Home
Unlabelled
damas na grace wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi we mkali, yaani minuso haikupiti? lol
ReplyDeleteHongereni maharusi mmependeza.
Michuzi hapo hakuna ubishi hao ni Wakibosho kabisaaa harusi zao tunazijua bwana
ReplyDeleteWamenona kibongobongo!
ReplyDeleteHongera bibi na bwana harusi!Bi harusi ana sura nadhifu sana ila ingekuwa heri mbunifu wa nguo yake angebuni mtindo wa nguo unaoendana na umbo la Bi harusi, si kila mtindo unamfaa kila mtu...!
ReplyDeleteanapasha moto kiporo
ReplyDeletewameshiba haswa, hongeeni jamani! bibi harusi she is beutifully! sasa wewe michuthi mbona unaenda tu kwenye minuso ya nguvu! hala mama unamwacha home!
ReplyDeletezawadi nono lakini badala ya kwenda haneymoon waende gym....na wamwalike mpambe wa kike...manake naona kuna wakati kucatch up na sherehe ilikua taaabu...ilibidi akae tu...
ReplyDeleteBibi harusi is so beautiful pamoja na mwili wake, ila angeweza kuchagua bwana kijana wangetoka zaidi, au wadau mnasemaje?Chuma kizuri hiko kisingekosa kijana mzuri
ReplyDeleteWabarikiwe.
ReplyDeleteSasa Kaka hiyo taswira ya chini lighting yake ilikuwaje? Ni mambo ya bouncer ama ni makusudi? Nataka kusoma kama nionavyo mimi ndivyo ama ni mautundu yako ambayo yatakuwa mapya kwangu
Na lens ilikuwa wide angle?
Blessings
watu wazima sana hawa sijajua kwanini wapo hivyo...........
ReplyDeleteHongereni Mungu awabariki na kuwajalia katika ndoa yenu pasiwepo na vidudu watu kwani mapenzi hayana umri.
ReplyDeleteHuyu bwana harusi hii ni harusi yake ya ngapi?Mbona amekaa kama FATAKI!!! (brand new second hand)
ReplyDeletehongera baba vero lol, kweli ndoa haichagui umri.
ReplyDeleteMichuzi we umeshasafiri sana, hivyo unatakiwe uwe mfano kwa jamii, nguo gani hizo umevaa kwenye mnuso, simaanishi lazima uvae suti lakini smart!
ReplyDeletehivi michuzi unajua kama nina hasila yakukaa unanibania comment zangu? kinachonisikitisha sioni kwanini unanibania?Ebwanaee mimi nina hasila ya hatali sana kutoniwekea comment,,,ni dhalau tu. nashangaa comments 5 tano zoote sijaona hata moja,,ujue kuwa tunahakikisha kama umeweka comment zetu bwana ,,acha ujinga huo,
ReplyDeleteHongera mjomba na Mungu awabariki katika ndoa yenu ni mengi watasema lakini upondo na ndoa yenu ndio vinaumuimu katika maisha.
ReplyDeleteHongereni maharusi, Ila kuna jambo kubwa sana limejificha kwenye ndoa hii. Wote hamjaliona ila ninajua wengi wenu mtakuwa mnamsikitia baba harusi tena sana tu kwani hata yeye halijui jambo hilo.
ReplyDeleteIla upande wa Mama harusi naye naona pia kuna jambo kubwa sana lipo moyoni mwake au kwa makusudi kisha badilishana na bwana harusi na wote jambo hilo kubwa lipo mioyoni mwao. Jamani ni lazima tuwe makini maana kama hujui ni usiku wa giza.
Jambo hilo ni "UPENDO WA DHATI" Ninaouona kwa maharusi hawa wawili. IDUMU NDOA HII na mungu awabariki sana
Hongera baba angu kwa kupata mrithi mzur, Muwe tu na upendo isije ikawa yaleyaleeeeeeeeeee...
ReplyDelete