marais wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki wakikutana kwa faragha ngurdoto, arusha
JK akiwa na marais wenzie wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki baada ya kikao chao cha faragha hoteli ya ngurdoto arusha. toka shoto ni marais Yoweri Kaguta Museveni wa uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, Paul Kagame wa Rwanda, JK na Pierre Nkurunzinza wa Burundi. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

 1. Mpaka Hapo washatengana Wakikaa Sofa moja wawili wawili au watatu si inatosha? masofa mengine wangewapa wanaohitaji natania tu wadau msije kunijia juu.

  ReplyDelete
 2. Nawashaurini sana nyie maraisi kukazania sana miuno mbinu hasa ya barabara. Tunataka kuwe na barabara kutoka mtwara hadi Burundi, na vitu kama hivyo. Pia swala la lugha ya Kiswahili lipigieni upatu,kwani ndio kitu rahisi kinachoweza kuchangiwa na nchi zetu

  ReplyDelete
 3. Mbona rais KAGAME kakaa katikati kwenye red carpet? Na kwenye makochi kakaa kama ndiye kiongozi wao??

  ReplyDelete
 4. Ndio waheshimiwa ndio kama hivyo mibomu shwaa shwaa kaeni mkao wa mabomu yatafika hadi huko

  ReplyDelete
 5. viongozi wa afika kama miungu-watu vile???

  sasa ndo nini icho?

  kazi kukomalia ARDHI YA BONGO,AJIRA

  BBC jana walikua wanahoji why tanzania refuses that agenda ya ardhi na ajira,MNAULIZA JIBU?

  kisiwa tu kile wanachogombania kenya na uganda jaman adi kituko,acha tu uo ubishi NANI AWE KIONGOZI WA SHUGHULI ZA KISERIKALI BUNGENI KENYA

  michu tupe newz zile za ugomvi jirani

  ReplyDelete
 6. HAYA mazito (east africa mashariki!)

  Dunia ya kiswahili inatabu

  ReplyDelete
 7. for your info anony no 4 rais kagame ndio mkuu wa marais wa afrika mashariki kwa sasa hivyo protocol imezingatiwa

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...