20,000/- YA FUNDI KUJA KUKUFUNGIA

*UNALIPIA TSHS 10,000/- TU KWA MWEZI KWA KUTUMIA VOCHA

*MWEZI MMOJA WA KWANZA BURE


DECODER

DEKORKRAFT 
SIMU:  +255  777 070 605
DAR ES SALAAM

DUKA LIPO: BENJAMIN MKAPA TOWERS
                    MTAA WA AZIKIWE (USONI PA POSTA MPYA)
                    GHOROFA YA MEZZANINE (JUU YA STUDIO YA  PHOTO POINT)


CHANNEL ZINAZOPATIKANA
 
ZA TANZANIA KWA MASAA 24

TBC, STAR TV, PULSE, CHANNEL TEN, ITV, EATV, TV TUMAINI, TRENET, C2C, 
********************************

ZA AFRIKA 13 KWA MASAA 24

KBC-KENYA, NATION-KENYA, KTN-KENYA, CITIZEN-KENYA, TV MALAWI, UBC-UGANDA, AIT-NIGERIA, ZNBC-ZAMBIA, TPA-ANGOLA, RTNC-KONGO KINSHASA, TV MALAGASY, MBC-MAURITIUS, CRTV-CAMEROUN
***********************************
ZA KIMATAIFA 7 KWA MASAA 24

VOA, RUSSIAN TODAY, TV5, ABC, CCTV-9, DW-TV, UJALA-DOCUMENT

HABARI 5 MASAA 24

BBC WORLD NEWS, ALJAZEERA, NOW NEWS, CNN, EURONEWS
***********************************************
MAISHA (LIFESTYLE) MASAA 24

LIFESTYLE ZIKO 2, MUZIKI ZIKO 2, DINI ZIKO 2, LUXE, FASHION, B4U MUSIC CHANNEL. 3ABN, MUSLIM


Kuna Maoni 26 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Gharama za mwanzo za kujiunga ni kiasi gani? Melezo ni marefu na yanaeleweka. Weka gharama watu wavutiwe zaidi.

 2. Anonymous Anasema:

  kaka hapo sawa ila kitu kimoja regtration fee ya mwanzo ni ngapi mbona hujaweka kaka umeweka ya mwezi elfu kumi tu.ahsante kwa info nzuri.

 3. Anonymous Anasema:

  Kama hakuna TVZ mimi sinunui

 4. Anonymous Anasema:

  Na kwa sisi wenye digital tv.ngarama yake kiasi gani?

 5. Anonymous Anasema:

  GTV nyingine hiyo mi walaaaa..! Bora nibaki na kiantena changu cha chadema..!

 6. Anonymous Anasema:

  hizo area zinaitwa miba ya samaki hahahahaha

 7. Anonymous Anasema:

  Hawa Easy TV wanajitahidi, hawajaanza muda mrefu na wanajitahidi sana

 8. Anonymous Anasema:

  sasa kama hakuna channel zenye SOCCER nani atanunua?

 9. Mawazo Anasema:

  Je kuna mkataba wowote kati ya mteja na provider ikitokea kama GTV? Nini kitakachomlinda mnunuzi? Secondly, your amount is abit higher, would you please lower the price so that more buyers should come up? Thats alot of money for a normal Tanzanian. I should suggest it is not an EASY TV as you describe it...make it for the poor not for the rich!
  mupozile@yahoo.com

 10. Mliakuvana Anasema:

  Someone is getting desperate! Hawa jamaa have been around for quite sometime now, ni waChina na this is the first time naona wanajiadvertise namna hii! Hawa jamaa come rain, cloud cover or sunshine yakwao inadunda tu bila ile michirizi ya DSTV, na antena yao looks like a normal one kama zile za Sonnet (sio kama hii iliyopo hapo juu)

  Interestingly, hiyo Ujala-Document is actually the Discovery Channel, na kwenye NTV-Kenya wana ile show maarufu ya "The Unit".

  NOTE: Hao walioadvertise hapo juu sina uhusiano nao ila nina experience ya hii system through other channels.

