Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene akimkabidhi zawadi ya utendaji bora aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani katika hafla ya kumwaga rasmi,(katikati) Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Joram Kiarie. Heri ameamua kufanya shughuli zake binafsi.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene akimkabidhi zawadi ya utendaji bora aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani katika hafla ya kumwaga rasmi,(katikati) Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Joram Kiarie.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Tina unajitahidi nice pic mshkaji.

    Mdau wa exim

    ReplyDelete
  2. picha ya pili chini mjomba mwenye nyeupe vipi tena !!!mtumzima ma style gani tena hayo ya kucheza au uzalendo ulikushinda !!

    ReplyDelete
  3. unaona mambo ya wizi bongo,
    mtu inabidi akacheze na mkoba wake na simu mkononi.

    ReplyDelete
  4. Anon Feb 22, 03:53:00 hujacheki vizuri, he is not dancing!!

    ReplyDelete
  5. Heri Bomani is one of the few high fliers in Tanzania!

    Big Up Heri, all the best to whatever you are intending to do!

    ReplyDelete
  6. MNIRUHUSU KUUIZA SWALI
    KUNA SWALA LINANIKUNA SANA NA NADHANI NITAPATA MAJIBU HAPA

    UKIANGALIA KATIKA SHEREHE HII HAPA KUNA PMOJA WAPO YA PICHA INAONYESHA AKINA DADA WANAINAMIA WANA BABA KATIKA KUCHEZA (THEY SET THEIR BUTT TOWARDS THEIR MALE COUNTERPART’S GROIN AREAS). MSINICHEKE TAFADHALI. HII NIMEIONA SEHEMU NYINGI SANA DUNIANI NILIKOTEMBELEA KWAMBA KILA MZIKI WA DANSI NILIO HUDHURIA MAMBO NI HAYA HAYA. JE KUNA NINI KIZURI HAPO? NASHUKURU KWA MSAADA WENU NA JAMENI MSINICHEKE WALA MSINI HUKUMU KWA MATUSI KWANI KUULIZA SIO UJINGA NA AISHAKUMU SIO MATUSI
    NAWASILISHA

    ReplyDelete
  7. Kama kila mteja atapata kukingiwa msondo namna hii! walau mara moja kwa mwezi, This bank could see a significant rise in customer deposits.

    ReplyDelete
  8. Inawezekana wakenya wameshampiga vita wamuweke mkenya mwenzao.. Tutasikia.
    Utasilia tuu Mkenya anakaimu weee miaka inaenda kama vile hakuna watanzania wanaoweza.

    Mzozaji

    ReplyDelete
  9. Michuzi Kiswahili Lugha ya Taifa, na wewe ni mwana habari, WAMWAGA ndio nini!? Sahihi ni "WAMUAGA", MWAGA Ni neno jingine kabisa lisilomaanisha AGA.
    Mimi niliposoma kichwa cha habari nikadhani jamaa kafukuzwa kazi.

    ReplyDelete
  10. HEEEEEE HEEEEE HEEEEEE, MAMAAAAAAAAAAAAA, DUH DUH DUH DUH DUH, MTUMEEEEEEEEEEEEE. KWI KWI KWI KWI KWI, KUDADADADAKE WALAHI, MAFUTA YA CHURA KUMKAANGIA SAMAKI.

    HUYU DADA MWENYE NGUO NYEUSI TAFADHALI ACHA UCHOKOZI, WEEEEEEEEEEEEE MAMBO GANI HAYO?

    HAKI YA MUNGU KWA MTINDO HUU, DUNIANI WATABAKIA PAKA TU.

    NA WEWE DADA MWENY SIMU MKONONI UNAYECHEZA NA HOGA YAKO, JAMANI MTUONEE HURUMA.
    Ila kama mko single basi tutafutane "usanii@yahoo.co.uk"

    Mdau Andrea
    UK

    ReplyDelete
  11. Asante Heri kwa kuwaonyesha wakenya, foreignors wengine na watanzania watumwa wa ki-fikra wanaofikiri na kuimba kila siku kwamba watanzania hatuwezi kushika nyadhifa kama hizo na ku-deliver. Benki nyingi zenye asili ya nje na akampuni mengine kama hayo bado zina mawazo haya zinawanyima fursa watanzania za kuongoza zinakumbatia wageni tu. Wachache mliopata nafasi hizo na kufanya mambo ni mabalozi wazuri sana na inafurahisha kwamba ni vijana. You have a great future ahead nof you, keep it up.

    ReplyDelete
  12. Mzee wenye shati nyeupe,sijui vipi bwana,amesogezewa kabisa,lakini aha,eti anakwepa,we si unamwona jirani yake,kasogezewa,halafu naye anaiweka vzuri ikae katika position

    ReplyDelete
  13. teh he heh inaitwa mbuzi kagoma teh he he....wacha nikabebe box dah bngo kweli tambarare. badae

    ReplyDelete
  14. wanawake wa bongo wanapenda sana kuvutia wawekezaji. Huyo jamaa mwenye "full white" akili yake yote hapo anataka kuanza kuwekeza tuu.

    ReplyDelete
  15. Bongo kuna utamu jamani,ebu angalie hizo Totozzzzzz,dunia gani utazipata!!Jamani mrudi nyumbani tuje kula vitu roho inapenda!!

    ReplyDelete
  16. Wanadamu Bwana......baadhi tunajisahau sana! Hasa tunapokuwa tumekunywa kileo basi tutajimwaga hata bila heshima kidogo na pete zetu za ndoa mikononi na wengine hata humwaga radhi hadharani. Tukiulizwa tunasema tuna 'Celebrate'! Kwa wale tunaoamini kiroho huwa tunajiuliza; Hivi leo hii Mtume Muhamad au Yesu angeweza kuja au angekuwa anaishi eneo kama hilo angefanya hayo tunayoyafanya? Watu hao hao utakutana nao makanisani na misikitini wakiabudu! Tunahitaji Neema kubwa sana kujua ukweli jinsi tunavyohitaji kusihi. Kwa wale wasio na imani wanalo lakujitetea. Najua baadhi ya watu watavamia kuponda ukweli huu lakini ujumbe utakuwa umefika.

    ReplyDelete
  17. Kwa uchokozi kama huu tutajenga kweli?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  18. Party za ofisi hizo! Utagundua tu kuwa nani anammanga nani.

    ReplyDelete
  19. Michuzi unakosea. Hiyo staili ya kuweka kamera sakafuni unatakiwa unapiga waliovaa miniskirt, sio waliovaa suruali (picha ya mwisho)

    ReplyDelete
  20. Dude in White and chic in green and gray..... Get a room. Free alcohol isnt free.Hilarious.

    ReplyDelete
  21. ankal afadhali umeziengua hizo picha manake leo comment za ajabu na kuvunja mbavu zingefika laki wabongo tunapenda ishu za ajabu kweli lol hata hivyo nimecheka kweli watu bwana duh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...