Hie kaka ISSA,
Nami nimeanza kublogua kupitia

wadau watapata mambo mengi humu kama, habari, entertainment, whats happening in bongo, etc.lolote na chochote kitapatikana humu. ahsante sana

Mange Kimambi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. hongera dada.isiwe ya majungu tu, nimependa idea yako, website ya ujanja hiyo manake na kuna matop nini sijui

    ReplyDelete
  2. hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi imeanza

    ReplyDelete
  3. HUYU DADA ANAPENDA ATTENTION KWEL KWEL. MANGE MUALIKE NABII JOHN MASHAKA ILI BLOGU YAKO IVUTIE WAGENI, YEYE NI MTU WA KUUZA SALAMA...KON.....VIPI KESI YETU ILIFIKIA WAPI.. AU NDO IMEKULA KWAKO MWANANGU?

    ReplyDelete
  4. haya haiiyaa.... kumekucha,mbona kumejaa mawigi kulikoni???

    ReplyDelete
  5. Mange Manyama au Mange Kimambi? Acha kutuchanganya wewe.... Mara Mange Manyama, mara Kimambi. Chagua moja tu.

    ReplyDelete
  6. mange, na mambo yetu waswahili wa dubai pia tuwekee itanoga

    ReplyDelete
  7. any kwani kila mwenye blog anapenda attention basi na mwenye blog hii anapenda attention.acha roho mbaya

    ReplyDelete
  8. Umejitahidi dadangu. Ila hayo matop top si ungeyaficha kwanza mpaka research zimalizike? maana inaboa kila unapoingia unakuta under research. otherwise mwanzo mzuri

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  9. Daah kama ghost vile yaani.

    ReplyDelete
  10. Heheeee! Makubwaaa, yangu macho na masikio sina mengiiii jamani..Asanteni sana..

    ReplyDelete
  11. Congrats Mange...wewe ni mbunifu and people should understand that.

    U are a daring woman and watu kanaopenda kuthibutu hua wanafanikiwa maishani.

    Mdau hapo juu unaeuliza kuhusu kesi bado ipo mahakamani..mahakama kuu ta Tanzania in Dar...ukifuatilia mwenedno wa kesi inavyoendelea utajua imefikia wapi..bado inasikilizwa,,itakula kwake vipi na yeye ndio victim aliepigwa na kudhalilishwa na kuna ushaidi wa cctv camera??

    Hongera binti wa kipare..the journey has just began..and your star is yet to shine.all the bes

    ReplyDelete
  12. Sista nimeview site yako unayoiita blog.
    Nimeona some technical problems that I can advice.
    1:Kuna button za kwenda kwenye link ambazo hazina content.Umuhimu wa blog ni content.So usiweke butons(links) kama huna content.
    2:Nimeingia kwenye chat room yako.Kwanza haifanyi kazi kabisa.Pili kuna test message za two weeks ago mpaka leo zipo.Kwa developer yeyote wa site anatakiwa atoe any test data before hajaweka site online otherwise users watakuwa anoyed.
    No hayo tuu.Ila good Job.Great Idea.

    ReplyDelete
  13. hizi laptop za kuazimana tu mtu anafungua blog alafu baada ya siku mbili hakuna kitu michuzi angalia sana uwezo wa mtu kufungua blog km vipi uwape ka interview kidogo hili uwajue wanaweza kazi maana kuna blog nyingi zimefunguliwa azifanyi kazi kila ukifungua kuna habari za mwaka 2007 tu haya mpe hongera lakini
    mdau jomabe

    ReplyDelete
  14. mdau wa CANADASeptember 29, 2009

    Its like everyone is hating on ManNGE..wabongo style up..lol..dats ha personal life on how she lvs n spends ha money..ww kama hujulikani dats ur own problem BONGO NIKUJULIKANA bwana..Na tha 1 who wrote that crap bout mange borown a laptop...hehhehe..ama kweli ww hujielewi na ulichokuwa waandika..
    Mange mummy..all tha best lakini uweke upd8 kwa ENGLISH ili uwafunge watu mdomo ambao awajui NGELI ili thy shouldnt leave any stupid comment..Much luv..!!

    ReplyDelete
  15. UnderConstruction.Please visit Us soon/under research" si usubiri mpk ikamilike ndo uirushe

    ReplyDelete
  16. dada nakutakia kila heri wala usijali mungu atakusaidia,napenda unavyofanya vitu vyako pia watu wengi wana chuki bila sababu,nakutakia tena kila la heri

    ReplyDelete
  17. Huyu dada nampenda ingawa simfahamu......tangu alipomtembezea advertisement Advocate Magai....ilikuwa imetulia kwel kweli....Yani KAMANDA flani hivi.....Bravo Girl!

    ReplyDelete
  18. safi ila hakikisha kusiwe na majungu,matusi,kukashifiana kama ile blog iliyofungwa na mmiliki kukamatwa.mtu akipost comment au picha za watu bila idhini ya mwenye picha,usiitoe!au yatajirudia yale yale ya utamu kutoa watu majina na picha za watu bila kufikiri madhara yake.i wish u all tha best.

    ReplyDelete
  19. Du,, Ila sister tempeations hizo>>???????.. Haya

    ReplyDelete
  20. ok naona hii blog imetulia, tusubirie tu mashauzi manake unapenda sana attention

    ReplyDelete
  21. hellow Mange i lov your blog. womens who dare to do something always achive but one thing try to do more research achana na hao wanaosema vibaya.Mtu anaekusema always envy you anataka kuwa on your shoes.Well done.Rahma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...