Home
Unlabelled
libeneke la michapo ya ephraim kibonde
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Assalaam Alayakum, wa Kibonde
ReplyDeleteNadhani siku hizi , umepunguza ulevi ..
ReplyDeleteUS-Blogger)
ReplyDeleteMbona hiyo globu ilikufa kabla ya kuanzishwa?
mwalike Nabii wa Uongo wa Dhehebu la The Later Doom, Rais mtarajiwa wa wajinga wa 2015, Mt. Yohanna Mashaka aandike atiko alafu chati yako ipande
Ameniogopa baada ya kusikia nina phD ya OXFORD. Ameogopa kuja kwenye mdahalo alabama. Mashaka ni kopo tupu
Vinginevyo endelea kupasua Serengeti
US-Blogger
karibu kwenye libeneke..tupo pamoja
ReplyDeletekwa nini wabongo blog zenu zote zinafanana?...mimi nilifikiri atakuwa anazungumzia kuhusu vichekesho vyake...kuweni creative kidogo
ReplyDeleteMichuzi,mwambie Kibonde aweke michapo ya Bongo kama wewe sasa hiyo michapo ya mipira ya Ligi za Ulaya sie tunaona Live mwambie nadhani hata huko mpira mnaona Live mwambie aige mfano wako unavyotuhabarisha wabeba box hadi raha!
ReplyDeletesasa kila mtu anadandia libeneke la blog ! sasa nani atamwandika mwenziwe? jaribuni kuwa wabunifu?
ReplyDeleteunajua hizi tabia za kiswahili wacheni,ukimwona jirani kafungua kiosk basi na wewe utafungua bila kufanya utafiti wa wateja!
Ukimwona mwenzio kafuga kuku wa mayai na wewe utafuga! utafuti Idea
au deal lingine!
(US Blogger)
ReplyDeleteKwa US Blogger 'pacha' wangu, pls usishambulie globu ya rafiki yangu na swahiba wangu asiye na matatizo na mtu yoyote na hana majivuno-Bw.E. Kibonde.
Ephraim, endelea kufanya vitu vyako, nitakuja huko kutafuta fake Messiahs kama Mr. Mashaka ili nipambane nao.Pacha wangu, mapambano dhidi ya fake messiah tunaendeleza.
(US Blogger)-original
Ndugu Efraim Kibonde,
ReplyDeleteNi hatua nzuri kufungua globu lakini kuwa mbunifu japo kidogo bwana!
Yaani mkuu unashusha nondo za Premier League one-to-one? Huweki hata spin yako mwenyewe?
Bila shaka unatambua kwamba wasomaji wa globu ndio sisi watumiaji wa internet.
Sasa hebu kaa ufikirie ni kitu gani kitamsukuma mtu mwenye internet aje kusoma habari za Premier Ligi kwenye globu yako badala ya kufungua site kama ya ESPN?
Mfano mzuri cheki Mkuu wa Wilaya vile anavyorusha matangazo ya premier ligi ... huwa anaweka spin (vionjo) yake kama vile kuwapiga madongo wadau wa timu pinzani au kuandika as if ni mtangazaji anayerusha matangazo laivu.
Nisiwe mkosoaji tu, acha nichangie mawazo ... mfano unaweza ukaanza kudeal na vijiwe vyote vya Premier Ligi hapa Bongo ukawa unawapaisha kwenye globu yako.
Pia mara moja moja unarusha offer za pamba za timu mbali mbali za mpira pamoja na souvenirs zinginezo. I am sure kuna wadau huwa wanapenda vitu kama hivyo na itawavutia kuja kucheki.
Hiyo italeta umiliki wa habari katika globu na kuvutia wadau kuja kujiona jinsi ulivyowapaisha. Ila hii ya copy-paste one-to-one itaua globu.
Wabongo mara nyingi hatufanikiwi kwa mambo madogo madogo sana. Hivi nini kitanituma kwenye kwenye blog hii kuangalia habari za ulaya? Andika mambo ya bongo mzee blog yako itakufa kama ya January Makamba.
ReplyDeletedont scrape off my comments , comments zinawekwa kutujenga
ReplyDeleteEphraim should do broadcasting period. not MC and not blogging
KIBONDE WAKATI MWINGINE UWE UNAONGEA MANENO UKITAFAKALI NA MADHALA YA UNACHOONGEA.UMEONEKANA KUCHANGIA MADA JUU YA VITU USIVYOVIJUA,UNACHOCHEA MIGOMO VYUO VIKUU KWA MANENO MACHACHE YASIO NA BUSARA.WE LOVE YOU BROTHER,TAKE CARE WITH YOUR COMMENTS
ReplyDeleteUlimi unaponza kaka....usicomment usichokijua...no information, o right to speak kaka
ReplyDeleteKIBONDE KUSEMA KUWA ATA KAMA WEWE UNGEKUWA NA MWANAO ANSOM ACHUO KIKUU HAPA BONGO UNGEMPATIA MAITAJI YOTE?WAKATI KUPATA MIKOPO NI HAKI YETU NAOMBA USIRUDIE KUTOA KAULI CHUFU REDIONI KWANI WANAFUNZI WA VYOU TULIO KUSIKIA HATUTAMANI KUKUONA WALA KUKUSIKA NI HAYO TU,MPE HII SUGU KAMA WEWE WA UKWELI.
ReplyDeleteACHA MAMBO YA AJABU KAKA WEWE NI MTU MZIMA LAZIMA HUJIHESHIMU MIDAA MINGINE SIO KWA SABABU UPO RADION NDIO HUONGE MAMBO YASIYO NA MAANA WEWE NI MWANDISHI AU KIBARA WA SERIKALI AU UNATAKA NINI SERIKALINI KAKA SEMA KWA MAANA IMEZIDI SANA TUNASHINDWA KUKUELEWA JIHESHIMU NI HAYO TU
ReplyDelete