mrembo wema sepetu akipewa pole na rafiki yake baada ya kuachiwa kwa dhamana leo mahakamani kinondoni anakikabiliwa na shtaka la kuharibu gari la mwigizaji steve kanumba. mrembo huyu aliyepata kuwa miss tz alikuwa rumande toka wiki iliyopita baada ya kukosa dhamana alipofikishwa kizimbani kwa mara ya kwanza
mama mzazi wa wema sepetu akisaidiwa na nduguye wa kiume ilibidi watumie nguvu wema aondoke nao wao na sio rafikiye ambaye alifika hapo mahakamani















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 96 mpaka sasa

  1. Kiruh!Huyu msichana ni m-baya kweli kweli!Yaani bila make-up hakuna kitu kumbe, chaah! Halafu nina wasix2 ana behave kama mtu aliye logwa hivi.....kumtema mzazi hivi!something is wrong, not normal!.

    ReplyDelete
  2. This young lady needs help! But without an inner felt-need of seeking serious rehabilitation into normal life, band aid efforts and cheerleading won't cleanse her of what seems to affect and hurt her!

    Wema's unbecoming and debasing attitude and behaviour expectations are only symptoms of deeper hurt feeling injected by hostile environment on that otherwise young soul!

    The good thing is that Wema's mother is by her daughter's side. Don't lose hope, Mama!

    Are you getting the message?

    Mzungu

    ReplyDelete
  3. Jamani, huyu mtoto anahitaji msaada wa kitaalamu na wakaribu asije akaharibikiwa zaidi! She is on the road to self-destruction and all this is probably a call for help.

    ReplyDelete
  4. Kumbe makeup zinasaidia. Na huyo kijana mbona anakuwa kama kamshiti?

    ReplyDelete
  5. huyu dada anaonekana sio mzima,anahitaji msaada haraka sana!

    ReplyDelete
  6. Hakika mrembo huyu ,anitaji huduma ya Neno la Mungu,hakuna lishindikanalo kwa Mungu.
    Pole sana Wema,lakini ni wakati wako kumrudia muumba wako.

    ReplyDelete
  7. wezere wesela jamani mambo ya malavi dai mkuu
    hii kwani wema si ni mtu mzima mbona anaingiliwa sana kwenye mambo yake hivi na hawa watu wa magazeti na nyie vyombo vya habari acheni unafiki kwa maisha ya watu binafsi
    michuzi wewe mnafiki unwaonea wanyonge tu mbona vgogo huwakashifu na kuwaandika vibaya hapa kweny blog yako
    kuwa fairmdau wewe

    ReplyDelete
  8. Jamani anko Hashimu ya wenzio wa kamati ya Tanzania, kuna kila sababu ya kumsaidia huyu binti, Laiti kama Wema asingekuwa Miss TZ asingefanya ahaya anayofanya kwa sasa, ni vema kabisa washiriki wa miss TZ waelimishwe vya kutosha kuhusu nafasi yao katika jamii ya kitanzania baada ya kipindi chao cha umiss. Kina kitu kinapungua katika kamati yenu "pyschiologist" .
    Kifupi sio Wema pekee ambaye anashindwa ku-behave ipasavyo baada ya mhula wake, kashfa kibao zinawakabili washiriki wengine wa nyakati tofauti hasa matumizai ya madawa ya kulevya esp Bangi, Alcohol abuse etc , namna hii mnatunyima raha sisi wazazi hasa inapofikia mabinti wanataka ku-explore opportunity tofauti tofauti za maisha yao.

    Mdau, Tabata Senene, D'salaam TZ

    ReplyDelete
  9. Hivi huyu mtoto ana matatizo gani jamani?????????? kwenda kumtia mama yake aibu kiasi hiki maana yake nini? Ahh jamani watoto wengine sijui hata wakoje jamani. Khaaa

    ReplyDelete
  10. Ukitaka kujua kama demu yuko bomba umwone akilia.

    ReplyDelete
  11. Michuzi,naruhusiwa kusukutua?

    ReplyDelete
  12. Inasikitisha mno, mdada mzuri lakini tabia 0%! Kazi kwenu mnaokimbilia kuoa sura!

    ReplyDelete
  13. Kwa hiyo hako ndo ka-mme kake? tobaaa

    ReplyDelete
  14. da kweli kila kitu kina mwisho wake,inaonekana huo ndo unaweza kuwa mwisho Bi.Wema.Pole kwa yote yaliyokukuta bibiye!

    ReplyDelete
  15. Ni usichana/utoto 2 unamsumbua.akikua ataacha.

    ReplyDelete
  16. kudadadeki jela haina mwenye makosa asiye na makosa. mwanamke au mwanamme jibaba au sio jibaba jimama au sio jimama tajiri au sio tajiri mungu atunusuru na hizo sehemu tizama Wema alivyochoka kabaki KOMO tu! angeachwa mwezi basi mapele,

    pole dada muwe mnajifunza ushauri kwa T.I.D au wapeni wenzenu ushauri ugomvi si mzuri unaweza kumpiga mtu ngumi kumbe siku yake yakufa unaenda ndani bure. Mzalendo.

    ReplyDelete
  17. pole Wema Mungu akuwezeshe kupita salama katika kipindi hiki kigumu.kanumba kajidhihirisha kwamba ni mtu mwenye roho nyepesi na sio ya kiume.
    u deserve second chance binti hakuna aliye kamilika hapa duniani .LEARN THROUGH YOUR MISTAKES still you hv a bright future in your modelling carieer .

    ReplyDelete
  18. The soft center.....Soft center is something that can happen to anyone who is just ordinary. You think alright, and your making a big success in your life, that you have all the confidence, ambitions and determinations to bit the best, sudenly, the hard core that is in you to get anywhere in this life turn SOFT...that is what has happened to you Wema. (James hadley Chase) By Mzee wa shoka(TX)

    ReplyDelete
  19. kaka michuzi tunaomba utuwekee hiyo picha ya gari iliyoharibiwa na Wema ambayo mmiliki wake ni Kanumba.

    ReplyDelete
  20. Nasisi waafrica tumezidi kama demu anaumri miaka 18 Bado MAMA anatumia nguvu,Ni wakati wa maneno sio nguvu

    ReplyDelete
  21. Ila kana sura mbaya!!

    ReplyDelete
  22. Unajua bongo watu wengi wana matatizo ya akili ila watu wanawaita wana tabia chafu. Huyu msichana ana matatizo ya akili nahitaji medical and physcical attentions. Magazeti/watu yanavyozidi kumuandana na ndivyo yanayozidi kumuharibu zaidi. Kwa kumuangalia tu nadhani ugonjwa wake ni beyond sexual addiction.

    ReplyDelete
  23. wewe anony 10:31 pm, acha kashifa kwa waafrica mtoto kwa mama hakui au unataka tuwe kama hao wazungu wanaolala na watoto wao? kama huna chakuandika nenda kabebe box.

    ReplyDelete
  24. Dah yani now I love Wema more than ever , umetuonyesha unajua Kupenda big up my beautiful Miss Tanzania, no matter what they say ..u rocks baby .

    Kanumba ur a looser , utamshtakije demu tena Mrembo , huna uwanaume wowote wewe , masikini tuu , ungekua na hela unge mu igonore mrembo huyo na kujilipia hako kakioo chako cha Mkokoteni wako .. Mwanaume halisi hapigani na demu na kumpeleka police na nimesha Boycott movies zako toka leo!

