Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. SASA TUNAHITAJI MAPOKEZI MAKUBWA SANA KWA TIMU YETU ILIYOONESHA ULIMWENGU KUWA SASA TANZANIA NI MOTO WA KUOTEA MBALI KIMPIRA. LICHA YA KUFUNGWA LAKINI KIWANGO CHETU NI CHA JUU SANA KULIKO TIMU ZILIZOFUZU KUENDELEA NA MASHINDANO AMBAZO VIWANGO VYAO NI VYA CHINI SANA.

    ReplyDelete
  2. Huyo mchawi Yanga waende naye mechi inayofuata, kama watafanikiwa kushinda ndipo Maximo apewe ushauri huo.

    ReplyDelete
  3. hahahahahaaaaahahaha.masudi fala sana wewe.sisi yanga sio wachawiiiiiii

    ReplyDelete
  4. Mchawi wa Yanga alikuwepo ila ile mechi ilishindikana. Ilihitajika kafara.

    ReplyDelete
  5. weweeeee! wacha longo longo comoro kunaendeka mchawi? wao wenyewe magwiji kwa mambo hayo, hiyo mechi hawakuimaindi la sivyo mngelishwa 7x7 mkashindwa kubeba! unawajua au unawasikia? uliza uambiwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...