Tanzania Professionals Network (TPN)

Nyumbani Ni Nyumbani 2009

Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi
Golden Tulip 18th December 2009

Siku na Muda: Ijumaa; 18th December 2009;
Saa 2.00 Asubuhi -11.00 Jioni


Mahali:
Golden Tulip Hotel; Masaki, DSM

Washiriki:
Wanataaluma na Wasomi Wote Mnaombwa Kufika Bila Kukosa


Ada ya Ushiriki:
TZS 50,000

Mada:

Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo

Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:

0715 740 047

president@tpn.co.tz

www.tpntz.org

Waandaaji:
TPN – Costech – OUT – UDSM - Serikali

Sponsors are Welcome

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mbona hiyo site www.tnptz.org haipatikani?!!!

    ReplyDelete
  2. TPN hongera sana na hii move.

    Sasa kama mtu anajiona kuwa NABII au mtoa mada zilizokwenda shule tunamsubiri hapa tukutane kwenye pannel uso kwa uso tuone tunavyoweza kukata issues na kutoa mapendekezo kwa Taifa.
    Tumechoka na mambo ya cut and paste.

    ReplyDelete
  3. Tanzanians need to stop talking and start working. We can't talk our way to economic prosperity.
    Mkongamano yamezidi mno. Sina hakika kama yanatusaidia sana zaidi ya kuuza sura.

    ReplyDelete
  4. mna wazimu elfu 50 yote hiyo ya nini acheni uchori ebo!

    ReplyDelete
  5. naungana na mdau hapo juu,tuache longolongo tufanyekazi na haya makongamano tumeyachoka,tshs 50,000 kuhudhuria??kwa nini msitafute sponsor ikawa free???au ndio zile party za akina naninihii kutafuta hela ya kula

    ReplyDelete
  6. Tarehe Mon Nov 30, 02:10:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    mna wazimu elfu 50 yote hiyo ya nini acheni uchori ebo!


    YAANI...EXACTLY HOW I REACTED...WAGONJWA KWELIKWELI!!!CHA MNO?ISHAKUWA MRADI EEH!!

    ReplyDelete
  7. Yaani munataka Dr. US Blogger aje kumwaga mambo ya Oxford na awalipe elfu hamsini kwa kuwasaidia ideas?

    Labda mungesema 'donation ama controbution' badala ya 'ada' ingeleta maana zaidi.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. ndo wazo la kwanza "ivi izi mapati sijui maada ya namna iyo" ndo nini haswaa??

    ivi cnat we act rather than talking a hundred times???

    tunaongea sana jameni khaaa

    ReplyDelete
  9. Ningependa kushiriki lakini the amount seems to be the main stambling block,But any way will join you guys through here.Will send my contributions then u people will read for other.But the Idea of getting togather and discuss is very important.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...