    ReplyDelete
  25. Thumbs up to the justice system in Tanzania, Dar! Its about time that no matter who you are if you have done wrong then you are subject to be disciplined. Hivi watu mtaheshimiana. That is Justice! I also was happy to see TID put through the same system. Things will begin to change in this country!

    ReplyDelete
  26. WEMA NI MTOTO MZURI SANA ILA KANUMBA ANAJARIBU KUMJENGEA PROPAGANDA WEMA!ALIVYOKUA NAE WEMA ALIJENGEWA TASWIRA NZURI SANA KWA JAMII ILA BAADA YA KUACHWA KANUMBA ANAJARIBU KUMPANDIKIZIA PROPAGANDA HUYU BINTI!!KANUMBA LIMBUKENI WA MAPENZI!!BADO ANAMPENDA HUYU BINTI NA NDIOMAANA ANAJARIBU KUMFANYIA VIOJA!BIG UP WEMA UNAWAFUNDISHA MABINTI NA VIJANA WA KIBONGO REALLUV INAVYOTAKIWA KUWA

    ReplyDelete
  27. ww hapo juu JUMBE nini mbona unafagilia uchafu

    ReplyDelete
  28. Kanumba hayo usoni ni chunusi au majipu. tumia Proactiv Solution acne treatment....

    ReplyDelete
  29. AMUONE DR.MANENO TAMBA AFANYIWE DUA MAALUM AU APELEKWE PEMBA WAKO WATU MAALUM WANAWEZA KUMSAIDIA AMEHUSUDIWA.ATOE SADAKA SANA MAMA YAKE.AU AENDE MLINGOTINI BAGAMOYO YATAKWISHA HAYA.

    ReplyDelete
  30. LAKINI HAYA MAONI YANAONEKANA KAMA AMETUMA MTU MMOJA NINA MAANA KWAMBA HUYU ATAKUWA NI STEPHANE KANUMBA TUU AMEJARIBU KUTUMA MAONI TOFAUTI ILIIONEKANE HUYU DADA HAFAI KABISA, LAZIMA TO FIND THE UKWELI JAMANI KISA CHA KAARIBU ILO GARI.

    KITENGO CHA UTIFITI MANSESE!!!

    ReplyDelete
  31. heh!NASHANGAA..... SHE IS ABOVE 21 I GUESS. I DON'T SEE THE REASON WHY THEY ARE FORCING HER. SHE CAN CHOOSE WHOMEVER SHE WANTS TO LEAVE WITH.....BUT IF THEY KNOW THAT THE FRIEND IS A SUPPLIER- ....YEAH KICK HIM TO THE CURB

    ReplyDelete
  32. du! pole dada wema,hayo ni matunda ya kujichukulia sheria mikononi,kama una bifu na mtu then tumia akili vyema maana hasira zitakupotezea heshima yako katika jamii-unavuna ulichopanda.pole!

    wewe anony wa 12:58AM,kumpenda kwako Wema ni kivyako,hapo ni mambo ya sheria kuchukua mkondo wake,kwasababu ya urembo wake ndiyo atoke mapembe! hakuna kitu kama hicho,usimlaumu Kanumba kwa hilo maana yeye hana Lupango yake-ni serikali na sheria.kama ni huko ku-ignore kwako kwavile demu amekufanyia mbaya,ni udhaifu wako binafsi,uta-ignore mangapi?..kwenda zako!umeongea pumba!
    sijasikia kama Kanumba alipigana na Wema kama ulivyoandika,kwenda zako huna mpango kabisa! awe Wema ama wewe ukijifanya unakomaa kijinga ama haribu mali ya mtu-lupango tu,ama na kipondo juu! nyambafu!! hatuangalii makunyanzi...-mdau.

    ReplyDelete
  33. She iz an idiot..anyw wadau wa sanaa tuwasaidie Beauty contests, Models and Role models as wel..kamati ya Miss Tz ndio nothing kabisa sijui wanachokifanya.Wanawachukua dada zetu kwa wazazi wetu wanashiriki beauty competitions then ending yake alwayz inakuwa pabaya sio kwa Wema Sepetu wapo wengi...i knw each and everything in this bloody game,but i dnt wana b a talkertive the thing ni kuwajali,kuwasaidia then kuwapa opportunities as wel...Watanzania tuache gossip na chuki kwa celebrities na watu wote wambao wapo juu...fair enough tujitume kila kitu kinawezekana...Mdau UK

    ReplyDelete
  34. nyinyi mtasema sana.Wema ni demu mzuri kuliko hta mademu zenu,nyinyi wabeba maboksi na security.
    nathani kila mtu anakosea.Kanumba alichofanya sio.huyo aliwahi kuwa demu wake ni utoto umesumbua sana huyo kanumba ndo amechanganyikiwa.
    pole wemu.wew mtoto mtamu sant tu hata wabeba maboksi waseme nini.kwanza hwana lolote.
    mdau-cal

    ReplyDelete
  35. Wewe anon wa Tar. March 06, 2009 12:58 AM, Je ingekuwa ni Kanumba kampiga Wema unafikiri ingekuwaje? Kanumba si angekuwa straight anahukumiwa,si unajua issue ya kumpiga mwanamke tanzania. Inaonyesha Jamaa hakuta mengi, kama wema aliona ushawishi wa huyu wifi yake ni wa maana kwenda kumfanyia fujo alipokuwepo kanumba, hii ndio faida yake. Na sidhani eti "uwanaume" unapimwa kwa kufanyiwa fujo na kunyamaza, kuharibiwa vitu na kunyamaza,...nk.Au kuwa na hela (ingawa kanumba hajawahi kutangaza/kusema kuwa yeye ana hela kama ulivyodai kuwa "ungekuwa na hela") sidhani inapimwa kwa kuharibiwa mali zako na ku-ignore. Maana kama ndo hivyo basi kuna wenye akili kama za huyu wengi tu wangekuwa wanaharibu au kufanya fujo kwa wanaume eti kwa kigezo kuwa "siwezi kufanywa kitu". Acha mamiss wenye tabia ya kudhani kuwa sheria huwa iko chini ya urembo wao wapate fundisho. Ninavyohisi hii kesi jamaa huenda ataifuta tu sidhani kama itaenda mpaka mwisho, ila FUNDISHO ni muhimu kwa huyu dada na wenzake wenye tabia kama yake. Cha muhimu huyu dada ni kubadilika na kuishi kama binadamu wenye akili timamu, anahitaji ushauri wa hali ya juu mno kutoka kwa wataalamu, sidhani huku ndo kupenda kulivyo,wangapi wanapenda na wanapitia njia sahihi na si kuwa-ignore wazazi wao kwa kufunga ndoa kinyemela? Ina maana ukipenda ndo usahau hata fadhila za wazazi? Zaidi ni wa kupewa pole na anahitaji maombi na ushauri wa kitaalamu huyu dada.Sijaona la maana alilofanya la kuigwa na wana jamii kwa maendeleo.

    Mdauz JP!

    ReplyDelete
  36. Kanumba you do not take somebody you share an intimate moment to police, please grow up!! and learn to solve issue like that as gentlement.

    Wema go back to your TRUE SAVIOUR nothing is impossible to HIM.

