MSANII MTANZANIA ANDREW SHIMBA (ASHIMBA- PICHANI)) YUPO NCHINI DENMARK KWA MAONYESHO KADHAA YA KUITANGAZA ALBAMU YAKE YA KWANZA “NURU NYIKANI”. ALBAMU HIYO IMEREODIWA CHINI YA USIMAMIZI WA MTAYARISHAJI MAHIRI KUTOKA NCHINI DENMARK (JAKOB POLL) AMBAYE KWA SASA ANAFANYA KAZI ZAKE DAR ES SALAAM. ALBAMU HIYO INA JUMLA YA NYIMBO 14 AMBAZO ZIPO KATIKA LUGHA ZA KISWAHILI, KINYAMWEZI NA KIMASAI NA IMEPIGWA KATIKA MIRINDIMO YA KITANZANIA NA KUTIWA LADHA (EFFECTS) ZA ELEKTRONIKI.


RATIBA KAMILI YA MAONYESHO YAKE NI KAMA IFUATAVYO:


20th May 21:00 Mzungu Kichaa album release, Voxhall Århus
28th May 21:00 ALBUM RELEASE, Råhuset, Copenhagen
30th May 21:00 Studenterhuset, Ålborg Ålborg
31th May 18:00 Copenhagen Carnival, Fælledparken Copenhagen2nd June Tranquebar, Borgergade 14 (17:00 PM) Copenhagen
2nd June Temple Bar, Nørrebrogade 48 (20:00PM) Copenhagen
6th June Miss Africa Denmark, Vega Copenhagen
7th June Coleur Cafe, African Festival, Fælledparken Copenhagen


Kwame Mchauru
Maisha Music
PO Box 105094
Dar es Salaam
Tanzania
+255777461911

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2009

    du wasanii bongo wapo wengi sana...
    bro michu me ndo namuona huyu leo..
    na sijawai kusikia songs zake.
    nashauri wangejitambulisha ndani(bongo-mikoani) vizuri then wa seek for external funs kwani support kubwa huko nje wanapata kwa wabongo waishio huko.
    ni hayo tuuuuuuuu.
    mtz-klm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...