KUMRADHI WASOMAJI WETU:

Tangu jana jioni, mtandao wenu wa www.globalpublisherstz.com haufunguki kutokana na kukumbwa na tatizo la kiufundi lililotokana na kile kilichoelezwa na host wetu 'overloading' na tatizo hilo wataalamu wetu wanalishughulikia. Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowowte uliojitokeza na tunawaahidi kurekebisha hali hiyo mapema iwezekanavyo.

Asanteni kwa uvumilivu wenu.

WEB MASTER _GPL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. GPL,
    Juzi tuliona picha ya kufedhehesha ktk webusaiti ya globalpublisherstz.com nadhani ndiyo iliyosababisha kutembelewa sana na kuwa over-loaded.

    Mdau
    Ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. Du! tena fanyeni muitengeneze! maana nilikuwa nahangaika kweli, nikidhani tatizo ni computer yangu! tafurahi mkirudi hewani.
    nana

    ReplyDelete
  3. mh asante kwa taarifa kwani tangu jn nimekuwa nikiifungua bila mafanikio,Anyway we hope itawork out soon kwani inatufanya tufeel tupo Tz.
    mdau Holland

    ReplyDelete
  4. Acheni hizo, Lipieni bili zenu mapema!!!! Overload? Msitake ncheke!

    ReplyDelete
  5. asante kaka michuzi kufuatilia ombi langu.
    Kokusima

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni zaidi ya wiki sasa hampo active, semeni ukweli kama mmesha fungiwa

      Delete
    2. Hebu ukweni wa kweli, ni zaidi ya wiki sasa hampo mtandaoni.
      Kama mme fungiwa si mseme tuu?

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...