Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. U can imagine, CCM bila kuongoza serikali itakuwaje?

    ReplyDelete
  2. Umechemka! Tatizo Africa bado haijakomaa na Demokrasia , iko kwa maneno tuu. kwahiyo ata vyama vya upizani hakuna sera... sasa inakuwa ngumu kuwachangua.. Nchi kama ghana wamefanikiwa sababu ya african america wengi wamerudi na ku settle miaka mingi toka enzi za W.E.B duboius kina nkruman ambao walikuwa influnced na kina Garvey na wamefight Africa kuwa na one nation .... ambayo mataifa makubwa hayataki kusikia. sasa sisi tuliokuwa na chama kimoja siku zote kujenga upinzani kwa nia ya maendeleo ikuakuwa ngumu vyama vina base kwenye makabila...dini ndio maana nyerere alipinga sana makabira na udini.
    lakini tutafika tuu.
    P.

    ReplyDelete
  3. KP Safi sana.Teh teh teh teh,tena vyama vingi vinajiona ndio vina hati miliki ya hizo nchi inazo zitawala.Angalia kama Zimbabwe.Chama kimekaa madarakani muda mrefu mpaka viongozi wake wanalewa madaraka.Wanadiriki kusema eti hamna mtu anaye jua hizo nchi kuliko wao walioziletea uhuru.Sijui kama wanafikiri sawasawa.Nyie wazee mzinduke mnapitwa na kasi ya maendeleo na utandawazi.Hamuwezi kutudanganya tena.sasa hivi walau tumesomasoma,tunahabarishwa kwa wakati.hamna jinsi,tutawazidi nguvu tuu.mpende msipende mtaturudishia miliki zetu.

    ReplyDelete
  4. hii katuni inatuamsha watanzania kwani tangu tumelala yaani kila uchaguzi in ccm tu utafikiri hakuna vyama vingi ni bora hata tujaribu basi kuweka wabunge wengi wa upinzani labda itasaidia kidogo yaani nchi toka uhuru hadi leo barabara ni za vumbi unasafiri kwa basi inakuwa mateso bora nibaki uk tu niwe immigrant

    ReplyDelete
  5. Kweli mjomba madaraka ndo yanawaweka uraiani,wanajua wakiachia nchi wanaenda kumalizia maisha yao geto la masela mikataba itapitiwa upya na kesi za epa,dowans,richmunduli,vistuli,kiwi nk zitapelekwa mahakamani

    ReplyDelete
  6. Vyama sio vilivyotafuta uhuru, Vyama vilivyopigania kupata uhuru!.baadhi walipoteza maisha

    ReplyDelete
  7. hii katuni inatia huruma sana, huyo mshikaji anaesema demokrasia ya ghana imesaidiwa na wamerekani naona amevuta bangi sana!!!, anyway ccm ikiendelea naona tutafika njia panda ya kenya iliyopo leo, tunaweza kujifundisha kilichowapata kenya bila kupoteza wakati, tanu /ccm imeichuna nchi kwa miaka 48, sasa tungetazama upande mwingine, lakini ccm ndio inamiliki kila kitu, just seriously unadhani kina maria nyerere, pius msekwa,mwinyi, mkapa n.k. wataachia maslahi yao? swali, maslahi ya wachache yatadumu mpaka lini?

    ReplyDelete
  8. katuni hii haijakaa kisanii.

    ReplyDelete
  9. wapinzani kama hawana sera lazima wananchi wapewe nafasi ili waone hiyo sera, wananchi sio watoto wachanga, wapiga kura waamue sio wahesabu kura wa nec ya ccm. hawa jamaa wa ccm wamejifunza mengi toka kwa nyerere, alikuwa anashinda asilimia 99 ya asilimia 20 ya kura, go figure!!! asilimia 80 walikuwa hawapigi kura, enzi hizo tulikuwa kama north korea. watanzania tusijali, mbio za ccm zitaishia sakafuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...