    ReplyDelete
  37. Jamani Wema unatutia aibu warembo wenzio!!hii ni nini sasa unaonyesha jamii,ulikofika ilikuwa ni mbali sana!!sasa unataka kurudi wapi,ni vizuri kufikiri kabla ya kutenda itakusaidia kukuepusha na mambo mengi mabaya

    ReplyDelete
  38. Kanumba kiio cha Rav 4 hakifiki milioni moja kama unavyodai,isitoshe wema aliwahi kuwa mpenzi wako,na mbona umuaibishe hivi,remember there is tomorrow,jifunze kusamehe kaka,kwani wewe Mungu amekusamehe mara ngapi?yameshatokea,puuzia tu!!!

    ReplyDelete
  39. kamejiharibia kishenziii kugombana na wanawake shenzi taipu mwanaume mzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi kugombana na mafadafa.hili bado linampenda huyo wema kwa hiyo linaona wivuu tuuuuuuuuuuu
    na wewe wema MR BLUE ulimuacha wapi yote yasingekupata mtoto wa watu kakuimbia mpaka wimbo.

    ReplyDelete
  40. I believe kanumba alitaka kumkomoa tu, RAV 4 ya kanumba inajulikana, haiwezekani price ya windscreen yake ikaw milioni, ni around 180,000 to 250,000 uliza pale Gulf Glass centre au popote. Kama ingekuwa brand new tungeuliza price ya Toyota tanzania.

    Lakini na wewe binti si utulie kidogo, lakini ndio matatizo ya mtu akishinda mnampa gari hammpi hele ya maintanance anaishia kuwa kuharibika ili ajikimu

    Mhhh mjomba, nikipata nauli ntaenda kumnong'oneza

    ReplyDelete
  41. We Anony wa 12:58 usichanganye udhaifu wako kwa Wema na masuala ya sheria, yeye kama kavunja kioo iweje aachiwe? acha ushamba wewe, Demu ndo ashitakiwi?, inaonekana we ni DOMO ZEGE, nyie ndo mnaokimbizwa speed 120 na wanawake, halafu unaposema utaboycott movies za kanumba unashangaza, maana copy unazonunua hata 3 hazifiki, so it is immaterial. Kama huna cha kuongea kaa kimya.

    Kibajaj

    ReplyDelete
  42. kanumba napenda sana movie zako ila sikujua wewe ni mshamba kiasi hicho jamani...umeniboaaaaaaaa na ndo maana lady jay dee alisema alidhani washamba tu ni wale wanaotoka shamba kumbe na mjiiiiiiiiiini wapo kina kanumba..wewe utamfungaje demu kwa kioo cha shingi mbili? tene mtoto mdogo? ni njaa au..yani umenikera

    ReplyDelete
  43. SOMETIMES PARENTS ARE RIGHT TO STOP THEIR KIDS FROM CONTESTING MISS COMPITIONS, EXPOSE TO ARTIST/CELEBRITE MEDIA WHILE THEY ARE UNDER AGE. SHE WAS SO YOUNG.

    ReplyDelete
  44. kwa kweli Wema anahitajimsaada,nasiokumuona hafai ,ichukulie huyo ni ndugu yajo sijui kama mngeongea vibaya juu yake ,tuwe na huruma na wenzetu sio washabiki wakipatwa na matatizo.Leo kwake kesho kwakohuwezi jua nani kwenye familia anaweza kufanya vituko vya kuzalilisha familia ,Nampa pongezi mama Wema, usikate tamaa mama, Wema atabadlika tu

    ReplyDelete
  45. Kwa Kweli Wema anahitaji Msaada na hatupaswi ku

    ReplyDelete
  46. Wewe anonymous 12:58 acha ulimbukeni!!!!! Unakosoa ukweli na kutetea ujinga. Kwanza ulimbukeni wako tu unaonekana kwenye lugha ya kiingereza uliyotumia kwa kuparamia. Mfn. unasema ...u rocks baby. U ni plural na hivyo ungetakiwa utumie rock na sio rocks..Mara nimesha boycott movies zako...yani hueleweki afu ndio wewe unataka kufundisha njia sahihi ya kuishi,..wapi na bwana...
    Yeyote anayemtetea wema kwa kitendo alichofanya ni MJINGA na hatumhitaji kwenye jamii yetu ya wastaarabu.

    Angalia hata America kwa waliopinda bado ujinga wa namna hii huwa hauvumiliki. Muandalie DMX yuko gerezani sasa kwa kosa la kutesa mbwa,

    Nenda UK utamkuta mumwe wa yule dada aliyekuwa mshiriki wa big brother uk na mtangazaji mahiri amehukumiwa kifungo kwa kumpiga dereva tax. Mike tyson naye aliwahi kupata kash kash, Steve Gerald naye anakesi, Mwanamitindo anayerock kikweli Naomi alipata kash kash kwwa kumpiga hg na simu, na wengine weeengi.

    Sasa ww limbukeni unataka kutushauri eti tujaribu ujinga??No, bado elimu haijatushinda. Ndo maana nakushauri uende shule ujifunze na lugha.
    Eti kisa ni miss tupindishe sheria. Miss kitugani bwwana, miss bongo? aha!!

    Big up Kanumba kwa sababu uwezo na sababu za kumpiga wema ulikuwa nazo siku ile ila ukatumia akili yako ukaenda kushitaki kwenye vyombo husika.

    Hii iwefundisho kwa Dudubaya na wenye manguvu wote kama Tyson kutumia vyombo vya dola na sii miili yao. Baunsa Wema sepetu pole na naimani nextime hutorudia.

    ReplyDelete
  47. huyu Kanumba anajiona superstar sana , Behave like a man!! Umefaidika nini Wema kulala lupango ? Ungekuwa suprstar usingedai kioo polisi. Kumbuka ulikotoka na jifunze kusamehe itakusaidia

    ReplyDelete
  48. mwana umleavyo ndivyo akuavyo, na samaki mkunje angali mbichi, wale wanaosema kwama wema anamtia aibu mama yake la hilo nakataa kwani inaonyesha dhahiri kuwa wema alipewa kila alichohitaji kutoka kwa wazazi wake iwe zuri au baya na ndio maana aliweza hata kwenda kuishi kwa rafiki zake bila ridhaa ya wazazi wake, mama Wema alikuwa wapi wkati mwanae anapelekwa segerea? kwa upande wa kanumba kweli jamaa ameonyesha ulimbukeni wa hali ya juu, haya ni maswala ya mapenzi yangeweza kumalizwa nje ya mahakama, na hii ni dhahiri kanumba hakuwa tayari kuachwa na wema na ndio maana akamkomoa, sikuwahi kujua kama kioo cha RAV4 kina thamani ya milioni moja!!!!. wanaodai kamati ya Hashim isaidie labda lkn wazazi wa Wema especially mama hakutakiwa kuonyesha jamii kuwa mzigo wake mwenyewe memshinda. ashirikiane na mwanae sio kumfungia ndani kama alivyokuwa akifanya na ubabe badala kukaa kama watu wazima na kukubaliana kama ni huyo jumbe anayemtaka basi na amuhalalishie akishindwa basi si alitka mwenyewe. mtoto akililia wembe mpe.

