There are more than 100 world 
known personalities on this painting.
If you can name a minimum of 25,
 you may consider yourself a well-informed person.

good luck.
(Double click image to enlarge)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. Chairman Mao, Pelle from Zantel,Prince Charles, Bruce Lee, George Bush, Mike Tyson, Osama bin Laben, Mc Cain, Albert Eisteins, Mahtama Gandhi, Michael Jordan, Fidel Castro, Yassin Arafat, Vladimir Putin, Sadaam Hussein, Bill Clinton, Queen Elizabeth, Koffi Annan, Charle Chaplin, Joe Biden, Adolf Hilter, George Washingto

    ReplyDelete
  2. namuona Sadam Hussein wengine wote sijawatambua!!!

    ReplyDelete
  3. Haa wee 25 tu nimejaribu kuhesabia ninaowajua wamezidi 100!

    nitakutajia weusi kwanza

    Mike Tyson
    Michael Jordan
    Koffi Annan
    Nelson Mandela

    P.E.D

    ReplyDelete
  4. 1 PELE, 2 EINSTEIN, 3 MAO, 4 TYSON, 5 CHARLIE CHAPLIN,6 BRUCE LEE, 7 ELVIS, 8 MOZART 9 WRIGHT 10 BELL 11 BENZ 12 THATCHER 13 WATT 14 HAILE wengi wao ni viongozi, wavumbuzi na wasanii wakiwemo wanamichezo.

    ReplyDelete
  5. 1. Pele
    2. Vladmir Lenin
    3. Bill Clinton
    4.Julia Roberts
    5. Saddam Hussein
    6. Charlie Chaplin
    7. Bruce Lee
    8.Elvis Presley
    9.Albert Einstein
    10.George Washington
    11.Vladmir Putin
    12.Malkia Elizabeth
    13.Luciano Pavarroti
    14.Michael Jordan
    15.Dwight Eisenhower
    16.George Bush mtoto
    17.Ariel Sharon
    18.Prince Charles
    19.Mike Tyson
    20.Adolf Hitler
    21.Josef Stalin
    22.Mahatma Gandhi
    23.Mikhail Gorbachev
    24.Marlyn Monroe
    25.Karl Marx
    26.Winston Churchill
    27.Fidel Castro
    28.Yasser Arafat
    29.Mama Theresa
    30.Che Guevara
    31.Margareth Thatcher
    32.Bill Gates

    Walao hao ndio niwajuao mimi..kuhusiana na wengineo , naomba tusaidiane.

    ReplyDelete
  6. 1) Mike Tyson; (2) Mahtma Gandhi (3) Yasser Arafat (4) Bruce Lee (5) Bill Clinton (6) Sadam Hussein (7) Charlie Chaplin (8) Koffi Annan (9) Fidel Castro (10) Abed Pele wa Brazil (11) Lenin Mausolleum (12) Magreth Thatcher (13) Adolf Hilter (14) Qeen Elizabeth (15) Mao Tse Tung (16) George washington (17) Albert Ainstein (18) Vlademir Putin (19) Osama Bin Laden (20) Mother Theresa (21) Ariel Sharon (22) Michael Jordan (23) Mikhail Gorbachev (24) Monroe na (25) Prince Charles.

    ReplyDelete
  7. Wabongo bwana no wonder mnafeli mitihani, mnajibu maswali mnavyojua nyie na sio kile kilichoulizwa , halafu mnalalamika tumefelishwa ! Swali hapo sio kutaja majina bali ni personalities ....Instead of joting down Nelson Mandela name one should have answered the question by simply mentioning Resilienceand perseverance as his personality.

    ReplyDelete
  8. tyson,bruce lee,pele,clinton,koffi,arafat,fidel,mother teresa,dalai lama,osama,jordan,sadam,putin,price charles,jack chen,mao,mc cain,hitler......

    kufikisha 25 macho yatakutoka ndugu yangu

    ReplyDelete
  9. a very nice and challenging paint!

    ReplyDelete
  10. Lennin,Pele,Hitler,Clinton,Bruce lee,Chaplin,Putin,Queen elisabeth,Elvis presley,Enstein,Mao,Kim jong,Cheguavara,Moses,Tyson,Castol,Mozart,Saddam Hussein,Kazai,Monalisa,Lang lang,Aristotle,Newton,Powel
    nimejaribu mdau wa Mwanza

    ReplyDelete
  11. Nimewapata Einstein, Vladimir Putin, Pele, Abraham Lincoln, Mao Tse Tung, Fidel Castro, Yasser Arafat, Mahatma Gandhi, Koffi Annan, George Bush, Saddam Hussein, Bruce Lee na Prince Charles.

