Ibada ya Kiswahili Reading,uk
26/07/09
SAA 8.00 MCHANA

NJOONI TUMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI.
KARIBUNI WOTE KWENYE IBADA YETU YA KISWAHILI READING

IBADA YETU JUMAPILI HII ITAONGOZWA NA KUHUBIRIWA NA BISHOP WA KANISA LA KILUTHERI UINGEREZA BISHOP JANA GRINBERG AKISAIDIWA NA MCHUNGAJI TUMAINI KALLAGHE NA ATAHUBIRI KWA KISWAHILI.

WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALI MBALI WATAOMBEWA.

KARIBUNI WOTE,
MKARIBISHE NA MWINGINE.

IBADA ITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA

ODD FELLOWS
118B OXFORD ROAD
READING, BERKS
RG1 7NQ

KWA MAWASILIANO:

Email:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org

020 7606 4986/07983087998

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2009

    Halleluyah!

    Bora tujiweke Karibu na Mungu "ATUBEBE" kama anavyojisemea Rose Muhando, Maana Ulimwengu huu hautupeleki popote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...