    ReplyDelete
  49. Kanumba unanishangaza ,ulipat demu mzuri sijui mmefanyana nini mkaachana ,kwnanza huendani na wema ..... wema ni mzuri ,tena anatitle ni MISS TANZANIA....ulipta tu bahati kua nae au uliona tabia ya wema ni opportunity kwako kua nae ,lakini unajua wazi kua hamuendani ....kwanza wewe sio handsome umekaa kama msomali mchovu alienusurika kwa vita huko somalia ,kwa kweli huna mvuto ,huna pesa .

    Anyway ingawa mapenzi hayachagui lakini hamuendani....ASTAGHAFIRYLLAH

    ReplyDelete
  50. kanumba ushamba huo umekujaa...kioo cha tsh 160,000 tena kipya unakwenda kumzalilisha demu ambaye uliwahi kuwa na mahusiano naye tena ya kimapenzi.....aibu hii ni ya kwako mjinga wewe...huna akili za kidunia.

    ReplyDelete
  51. Kanumba hayo usoni ni majipu au matako?

    ReplyDelete
  52. Pamoja na kuwa wema anasemwa vibaya yet anao uhuru wake,kweli huyo mnayemuita KANUMBA ..kwa mtu yeyote msomi anajuwa wanawake wapo emotions....sasa kumuweka ndani mwanamke ambaye ulishapata kumtumia hadi ukachoka sembuse mwanamke yeyote si vema,tena kwa kupiga kioo chako jiwe .thats a monor..kwa sisi wanaume unaacha tu ....unless kama aliyekufanyia fujo ni mwanamume mwenzako ..hapo nisingeona ajabu!!

    kuna wanawake wakiwa provoked wanaweza hata kuvunja kila kitu ndani,wengine wanuwa hadi watoto na kujiuwa[that is very psychological -ndio walivoumbwa]..ndio maana tunaaswa tusiwe na hasira za kike..ni mbaya[kanumba ameonesha ana hasira za kike]
    mara nyingi sisi tulioenda jando tumefundiswa kuignore ugomvi na mwanamke....kwani unaweza kumpiga bure,atakuchania shati,kukutukana ....dawa yake ni moja tu ..ondoka ukapate moja baridi moja moto...rudi baada ya siku mbili utakuta amenywea[mwanamke apigwi au hatakiwi kufanyiwa unyama]

    TATIZO LINGINE NI HAWA MISS TANZANIA ...WANATAKIWA WAFUNGULIWE KESI ZA MADAI ..KWANI WAREMBO WENGI WANAOPITA MIKONONI MWAO..HAWAANDALIWI KUISHI MAISHA BAADA YA PALE..TUJIULIZE KWA NINI HILI TAJI LINAKUWA KARAHA BADALA YA RAHA KWA MABINTI ZETU///?......HUYU mrembo baada ya kushinda ilibidi aahirishe kwenda chuo malaysia lakini baada ya muda kwisha hakutaka tena shule,inamaana kama asingeshinda angesoma na angekuwa na kazi yake..sasa miss tanzania watuambie taji lao linasaidiaje binti zetu???...hata ambao wameendelea kidogo ni kwa juhudi zao ..ie hoyce temu et...wengine kina basilla..sijui hata wanafanya nini...

    ReplyDelete
  53. we kanumba mshamba tuu na wewe kupata kausuperstar kidoo basi shida ya nini kugombana na mwanamke?rav4 gani ya kioo cha mil 4..we fala sana nimekuchukia saaaaaaaaana kanumba hun ahaya mwone na machunus yako kama ngoz ya chura.huna lolote ulitaka umaarufu.afu we mamake Wema ndo nini kila mtu kumuonyesha mwanao kakushinda?kama amempenda Jumbe mwache wewe ungechaguliwa nzee Isack Sepetu ingekuwaje kila mtu ana uhuru wa kupenda anachotaka.
    Pole Wema u still hav chance bby...

    Kanumba uozo mrupu jamani kila siku wewe tuu huoni haya?jiheshimu kama Ray mwenzio tatizo ulimpenda wema sana ndo mana imekuuma..shenzi type..

    ReplyDelete
  54. mimi nakubali wema ana makosa kujichukulia sheria mkononi,na tatizo lake na mama yake nadhani yanakuuzwa na vyombo vya habari kuandikwa kila siku,ni tatizo ambalo lipo katika familia nyingi kwenye jamii yetu,ni vizuri wema na mama yake na wanafamilia kukaa kumaliza ilo tatizo bila hivyo huyu binti atachanganyikiwa na mnamwalibia maisha,na wewe wema acha ukaidi mdogo wangu unawapa watu faida sababu sio kila mtu anakutakia mema.ila kanumba ndugu yangu sikujua kama wewe ni mshamba wa maisha sababu kioo cha rav 4 akiuzwi million moja unamkomoa huyo binti,kumbuka una washabiki wengi wa filamu zako ila kwa ili unalolifanya kama utotumia busara kulimaliza utajishushia heshima kwa sababu japo amekupa hasara ungemshit na kukubali kulipwa nje ya mahakama na kumaliza tatizo,usingepungukiwa kitu na zaidi ungendelea kuonekana mtu mstaarabu na mfano mzuri kwa jamii na ungekuwa juu zaidi.ila ujachelewa unaweza kufuta hii kesi na utajijengea heshima ndugu yangu acha kushindana na huyu binti ni mdogo sana hajui maana ya maisha na ndo mana anadiriki kushindana na mzazi wake alomleta duniani, japo nashauri mama yake aache kutumia nguvu labda ndo kinamchanganya wema.

    ReplyDelete
  55. Nimesoma maoni yote lakini nahisi wadau wanapomponda Kanumba, Kanumba mwenyewe au mpambe wake yaani namaanisha ni mtu mmmoja ndio anajibu haya maoni.
    Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Kanumba unafanya upuuzi na pale unapokosea kubali kusahihishwa maisha yaende mbele.
    Mlipokuwa wapenzi mara ngapi umetumia mwili wake kwa starehe zako?Inaonyesha bado unampenda.Pili wewe ni star katika jamii unaifunza nini jamii maana chanzo hatukijui na zamani inasemekana mlikuwa wapenzi.Acheni Ujinga wenu na mambo ya kiipuuzi kaeni chini malizeni matatizo yenu.
    Mmetengeneza filamu nyingi pamoja na nzuri leo hii inakuja kuanza kuleta upuuzi fanyeni kazi na acheni ushamba.