 11. Anonymous Anasema:

  Namshauri huyo jamaa kama anataka kufanya biashara ahakikishe chanel za nje zinazopendwa na wengi ziwe nyingi zaidi kama za sport kali: Star Sports(zote), E(ya South Africa), ESPN na MTV(za Amerika) SABC 1-3, Aljazeera 2-4, MBC 1-5, Dubai Sports, ukiweka hizo kisha ukaongeza na za kidosi zinazopendwa kama: Zee TV(zote), Sony, B4U(zote), utakamata watu wote wadosi na wamatumbi, wapenda burudani na wapenda sports, kumbuka soka inalipa zaidi si unaona Zenji DSTV mwenyewe kakimbia! cable Tshs 10,000 unaona mpaka Premier League wakati wao 100,000 nani atawataka!

 12. Anonymous Anasema:

  vp mikoani una branch kama mie nipo tanga inawezekana???

 13. Anonymous Anasema:

  Kama haijatamkwa AFRICAN MAGIC (movies za west Africa) kwangu hakitaeleweka

 14. vavanana Anasema:

  nawashauri hawa jamaa wapuguze bei kwani kwa sisi wamatumbi ni kubwa sana na ili aweze kupata wateja wengi zaidi.Vipi kuhusu chanel za football?

 15. Anonymous Anasema:

  Mimi naomba namba ya simu ya kueleweka hiyo iliyowekwa kwenye advert sidhani kama ni namba ya Tanzania achilia mbali Dar es salaam.Pia ni maoni yangu kuwa hiyo 180,000.00 ni nyingi sana ukizingatia aina ya channel zinazopatikana(hazina mvuto kabisa)at least wafanye 100,000.00 tu.

 16. Anonymous Anasema:

  Hii kitu ina potential sana, hawa jamaa watakuja kunyanyuka sana, just a matter of time

 17. Anonymous Anasema:

  Malalamiko si uungwana, kama wewe huendi channel fulani si ununue hizo zingine ngebe za nini oohoo hazina mvuto umejuaje kama unayo si ukauke? samahanini mimi sijafundishwa kastama kea! cash money unapata bidhaa tuache maneno mingi.

 18. Anonymous Anasema:

  DILI CHANNEL ZA SPORTS NYINYI SIO MNAWAEKEA WATU CHANNEL KIBAO ZA AJABU MTU ANAJIKUTA ANAPENDA KUANGALIA MBILI TU NDIO ZENYE MAMBO YA MAANA.

 19. Anonymous Anasema:

  easy tv poa iko clear sana

 20. Anonymous Anasema:

  stesheni zote zimeorodheshwa lakini mbona TVZ zanzibar hamna au haipo tena,zu imebadilishwa jina kuuliza si ujinga jamani

 21. Anonymous Anasema:

  Balozi wa nanihii. Hivi hawa jamaa wapo? kuhusu suala la gharama vipi? au itakuwa unawafanyia promo! tusaidie sisi wengine maana mpira tutaendelea kuuona kwenye Glosari. Tupe zaidi Mkuu wa wilaya.

  Kuna tetesi za kampuni nyingine kama GTV kuja? au do mambo ya Bongo fake news!

 22. Anonymous Anasema:

  I beleive not all channels are available as advertised I got the same but I do not get AIT, ZNBC, TPA,RTNC,MBC,

 23. Anonymous Anasema:

  Mimi nimenunua dekoda ya Easy tv na garanti yake ni ya mwaka mmoja ukipata matatizo yeyote watakubadilishia dekoda lakini cha kushangaza dekoda yangu imeleta matatizo ya kupoteza picha nikaipeleka huko mwenge kuangaliwa nimepeta usumbufu mpaka yule muhusika wao ukimpigia simu kutaka kujua dekoda yangu kama imerekebishwa hapokei simu tafadhali waambie hao watu waboreshe huduma kwa wateja wao au watakosana na watu na kama mtu ukipata matatizo na dekoda zao na bado upo kwenye garanti basi wakubadilishie

 24. Anonymous Anasema:

  Wekeni EPL TV na Chanel za uarabuni zinarusha mipira pia Wekeni Chanel ya African Magic, E TV, ESPN etc

 25. Unknown Anasema:

  Niko tayari kununua ila tuone soka wrestling na golf tafadhali

 26. Anonymous Anasema:

  Mimi nimenunua king'smuzi cha easy tv ila baazi ya chanel zipo lkn hazionyeshi km itv,star tv,chanel ten palse,capital,tumain,east africa,c2c na nyingine sijui tatizo nini my no 0717414336