    ReplyDelete
  12. Mi nimewaona Che Guevara, Fidel Castro, Yasser Arafat, Mao Tse Tung, Kim il Sung, V. I. Lenin, karl max, Mahatma Gandhi, Mike Tyson, Charlie Chaplin, Saddam Hussein, Pele, Abraham Lincoln, George Bush, Luciano Pavarotti, Queen Elizabeth, Bruce Lee, Vladimir Putin. in less than 5 minutes. Ningekuwa na muda labda ningeoa wengi. Asante kwa chemsha bongo

    ReplyDelete
  13. Mi nimewaona Che Guevara, Fidel Castro, Yasser Arafat, Mao Tse Tung, Kim il Sung, V. I. Lenin, karl max, Mahatma Gandhi, Mike Tyson, Charlie Chaplin, Saddam Hussein, Pele, Abraham Lincoln, George Bush, Luciano Pavarotti, Queen Elizabeth, Bruce Lee, Vladimir Putin. in less than 5 minutes. Ningekuwa na muda labda ningeoa wengi. Asante kwa chemsha bongo

    ReplyDelete
  14. 1.einsten, 2.gandhi, 3.clinton, 4.darwin, 5.stalin, 5.pele, 6.tyson, 7.lenin, 8.hitler, 9.stalin, 10.bruce lee, 11.arafat, 12.che guevara, 13.lincoln, 14.ganghe khan, 15.marylin monroe, 16.chairman mao, 17.napoleon bonaparte, 18.mandela, 19.saddam hussein, 20.castro, 21. marlon brando (the Godfather/Don Corleone), 22. chaplin, 23. quuen elizabeth, 24. thatcher, 25. putin, 26. elvis presley, 27. sun tzu, 28. george washington...kwisha habari yangu!!!

    Suluja Lindani

    ReplyDelete
  15. 1. Bill Clinton
    2. Queen Elizabeth
    3. Pelle
    4. Adolf Hitler
    5. Sadaam Hussein
    6. Elvis Presley
    7. Mahtma Ghandi
    8. Yasser Arafat
    9. Che Guevara
    10. Fidel Castro
    11. Bruce Lee
    12. Mao Tse Tung
    13. Kim Il Sung
    14. Maggie Thatcher (Iron Lady)
    15.Mike Tyson
    16. Michael Jordan
    17. Bush
    18. Koffi Anaan
    19. Mother Theresa
    20. A. Sharon
    21. Osama Bin Laden
    22. Prince Charles
    23. Luciano Pavarotti
    24. Meryl Monroe
    25. Lincoln
    26. Charlie Chaplin

    Naomba Kuwakilisha...

    ReplyDelete
  16. MliakuvanaApril 03, 2009

    1. Albert Einstein
    2. Mike Tyson
    3. Michael Jordan
    4. Mother Theresa
    5. Fidel Castro
    6. Che Guevara
    7. Bruce Lee
    8. Genghis Khan
    9. Beethoven
    10. Prince Charles
    11. Yassir Arafat
    12. Adolf Hitler (next to Beethoven on the piano)
    13. Charlie Chaplin
    14. Edson Arantes Dos Nascimento - Pele
    15. Joseph Stalin
    16. Mahatma Gandhi
    17. Napoleon Bonaparte
    18. Godfather Marlon Brando
    19. Abraham Lincoln
    20. Bill Clinton
    21. Charles Degul (sp)
    22. Saddam Hussein (behind Beethoven)
    23. Vladimir Lenin
    24. Maralyn Monroe
    25. Chairman Mao
    26. Alexander Graham Bell
    27. Marco Polo
    28. Former Israeli PM (behind Michael Jordan)
    29. Koffi Anan
    30. nabii Issa aka Yesu Kristo
    31. Mtakatifu Musa
    32. Margaret Thatcher
    33. Elvis Presly
    34. Michelangelo
    35. etc etc

    I did not see George Bush or Nelson Mandela - where?