    ReplyDelete
  56. Acheni kutetea ujinga nyie ,Wema kafanya upuuzi lazima awajibike kwa
    hilo ndo atajifunza na pia Kumlaumu huyo sijui Kayumba inasaidia nini? Kafuata taratibu zinazostahili na vyombo vya Dola ndo vyenye maamuzi
    MAMA WEMA full support wewe ndo unaejua uchungu wa mwanao na una kila haki ya kumpigania kutoka mikononi mwa hao wanaompeleka kwenye matatizo no matter what,Fight Mama usikate tamaa Mungu atakusaidia na Wema atarudi kwenye mstari

    ReplyDelete
  57. Kanumba kusamehe ni kuzuri kunakujengea heshima lakini fanya hivyo kama mtu mwenyewe anataka kusamehewa, na si kwa shinikizo la wapuuzi wanaoosha vinywa hapa

    hakuna ulichokosea

    ReplyDelete
  58. ACHENI HIZO WADAU HUYU MTOTO NI MZIMA KABISA.. HAKUNA CHA MAOMBI WALA DAKTARI. AMA KWA SABABU AMEMZIMIA HUYO MSHKAJI AMBAYE ANAONEKANA HANA KITU...NDIO MNAMUONA KAMA HANA AKILI SAWA...?? MBONA MAMISS KIBAO TU WANAKASHFA KIBAO ZA KUCHUKULIWA NA VIGOGO NA WENGINE KUCHUKULIWA NA WAZUNGU KOKO..LAKINI HAMUWASEMI???? HAMUWEZI KUJUA ANACHOPATA KWA HUYO JAMAA ILA NINACHOWEZA KUSEMA NI KUWA MTU AKIPATA MTU ANAYEWEZA KUMFIKISHA VIZURI KUNAKO 6 BY 6 NI WAZI KUWA ANAWEZA KUSAHAU KILA KITU HATA KAMA NI WAZAZI. NA HII HAIJALISHI UMRI WA HADHI, HUYO JAMAA ANAMPA HUDUMA YA HAJA HUYO MTOTO NDIO MAANA ANAONEKANA KAMA CHIZI LAKINI UKWELI NI KUWA NI MZIMA ILA MAPENZI TU. BADO MSHAMBA MSHAMBA BAADA YA MUDA ATAONA NI VITU VYA KAWAIDA.. KANUMBA MSHAMBA ALIKUWA HAWEZI KUMFIKISHA HUYU MTOTO SASA ANATUMIA MEDIA KUMMALIZA NA HUYO MTOTO NAYE ANAJARIBU KUTUMIA MEDIA KU REVANGE KUMUUMIZA KANUMBA LAKINI MWISHO WA SIKU KAMA NI FAIDA AMA HASARA NI YAO WENYEWE SISI NI WATAZAMAJI TU.

    ReplyDelete
  59. hivi nyie mnaosema kanumba ni mshamba ,sijui ni mshenzi je mngefanyiwa nyinyi mngechekelea? eti miss miss tanzania miss wako ulaya bwana hapa tanzania ni takataka na uchafu tu kama kina wema wasio na adabu hata za kuvalia nguo kwani yeye alishindwaje kujiheshimu hata kama kaachana na kanumba ndio avunje kioo na hata kama hicho kioo ni shilingi kumi bado ni mali ya kanumba na anastahili kuchukua sheria zozote.wema ni mpuuzi na anashetani wa ngono usikute amekumbuka mapenzi ya kanumba ndio anaamua kumfanyia visa, huyu mtoto anahitaji msaada wa kiroho,kihospital ili asizidi kuchanganyikiwa kwa sababu kama angekuwa mzima angemheshimu mama yake aliyepoteza muda wake na pesa yake kuja kumtolea dhamana lakini kwea vile shetani lake ni wanaume kaona aende kwa huyo fala wake jumbe,mtoto anahitaji dua na maombi maalumu anaelekea pabaya puuuuukeeeee!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  60. Wadau, huyu wema amefanya yote haya kwa kiburi cha Umiss , Lundenga na kamatiyake wanapaswa kuwaelimisha washiriki wa miss Tanzania katika ngazi zote kuwa kuwa miss sio kuvunja sheria za nchi,ama kuharibu mali za watu wengine, modelling ni fani kama fani zingine, kuwa msanii wa filamu pia ni fani kama udaktari, ualimu na sheria kwani yote haya binadamu tunafanya tupate pesa, hivyo inabidi MA-miss wa-behave inavyokubalika kwa mujibu wa maadili na sheria za Tanzania,
    Reaction ya kanumba imeathiriwa na wivu wa mapenzi, kama binadamu wa kawaida huwezi kumlaumu saaaaannaaa!
    Hata hivyo wote Kanumba na Wema bado ni vijana wadogo wanahitaji msaada wa kifikra wabadilike, bila shaka watabadilika kwani TZ bado tuna utaratibu mzuri wa kijamii kama mashangazi,wajomba amabao vijana wanawasikia na kukubaliana na mawazo yao.
    Pole mamake Wema, jaribu ku-engage ma-aunt na ma-uncle wa Wema ili kumsaidia,sisi wadau tunachonga sana sio kwa vile hatumpendi Wema ama hatumpendi kanumba, la tunawapenda wote na tungependa kuona wanapatana na kujirekebisha kwani wote wanatakiwa na jamii ya TZ watoe mchano wao ktk maendeleo ya TZ kwa kulipa kodi kutokana na shughui zao halali badala ya kutumia mudo wao kwenye ugonmvi wa mapenzi tofauti na inavyopaswa ku-enjoy ndani ya malavidavi.
    Wakatabahu
    Mdau
    kwa bibi nyau,
    Dsm

    ReplyDelete
  61. Unamkumbuka Nature??
    ...Hiyo MIBANGI mnayOoovuta....
    Hizi ni Bangi tu hakuna lolote. Mtoto anaonekana amedata..

    ********JOOMEK****************

    ReplyDelete
  62. Nimesoma comments humu ndani, nimesikitika sana. Kwa hawa wanaomtetea Wemakwa kweli sijui kama wanafiriki vizuri.Mimi nilidhani wataanza kwa kulaani kitendo chake cha kuharibu mali ya mtu mwingine na ndipo waendelee kumtetea kama wanapenda.Yeye Wema anaweza akawa mzuri, Wa sura hata umbo, lakini kitendo alichokifanya hatuwezi tukakisifia kuwa ni cha maana au ni ustaarabu mzuri. Worse enough mtu unapokosea halafu ukawa unajifanya hujui kama umekosea basi uwe tayari kwa lolote litakalojiri kutokana na kitendo chako; hamuoni mfano wa "CHIRS BROWN" kwa RIHANHA ?. Kilicho nisikitisha zaidi ni kuwa wengi wa waliotoa hizo comments za utetezi bila ya shaka ndio watakuwa "WAZAZI WA KESHO" !!!? Duh nafikiri baada ya miaka 15 ijayo hakutakuwa na maadili kabisa hata Tanzania kwa mwendo huu...tumekwisha !!

    ReplyDelete
  63. Si nilisikia wamefunga ndoa na Jumbe,mboni mwatuchanganyi jamani, hebu semeni ukweli, Jumbe ni bwana wake au ni mshikaji tu?

    ReplyDelete
  64. Lazima anavuta mbangi.

    ReplyDelete
  65. Kumlaumu wema kupita kiasini kumuonea. yeye ni binadamu kama tulivyo sisi na ana udhaaifu wake, dawa si kumtupia madongo ni kuwa naye kalibu hasa kwa ndugu zake na jamaa zake wa kalibu.
    Nawe kanumba futa kesi hiyo haraka hata wewe kesi hiyo inakutia aibu. huyo alishawai kuwa usingizi wako ya nini kukomoana?
    Hivi ni kioo gani hicho cha rava4 chenye thamani ya milioni moja?
    Mama wa wema aache kufanya maojiano ya kila mara na vyombo vya habari aitamsaidia yeye wala mwanae. kaa na mwanao na muondoe tofauti zenu huyo sasa ni mtu mzima sio wa kufungiwa ndani kama mtoto mdogo.

