
MSIBA UPO NYUMBANI KWAO
59A MARBOROUGH ROAD LONDON
E7 8HA
----------------------------------
Rambirambi
Nikiwa kama mmoja wa watu karibu na BRO MUSSA BALOLA ningependa kutoa pole kwa familia ya bro mussa balola wa UK baada kufiwa na mwanawe .
Kwa kweli bro tupo pamoja katika kipindi hiki cha majonzi na maombolezo ya msiba huu. Mungu awape moyo wa subira na uvumulivu katika kipindi hichi kigumu.
REST IN PEACE ABUL HAKIM DANIEL BALOLA
mdau kutoka ubatani (TURKEY)
mdau kutoka ubatani (TURKEY)
Poleni sana wafiwa! sijui kwa nini lakini huwa nasikitika sana kusikia au kuona maisiba ya watoto wadogo...huwa naumia sana rohoni! Mungu aiweke mahali pema peponi Roho ya marehemu! Amen
ReplyDeletepoleni wanafamilia mfarijike wakati huu mgumu. What happened to such a young soul? May he rest in peace and called to celebrate the feast of the Lord..
ReplyDeletePoleni jamani. May he rest in peace.
ReplyDeleteINNA LILLAH WAINAILLAH RAJIOUN.
ReplyDeletePoleni sana, mungu atawapa nguvu.
ReplyDeleteNaomba Mwenyezi Mungu awape nguvu wafiwa na ampokee Kiumbe chake katika Ufalme wake wa Milele.
ReplyDeletepoleni wafiwa jamani,mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigum sana kwa familia,mlimpenda sana kijana wenu ila mungu kampenda zaidi,tumshukuru mungu kwa kila jambo,mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi Amen
ReplyDeletepole sana wafiwa m,mungu akupeni subra kufiwa kwa mtoto inaumiza sana nasikitika sana pole sana kuweni na subra na njia hiyo hiyo sote tunaelekea ,
ReplyDeleteInnallilahi wa inaillah rajuun!!! its so sad kwa kweli he is so cute and young!! poleni wafiwa kazi ya allah haina makosa we have to accept inauma sana
ReplyDeletehe was so handsome jamanii dah kwakua nami ni mzazi pia inaniuma sana,maskini wazazi wenzangu poleni sana kwa kuondokewa na kijana wenu mungu aiweke mahali pema peponi roho yake,na aje awalilie kesho kwa mungu mpate msamaha ili muishi nae ktk moja ya bustani za pepo ya mungu aaaaamin.
ReplyDeletemdau,greece
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun.
ReplyDeleteMwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema paponi...malaika huyo hana kosa..poleni sana wazazi jamaa ndugu na marafiki. Frank ( KGL Rwanda)
ReplyDeletepoleni sana. wengine hatuwezi kuelewa uchungu wenu. mko kwenye fikra na sala zetu.
ReplyDeleteKitu gani kimemchukua huyu mtoto? ni ajali? Poleni
INNA LILLAH WAINAILLAH RAJIOUN. Yuko peponi saiv malaika wa mungu.
ReplyDeleteBaba mtoto usihuzunike sana kwani kiimani ya kiislamu mtoto wako ni mmoja kati ya ambao ni tiketi ya peponi kwako, so chamsingi fanya ibada na mshukuru mungu kwa kila jambo. Kulia mara kwa mara ni km huhitaji pepo.. Pray for Allah utasahau yote na kumrehemu mwanao.
Wabillah tawfiq,
Abdul.