zikikolea inavyotakiwa, matokeo ya dawa za
kichina za kuongeza nanihii na naniliu huwa hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Lol hii ni hatari kubwa..sipati picha kwa wanaume ..maumbile yao yatakuwa vpi eheh

    ReplyDelete
  2. Du! Wachina wako juu kiivyo?

    ReplyDelete
  3. NAULIZA HIVI NA WACHINA NA WENYEWE WANATUMIA HAYA MADAWA YA KUONGEZA NANII AU WENYEWE MH! BUSINESS MBELE.

    ReplyDelete
  4. Sitaki kuamini haya ninayoyaona, kama amechorwa vileee.... au laa basi atakuwa JINI. Hivi tunaenda wapi?

    ReplyDelete
  5. lakini moja, mbili, tatu tutazunguka butcher mbali mbali za malumalu, za cement lakini nyama ni ile ile, ikipikwa kwa mchuzi au ikikaangwa, na utamu ni ule ule.
    Ili mradi imepitishwa na TBS kwa viwango bora vya nanii thanks.
    Nawakilisha.

    ReplyDelete
  6. huu ugonjwa wadada tuache jamani!! turidhike na tulivyoumbwa haya ni matokeo ya kufru kwa Mola wetu

    ReplyDelete
  7. but guys that is 2 much!anyway kapenda kuwa hivyo!

    ReplyDelete
  8. heheheheeeeeeeeeeeeeee! wataka shepu weye haya sasa hiyo..........

    si mzigo huo... wachina wenyewe wameridhika na kuanguka chooni nyie mwajidunga sindano, subiri yaanze kudondoka manyama hayo... tehetehe umepata shepu au kawa kama katuni...

    ReplyDelete
  9. Huo ni mwanzo tu, ategemee mabalaa mengine zaidi ya hilo. kwanza najua hapo tayari anakaraha za kutosha ndani ya nafsi na kama sikosei hayo ma hips fake yatakuwa yameshatia ganzi sehemu yote yalipo. Mbaya zaidi vidume wa kibongo nao sikuhizi wanahusudu vimodo siyo dhoruba kama hizo ambazo wengi huwa wanapenda kuzifunua tu kujua zimekaaje kisha zinapotezewa!

    ReplyDelete
  10. Hamna taabu ni mwanachama wa CHAWATA, akiwezeshwa ataweza!

    ReplyDelete
  11. Duu naona juu mwafrika chini mzungu kweli kazi ipo angalieni kwato zake za rangi gani ndio mtaona faida yake.

    ReplyDelete
  12. Zitafutwe dawa za namna hii na ijaribiwe kwenye Ng'ombe ili watu waweze kupata nyama nyingi zaidi! that would make more sense ama?

    ReplyDelete
  13. umefunga michuziiiii

    ReplyDelete
  14. YEAH, madada zetu wanapenda iyo vitu lkn hawajui km ina madhara sana badae, majuz niliskia kuna mke wa waziri flan kijana alitumia za kuongezea ukubwa wa makalio!! yaliyomkuta.... tako 1 likawa kubwa kuliko lingine noma pia serikali naskia wameshaliona hilo tatizo wamelivalia njugu 'nimesoma blog ya makavulive bt am nt sure'

    ReplyDelete
  15. Mh, jamani sitaki kuamini...hii ni picha ya ukweli au manuva ya computer cjui photo nini kama kawa? MI naona hii imetengenezwa..ingawa wapo mahipsi yaliongezeka ila not to this extent unless ni ugonjwa sasa du!

    ReplyDelete
  16. Hapo amezidi mpaka kinyaa, imagine akivua nguo utafikiri ng'ombe amelala

    ReplyDelete
  17. wachina ni mabingwa wa kutengeneza bidhaa feki hapa duniani na ndio wanatajirika kwa hilo

    ReplyDelete
  18. Ki-top chake kimeandikwa: "I love DICKIES". Kweli dunia imekwisha....

    ReplyDelete
  19. Ewe Michuzi
    Wanifurahisha mno
    Kwanza umepiga photoshop cloning brush na hata ramadhani huiogopi?
    All the same i had a good laugh
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  20. Wooow!!!!!!!
    Extra ordinary sitting facility

    ReplyDelete
  21. hii picha nimesha wahi kuiona kwenye ze utamu na mawowowo blogs michuzi ulikuwa unatafuta nini huko mwezi huu mtukufu

    ReplyDelete
  22. Duh! wanasesere wa siku hizi bwana!!! utadhania mtu wa kiukweliukweli!

    ReplyDelete
  23. Mimi sidhani kama hii picha ni ya kweli watu wametumia utaalamu wao hapo halafu tuna singizia dawa za kichina.Halafu watu wote mnaamini.Msije mkanyesha madawa kufikiria yanafanya kazi.

    ReplyDelete
  24. Mbona anapendeza, Wachina kazi nzuri, natamani wanawake wote wangekuwa na namna hii!!!!

    ReplyDelete
  25. mbona kwa madiba mishepu hii mingi tu tena yakuzaliwa nature sio dawa za mchina wala nini

    ReplyDelete
  26. Kina Dada msivunjwe moyo na maneno ya watu wengine kama mnahisi kuwa na makalio kiasi hicho basi fanya hivyo ufurahishe nafsi yako hakuna mwengine wa kufurahisha nafsi yako isipokuwa wewe mwenywe

    by Taufiki.

    ReplyDelete
  27. JAMANI MSIAMINI HII NI MAMBO YA "PHOTOSHOP" HAYA. UKITAKA KUJUA ANGALIA MSITARI MWEUPE NYUMA YA HUYU DADA UNAONEKANA UMEPINDA KUMUELEKEA HALAFU UPANDE WA PILI UMEPINDA MBALI NAE.!!!

    blaza

    ReplyDelete
  28. hii si kweli na wala si photoshop. huyu dada amejaladia, hiyo jeans ndani ina sponge na mtu anapovaa ndo anaonekana hivyo!
    niliona dubai suruali ya kitambaa kama hiyo lakini siyo jeans na mpaka chupi zenye matako ya sponge zipo, mtu ukivaa hiyo chupi ukavaa na nguo yako inakaa vizuri tu na si ya kutisha kama hiyo, kwa wale kina abanchichi kina wastiri na si vibaya si unataka upendeze na hakina hatari maana kisponge hakianguki na wala hakikai vibaya. maana naskia kuna wanawake wanajijaladia sku hizi mashughulini, basi bora mkatafuta hizo chupi!

    ReplyDelete
  29. Kaka,kaka mjeuze basi huyo nyuma tumuone vizuri kila konaaa... Usibane kaka.

    ReplyDelete
  30. Photoshop ya nguvu, waoshwa vinywa, naona saumu kali hamuwezi kufikiri tena. Macho juu, Balozi unapenda sana kutupiga kamba.

    ReplyDelete
  31. bobeshera abanrundi abanyarwanda nabaganda wallahi eeehhhh????????!!!!

    ReplyDelete
  32. aaaah come on michuzi we know that kweli hizi vitu zina madhara makubwa sana lakini please do=nt try to fool us with a fake picture dude!!!!1 that sucks kweli lakini kuna dada mmoja nlikuwa namtokea alikuwa na hizo mavitufake ziko kama sponji vile!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...