    ReplyDelete
  66. Jambo jingine nataka kuuliza, katika mchakato wa kumchagua mlimbwende wa taifa, wanasema `tabia njema'ni moja ya kigezo, au sio?
    Kwa minajili hii, huyu binti walimchagua pamoja na mengineyo na pia `alikuwa na tabia nzuri' , au sio?
    Je tabia nzuri aliyokuwa nayo ndiyo hiyo? Au nyie mlimpokea na tabia nzuri, halafu mkamuharibu na mambo yenu hayo yakujiaminisha kupita kiasi ya kuwaanika hadharani uchi, na vitu kama hivyo.
    Nasemahaya kama mzazi, kwani, inauma na inakera tukiona watoto wetu wanawekwa hadharani kwa ajili ya kuwanufaisha wengine kibiashara! Ndio najua huenda kwa namna hiyo mnawasaidia kupata ajira,lakini,pia muwe nyuma yao `kimaadili' kwani akiharibika nyie ndio mnabeba lawama.
    M3

    ReplyDelete
  67. Ni vizuri kufikiria kabla yakutenda,tatizo huyu dada alichukulia mchezo hili suala kwasababu alichofanya ni kosa kama mmeshaachana sasa kwanini alienda kuvunja gari la mwenzake?asilete urembo kwenye masuala ya mali na inaonesha jinsi gani alivyo mjinga kwasababu mama yake kahangaika kumtolea dhamana then yeye anakimbilia kwa huyo bwana wake ambaye hata hajamsaidi,siyo utoto bali hana akili kabisaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  68. nimechunguza watoa maoni wanao tetea huo uvunjaji wa kioo cha gari, wengiwao ni wanawake!wengi wako upande wa Wema hii inanishangaza kwani Wema anatofautiana vpi na mtu yoyote?Je! mlitaka kwa kuwa ni Wema basi Kanumba anyamaze? huo ni ujinga ! mtu anapovunja sheria ni lazima achukuliwe sheria no one is above the law, and ur the first 2cry equal rights between man and woman whats the needs 4u 2cry 4.Halafu kuna ujinga mwingine wa kusema eti Wema hakustahiri kupelekwa selo kwa sababu hicho kioo gharama yake ni ni ndogo!kwa mwenye nacho hicho ni kikubwa hujui alitumia njia gani kuweza kununua hilo gari!kwake he feels even a cents of it!Jaribuni kuelimika hata ktk mambo mnayoyaona ni madogo kwa wengine ni makubwa!the girl she is still in teen age!u can see even she does respect parents!

    ReplyDelete
  69. MIMI NAONA WEMA NI MTU MZIMA MWENYE MAAMUZI YAKE SWALA LA KUAMUA WAPI AENDE KWANZA BAADA YA KUTOKA MAHABUSU NI MAAMUZI YAKE BINAFSI ACHENI KUMZOGOMA TOENI KWANZA BORITI ZILIZO KWENYE MACHO YENU NDIO MTOE ZILIZO KWENYE MACHO YA WENZENU,NA HUYU MICHUZI KAMA ALIVYOSEMA MDAU HAPO JUU ANAWAOGOPA KUWAANDIKA VIGOGO WA SERIKALINI HATA KAMA WAKIFANYA MAKOSA ANAMINYIA COMMENTS HIZO NI DALILI ZA KIZANDIKI NA KINAFIKI ZILIZOPINGWA NA BABA WA TAIFA.INGEKUWA NI MIRAJI MTOTO WA JK AU RIZIWANI ASINGEITOA KWAVILE ANAJUA SAFARI ZA NDEGE ANGEZISIKIA KWENYE BOMBA.KANUMBA ANA HAKI KUMRIPOTI WEMA POLIS KWA KUHARIBIWA GARI LAKE.ILA BLOG ZIACHE UNAFIKI JAMANI ZIWE FAIR PANDE ZOTE NDIO MAANA WENGINE TUNAIFYAGILIA ILE BLOG YETU ILEEEEE WENGI MNAYOICHUKIA KWAVILE INASEMA UKWELI MTUPU

    ReplyDelete
  70. Kwa maoni yangu hii biashara ya ulimbwede (iwe ni bongo au us) ni unyanyasaji wa wanawake, tena mabinti ambao hawajajua dunia inakwenda wapi. Lakini cha ajabu huwezi kusikia hata wanaharakati wa kutetea haki za wanawake wanalitaja. badala yake unamwona first lady sijui waziri wa urembo, nk wanakwenda kuwa wageni rasmi katika shughuli ya kunyanyasa mabinti!!! NI UNYANYASAJI MTUPU, na mzazi anayeruhusu binti wa miaka 17 kwenda katika biashara hiyo naye anahitaji kupimwa akili zake. Kwa mantiki hiyo, mtu wakwanza anayehitaji msaada wa kupimwa akili ni mama yake huyo binti. Akina mama watetezi wa haki za wanawake mko wapi. Mgeanzia kwa kesi hii kushikia bao unyanyasaji huu. Haya mambo ya "kwenda na wakati" yatatutokea puani! Akina hashim wao wanakusanya michango na kujitajirisha, ndio hayo maadili ya mfumo wa kibepari. Nyerere hakuwa mjinga alipopiga marufuku unyanyasaji huu (nyie mkiita biashara ya burudani). Haya!!!!!

    ReplyDelete
  71. JAMANI HAWA WAPENZI WETU WA SIKU HIZI SIJUI VIPI MFANO NAO CHRIS BROWN KUMTWANGA RIHHANA NOW ANAONJA JOTO YA JIWE ALTHOUGH THERE ARE SPECULATIONS THAT THERE ARE BACK TOGETHER SASA NA WEWE WEMA U DESERVED KUONJA JELA KIDOGO COZ U ARE A MATURED GAL SO DEFINATELY U KNOW WAT IS RIGHT AND WRONG POLE SANA MAMA WEMA HAWA HIVI NAULIZA KWANI WEMA HASOMI AU HAFANYI KAZI JUST TO BE BUSY WIT HER LIFE INSTEAD OF BREAKING PEOPLES WINDOWS CARS LOL

    ReplyDelete
  72. Wazee hamjambo jamani,
    Jamani maoni ni mengi sana na mengi mazuri.laikini ukweli utabaki palepale kuwa huyu dada yetu/mdogo wetu anatia AIBU sana kuanzia kwa ndugu zake,familia, pia Taifa ambalo aliwahi kuliwakilisha kwenye miss world.Alichopata ni halali yake.Pamoja na hayo nakubaliana na baadhi ya wadau kwa kusema kuwa Kanumba kumpleka police/jela haikuwa uhamuzi wa busara kwani huyo ni kama mke wake "Mwanamke uliyewahi "kulala nae kitandani" ni kama mke wako" si kitu cha busara kumfikisha hapo.Naaimini Kanumbi alikuwa na hasira au alitaka kumkomoa Wema ,kitu ambacho ni obvious wala hakina mjadala.Niliwai kumpeleka mpenzi wangu police ,tena hapo hapo bongo lakini mpaka sasa I really feel guilty ,I wasnt right...!!!.
    Naamini kuna siku Kanumba ata-feel guilty na kukubariana na haya maneno yangu. Na hayo tu kwa leo.

    MN
    usa.