    ReplyDelete
  17. Pamoja na hao wengine ni:
    Saint Peter
    Tiger Woods
    Pontius Pilate
    Queen Elizabeth
    Deng Xiao Ping
    Benito Mussolini
    Charles De Gaule

    Sisi tunaesoma na kufahamu current affairs ni rahisi kuwafahamu. Huyo mwingine anaetoa jasho na kulalama hujui kiti zaiodi ya udaku na bongo fleva tu. Too bad my friend

    ReplyDelete
  18. Pele
    Mike Tyson
    Adolf Hitler
    Saadam Hussein
    Vladimiri Putin
    Bruce Lee
    Fidel Castro
    Comrade Che Guevara
    Yasser Arafat
    Mahatma Gandh
    Chalie Chaplin
    Bill Clinton
    Queen Elizabeth
    Egypt Pyramids
    hanging Stones
    Abraham Lincolin
    Albert Einstein
    Mao Tse Tung
    Elvis Presley
    Magret Thatcher
    Bill Gates
    Mike Jordan
    Koffie Annan
    Prince Charles
    Mother Theresa of Calcutta
    Lennin
    George Bush
    Osam Bin laden
    Winston Churchill
    JLo
    Jengis Khan
    Stalin
    Samaranch
    Ariel Sharon

    ReplyDelete
  19. SO WHAT? Ili isaidie nini hasa?

    ReplyDelete
  20. pamoja na hao nimemuona kingunge ngombale mwiru, abeid amani karume, mzee ruksa

    ReplyDelete
  21. Huu mchoro umetulia si mchezo yaani kama bei yake si mbaya ningependa kuwa nao ktk fremu kubwa.Kama kuna mtu anajua nitapata wapi hii aseme hapa ktk glob hii nitaangalia.yaani si mchezo.

    ReplyDelete
  22. 1. Vladimir Lenin
    2. Bruce lee
    3. Pele
    4. Saddam Hussein
    5. Charlie Chaplin
    6. Vladimir Puttin
    7. Queen Elizabeth II
    8. Albert Einstien
    9. Josef Stalin
    10. Che Guevara
    11. Mao Tse tung
    12. Mike Tyson
    13. Winston Churchill
    14. Margareth Thatcher
    15. Bill Clinton
    16. Admiral Lord Nelson
    17. Mahatma Gandhi
    18. Abraham Lincoln
    19. Fidel Castro
    20. Marlon Brando (God Father)
    21. Yasser Arafat
    22. Prince Charles
    23. Mother Theresa
    24. Ariel Sharon
    25. Osama Bin Laden
    26. Marlyn Monroe
    27. Micheal Jordan
    28. Luciano Pavarotti
    29. Koffi Annan
    30. Charles De Gaul
    31. Hitler
    32. Gengis Khan
    33. Elvis Presley
    34. George W Bush
    35. Mikhail Gorbachev
    36. George Washington
    37. Bill Gates
    38. Stone Henge
    39. Pyramids
    40. Great wall of China
    41. Virgin mary
    42. ku Klux Klan
    43. HMS Trafalagar
    ... na yule paka wetu wa zamani. Thats about all for me at this time!

    ReplyDelete
  23. Very impressive I can also recognise
    Monet,Van Gogh,Picasso,Dali,Matisse
    Audry Hepburn,Brando,Shirley Temple
    Napoleon,Julius Caecar,
    Bethoven,Mozart
    William Shakespeare
    Mother Tereza
    Henry Ford
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  24. artistic work of american are very bias..wamejaa wamerekani na maadui zao...wizi mtupu

    ReplyDelete
  25. Mdau aliyesimama kulia mwa Tyson amefanana na Steve Jobs wa Apple Inc. Ndo mwenyewe au nipo less informed?

    ReplyDelete
  26. 1.Jesus Christ, 2. Mike Tyson, 3. Bill Clinton, 4. Hillary Clinton,5.Vladimir Putin, 6. Mother Teresa, 7.George W. Bush, 8. Osama bin Laden ,9. Edison Arantes do Nascimento (Pele), 10. Bruce Lee, 11. Elvis Presley, 12. Mahatma Gandhi, 13. Adolf Hitler, 14. Kofi Atta Annan, 15. Yasser Arafat, 16. Fidel Castro, 17. Che Guevara, 18. Abraham Lincoln, 19. Michael Jordan,20.Queen Elizabeth II, 21. Saddam Hussein, 22. Prince Charles, 23. Noah, 24. Mao Zedong, 25. Ariel Sharon
    I just did for 5 min
    Nawakilisha

    ReplyDelete
  27. alome gabagambiApril 03, 2009

    tyson
    albert einstein
    mao ce tung
    gandhi
    charlie chaplin
    Queen elizabeth
    pele
    bill clinton
    bruce lee
    Abraham lincolin
    Osama bil laden
    koffi annan
    Vladmir putin
    che guavarra
    fidel castro
    yasser araphat
    marlin monroe
    Hitler
    saddam hussein
    benjamini franklin
    michael jordan
    mama theresa of culcutta
    george bussh

    ReplyDelete
  28. Wabongo wajinga sana, unawezaje kumtaja mtu ambaye hayumo, na nashangaa wengi tu wamefanya hivyo.