    ReplyDelete
  73. Tatizo nililoliona hapa pia , ni kuiga ustaarabu ambao haufai hapa kwetu. Mtu anafikiri akiwa maarufu basi ndio anaweza kufanya chochote na asichukuliwe hatua yeyote. Tusijidanganye; mmeyaona ya TID,Dudubaya n.k. Na wakiendele na mchezo huu wa kijinga, kutokuwa na maadili tutashuhudia vijana wengi maarufu hapa kwetu wanaporomoka katika fani zao. Kwa sababu once ukishafanya upuuzi basi unapoteza maana miongoni mwa jamii na ndio unakuwa mwisho wako. Sijui kwa nini wanakuwa wepesi wa kuiga mombo ya kipuuzi wakidhani ndio maisha mazuri. Ati mwingine humu ndani anasema kuvunjiwa kioo cha gari it's a minor thing ??!! Hujajua maisha wewe ndo mana unasema hivyo. Yaelekea wewe unaamka unavikuta vimeshaandaliwa mezani tayari kazi yako kula tu,ngoja uanze kuvitafuta ndo utajua maana yake ni nini !!

    ReplyDelete
  74. jamani jela au lupango hakuna mwenyewe,dada wema kashikwa na hasira,na huyo kanumba kafaidi nini kumwazili msichana mrembo?hicho kimkokoteni chako ndio unaadhibu watu kanumba hovyo

    ReplyDelete
  75. Wadau mnaosema Wema ametimiza umri wa kufanya maamuzi binafsi hivyo sio sahihi kumlazimisha kurudi nyumbani kwa baba na mama mmenena maneno sahihi kabisa. Tena kama Wema ameamua kuolewa na mtu yeyote nalo pia ni suala la Wema mwenyewe. Tunapaswa kumhurumia tu Wema, kwamba mumewe hakuweza kumtoa kwa dhamana hata ikabidi the Sepetus waingilie kati. Inawezekana ndio sababu Maria aliamua kutumia usemi wa Kiswahili wa mtoto kwa mama hakui na kumlazimisha Wema arejee nyumbani. Kama mume hakumtoa Wema kwa dhamana ni rahisi kwa mama kupata wasiwasi kwamba hata bintiye akipatwa na maradhi yanayohitaji kupewa spea ya figo jamaa hatatoa ya kwake.

    ReplyDelete
  76. wazazi wote hii ni homework yenu. Mtoto akisema nataka kwenda kwenye hayo maurembo msifurahie tu akiwa anashinda bali mjiulize miaka ijayo itakuaje baada ya camera zote kuwa off?

    Huyu msichana alikua anapotential zote za kuwa somebody. Sasa hivi angetakiwa kuwa lawyer au doc. Uwezo wa elimu yeyote wazazi wake walikua nayo. Lakini sasa hivi inasikitisha kuwa ameishia kuvunja vioo vya magari ya watu na si ajabu anakula unga.

    Jamani lini tutarudisha dignity yetu.....culture yetu tunaipoteza sana kwa haya mavitu ya kuiga...sijui miss so and so, big brother and now Mr handsome....what next....MRS Tanzania??????? We need to take easy....sio kila tunachokiona kwenye TV ni cha kuiga.

    ReplyDelete
  77. Kanumba anajiwekea comments mwenyewe humu na amekuwa akimsagia JUMBE Yusuph KILA COMMENTS ZAKE.
    MAPENZI HAYACHAGUI MASIKINI WALA TAJIRI.JUMBE KAPENDWA KANUMBA ULIE TU.
    JUMBEEEEEEEEEEEEEEE OYEEEEEEEEEEEEEEEEE.
    KANUMBA ZIIIIIIIIIIIII.

    ReplyDelete
  78. anonymous 9:55AM, wewe ukianza kucompare hizo sheria za wamarekani na hizo western countries..ni ku-compare apples na machungwa. Sisi waafrika tuna sense at least ya kuongea na jirani yako kama ukiwa na tatizo, hao wenzako unawowa-admire wanakimbilia polisi - ni mambo yao kila mtu kivyake. hamna sense ya community wala nini. Kuna vitu vya ku-admire wamarekani au UK, lakini hii sio mojawapo. Wangeweza ku-settle bila ya biashara ya kukimbizana jela - hamna mtu anafaidika.

    ReplyDelete
  79. Inasemekana ukitaka kujua kuwa binadamu mawazo tofauti weka kitu cha comments, kusema kweli Kanumba na Wema walikuwa wapenzi, mimi na wewe na yule hatujui ugomvi wao mpaka kuharibiana gari ulitokana na nini, wao ndo wanayajua mpka kupelekana mahakamani. Mimi nachangia kuhusu Wema na wazazi wake, hivi mzazi wako asingekuzaa ungekuwa Wema wewe unayesomwa kila mahali sasa hivi? Namshauri wema arudi kwa wazazi wake aombe msamaha na kisha kama anataka kuolewa na huyo Jumbe atapata baraka zote za wazazi.Kusema kweli hakuna kitu kibaya hapa duniani kama mzazi akiwa na masononeko moyoni juu ya mwanaye hakuna utakalofanya hapa duniani lifanikiwe. Mengine namwachia kanumba na wema wayamalize wenyewe.

    ReplyDelete
  80. Itakuwa vema na busara kama mama mzazi wa Wema, ndugu na marafiki, Wema mwenyewe, Kanumba na wote wanaoguswa na hili wakae pamoja, watoe kesi mahakamani iamuliwe kifamilia.

    Kisha, wema akubali kwamba speed aliyonayo kwa sasa kimaisha na kimapenzi haina standards; ni mbovu na ya aibu! Akubali kubadilika, aache ndoa uchwara za matamshi na matendo mabovu, aendelee na maisha kama wengine, ikiwa ni pamoja na kusoma.

    Wazazi wamtafutie ushauri nasaha huyu binti. Tusimuhukumu sana, bali tukubali kwamba bado ni mdogo (japo kapitiliza matendo) hivyo anahitaji malezi bado.

    No one perfect! We are all potential prisoners.

    ReplyDelete
  81. Inavyoonekana hawa watu bado wana pendana na wanaoneana wivu, simrudine tu basi, kuliko kukomoana,wewe Wema una makosa, kwa nini uvunje kioo cha gari,halafu aachiwe tu, leo cha Lav4 kesho na keshokutwa Kanumba akiwa na Prado uivunja Kanumba akuwache tu,kisa nini wewe ni miss Tz,kuwa na adabu dada, kama ni shwala la utoto,wewe si mtoto, mtoto ni yule anaekojowa kitandani, Wewe Wema ni mkubwa tu, mpaka unawakataa wazazi wako kwa starehe ni mkubwa na unajua unachokifanya,miaka 18 unaruhusiwa kuoa au kuolewa bila idhini ya wazazi,wema acha hizo.Na wewe Kanumba umefanya vizuri sana maana itakuwa fundisho kubwa hatodhubutu kufanya hivyo tena maishani mwake, c yeye wala mwanamke mwengine yoyote ni somo kubwa, wasikutanie. MWINYI MPEKU chalambe

    ReplyDelete
  82. Huyu wengi mnaemwita mtoto mdogo mbona siwaelewi? Mtoto mdogo anaenda kukaa na mwanamme kinyumba (kupika na kupakua)? Hebu watu msiongee kichefuchefu. Linanonikera ni kuwa mtu kama yeye (star) angestahili kuonyesha mfano kwa jamii ya Tanzania anayoirepresent, je wadogo zake wa kike na wasichana wadogo wa Tanzania waige mfano huo wa kwenda kuishi na mwanamme bila hata ya wazazi kujua? Jamani ni uchafu gani huu watu mnausapoti, eti mwacheni huyo mtoto, mtoto gani mambo makubwa? Huyo Wema ni mtu mzimaaaa na nywele zake! Tena nimesikitishwa na jinsi anvyoitia jammi aibu kwa kuitwa Miss Tanzania! Tafadhali atafute njia ya kuondoa hiyo aibu kwa kufuata madili ya Kitanzania. Mama Wema pole sana maana mwanao anakutia aibu vile vile, unaonekana kama hujui kulea.

    ReplyDelete
  83. HUYU DEMU KATIA AIBU MA MISS WOTE,HAPO NDIPO TUNAJIFUNZA KUWA MWANAO ASIWE MISS WA BONGO NI UPUUZI MTUPU TUNAJARIBU UZUNGU BONGO,HAIWEZEKANI
    KAONE KABAYAAA ETI KANA KIU!! KIU KINASHINDA MAMA MZAZI?

    ReplyDelete
  84. WADAU

    HUYU WEMA AMEUGUSA MOYO WANGU VEMA SANA. HEBU ANGALIENI HIYO PICHA, YEYE NDIYE ALIYEPATA MATATIZO NA BADO YEYE NDIYE ANAYEMPOZA MUME WAKE..!! WASICHANA WENYE MAPENZI KAMA HAYA NI HADIMU SANA.

    WEMA PAMOJA NA KULALA RUMANDE BADO ANAONEKANA SO SEXY, MHHH MWILI WOTE UNANISISIMKA.

    POLE WEMA, JIKAZE YATAPITA HAYA MATATIZO ILA UJIFUNZE SASA.

    ReplyDelete
  85. Tena hako kasichana kako sexy mpaka kanachanganyikiwa na mabwana na kuvunjwa magari,kasichana kazuri lakini kaswazi kwelikweli, Kanumba anaangaika na maisha, hana hela kama mazungu ya unga, huwa hawajali, laki mbili sio hela kwao, lakini kwa Bonga laki mbili ni mshahara wa mtu, na mnao sema laki mbili sio hela basi mnazo, na labda hamuwajui wasichana wa Kibongo,Kanumba angemuachia huyu Wema, wasichana wangeweza kugeuza fashion, kidogo kavunja gari,kidogo kavunja Tv,mara kachoma nguo,mwisho tutasikia miss fulani kachoma nyumba nk, tafadhali stopisha wivu wa kijinga mara moja. Mwinyi Mpeku

    ReplyDelete
  86. Wema unakipaka, hebu rudi kwenu kwanza, upoze noma wasikilize wazazi mjukuu wangu. bibi Kidude

    ReplyDelete
  87. Kanumba nimekuamini uko ngangali msimamo wako toka tuko shule, Duuuuuuuuu huachi kasamee bwana inatosha mshikaji wangu; fanya kama Rihana amtia bwana wake adabu sasa wako powa

    ReplyDelete
  88. Na wewe anony hapo juu uliyeandika kuhusu machunusi ya kanumba yanausiyana nini na hii ishu ovyo.

    ReplyDelete
  89. Basi jamani hebu tumuache huyu bint amejifunza vya kutosha, hebu tumuache na wazazi wake kwanza, naamini daima wazazi humpa ushari mwema mwana wao, hivyo wazazi kazi kwenu.

    ReplyDelete
  90. Wema uko juu,watu wote wameacha kazi zao wanazungumzia wema wema ,wema,wema hatusikilizi kingine, na kipi cha ajabu wivu ni suna mdogo wangu,nakufagilia ile mbaya, lakini siku nyingine kabla ya kukitingisha kibiriti ni lazima ujue kama kitupu au kina njiti, usizuke tu mpenzi.Madame

    ReplyDelete
  91. kanumba mchovu,jumbe babu kubwa anamfikisha wema.anamtibu maradhi yake.kanumba wivu umemshika anakuja kujaza comments humu mara ajifanye mwinyi mpeku.
    umeshindwa kumpa dozi wema mwache jumbe atanue.

    ReplyDelete
  92. Nakubaliana na anony wa march 7, aliyesema tuwaachie wenyewe maana hatujui ugomvi wao. kanumba katukanwa sana lakini hakuna hata mmoja anayejua ugomvi wao ulianzia wapi hadi kuvunjiana vioo na kupelekana polisi.
    napenda tu kusema kama wengine, Wema yaelekea ana laana ya wazazi, sidhani kama maisha anayoishi ya kubadili wanaume katika umri alonao kweli wazazi wake wanafurahia, nina imani wanasononeka sana, maana ninachojua alisomeshwa vizuri na walitaka aendelee zaidi, lakini kwa speed yake nahisi aliona wanaume ni bora kuliko elimu. Ni bora akaangukia wazazi wake, asome, wanaume wapo hawaishi. Mungu atakua kampangia mwanamme wake somewhere wa maana zaidi kuliko hao wanaovunjiana vioo mtaani, anachohitaji ni muda tu. Pole mama wema, unasahili pole kuliko huyo wema. Mungu atambadilisha na atakua kama mabinti wengine.

    ReplyDelete
  93. Mbona watu wengine mnakuwa wagumu kulewa, Wema yuko na Jumbe,Jumbe babu kubwa na anamfikisha Wema, vipi tena Wema akavunje kioo cha gari la Kanumba, jamani mbona hii haijatulia,na inatuchanganya, lakini nilicho gundua Kanumba ndie anaemfikisha Wema,kwa hiyo kachanganyikiwa, na Kanumba hamzimii tena na ndio maana akaamua hata kushweka rupango.Ushauri Wema muachie Kanumba na mademu wengine , nawe endelea na huyo Jumbe wako anaekufikisha,sio kuvunja vunja vitu vya X wako, watu huwa hawaachani hivyo,huo ulioufanya ni ushamba, HAPENDWI MTU HAPA,JELA TU.

    ReplyDelete
  94. GIRL,
    YOU LACK CHARACTER!

    ReplyDelete
  95. BAD GIRL.

    ReplyDelete
  96. huyu Wema wala si utoto, ni ujinga uliopitiliza na kushindwa kutumia vyema akili yake. mzazi wake simlaumu sana kwani hakuna mzazi anayependa kuona mwanae anaenda wrong yeye akafurahi. nimefurahi sana hatua kanumba aliyoichukua ya kumuweka ndani kwani itakuwa fundisho na kwa kiasi flani itazindua akili yake kwamba kama aliona kuwa hawezi kufanywa lolote kwa sababu ya kigezo cha u-miss tanzania na umaarufu agundue kwamba sheria haitambui hilo, wamelala rumande kina Basil Mramba, Liyumba ambao wanafahamika na kueleweka vizuri sana sembuse yeye ambaye umaarufu umemfanya jamvi la wageni. na asichukulie kigezo cha kuwa yeye ni mzuri hana uzuri huo wa kutisha ni ulimbukeni tu unaomsumbua, na ugeni wa mambo. wema ndo bado anampenda kanumba, kama angekuwa hampendi kwanini amfanyie fujo? kuachwa ni shughuli pevu, atajuuuuuuuuta kumfahamu kanumba.

    simple girl.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...