    ReplyDelete
  29. 1. Albert Einstein
    2. Bruce Lee
    3. Yasser Arafat
    4. Mike Tyson
    5. Mahatma Gandhi
    6. Edson Arantes de Nascimento "Pele"
    7. Fidel Castro
    8. Abraham Lincoln
    9. Mao Tse Tung
    10. Elvis Presley
    11. Adolf Hitler
    12. The Godfather
    13. Che Guevara
    14. Saddam Hussein
    15. Charlie Chaplin
    16. Vladimir Putin
    17. Vladimir Lenin
    18. Bill clinton
    19. Ulyses Grant
    20. Benjamin Franklin
    21. Galileo Galilei
    22. Michael 'Air' Jordan
    23. Koffi Annan
    24. Prince Charles
    25. Nelson Mandela/Morgan Freeman(?)

    ReplyDelete
  30. Hivi kweli wote waliojibu wamejibu sawa...swali ni personalities na sio world know people......

    Personality encompasses a number of characteristics that arise from within an individual.

    kam jibu ni kutaja watu mbina ni easy lakini personality ni ngumu kidogo

    ReplyDelete
  31. Samahani kaka michuzi naomba niibe hii picture nuweke kwenye "kitabu cha sura" maana nizuri mnoooo.i wana share it with friendz

    ReplyDelete
  32. pepe wakaleApril 04, 2009

    mimi nimewaona hawa wafuatao:

    left to right:
    Bill Gates
    Pele
    V.I. Lenin
    Adolf Hitler
    Benito Mussolini
    Sadaam Hussein
    Bill Clinton
    Bruce Lee
    Margaret Thatcher
    Deng Xiaoping
    Josef Stalin
    Queen Elizabeth
    Albert Einstein
    Vladmir Putin
    Mike Tyson
    George Carlin(comedian)
    charlie chaplin
    elvis prestley
    sheakspear
    Bethoven
    steven spilberg
    ab lincoln
    Mao Tsedong
    Josip Tito of yugoslavija
    Gengis khan
    Napoleon bonapatre
    Che guevara
    Fidel Castro
    Marlon Brando(from the godfather)
    Marlin Monroe
    Yasir Arafat
    Mahatma Gandhi
    Julius Cesar
    Luciano Pavaroti
    Michael Jordan
    Prince Charles
    Kofi Annan
    Yao Ming
    mama Theresa wa calcuta
    Kublai Khan -another mongols' chief

    ReplyDelete
  33. List feki hii. Mboni Nyerere hayumo? Na mboni Zitto Kabwe hayumo?

    ReplyDelete
  34. I would've bought this paint at any price, but for his/her selfishness the painter did not include Mwalimu J.K. Nyerere, I see it as a "DISRESPECT" to our Nation as part of this world "IMPORTANT" history!
    I don't need the damn paint!!!

    ReplyDelete
  35. Namuona ISSA MICHUZI pembeni ya alemnasa kibao mzee MWINYI.

    ReplyDelete
  36. Alo! hii kali. Kumbe watu vichwa bwana mie nimefanikiwa kuwaona kama 20 hivi wengi wametajwa hapo. Osama yupo.

    ReplyDelete
  37. Nyie mnaodai mbona nyerere hayupo. Ukweli ni kwamba, pasi na kuficha mzee wetu tunampenda, alijulikana ukandaa huu wa east, central and southern africa. kidoooogo west africa. Unapokuwa tanzania unadhani nyerere bonge la mtu anayefahamika. hamna kitu ukiwa nje. Mandela mwenyewe wanamjua wachaaaaache. hata kama unauma ukweli ndio huo. anajulikana na viongozi wa huko tu na watu wachache wanaosomasoma. to many he is just another african. tofauti na sisi tunavyowajua hao tuliojaribu kuwataja. ndio ukweli huo.

    ReplyDelete
  38. moses
    pele
    bill clinton
    charlie chaplin
    tyson mike
    sadam huseein
    vladmin putin
    albeit einstein
    queen elizabeth
    bruce lee
    gandhi
    abraham lincolin
    che guavarra
    koffi annan
    yasser arrafat
    fidel castro
    osama bil laden
    george bush

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...