THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.


Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

kwa wadau wa dallas na vitongoji vyake

SEMINA YA NENO LA MUNGU
UMOJA CHURCH
Dallas, TX.
Rev. Yohana Maginga

Kwa niaba ya Kanisa la Umoja, ninapenda kukukaribisha kuhudhuria kwenye semina ya neno la Mungu itakayoongozwa na Mch. Yohana Maginga, wa kanisa la Christian Missions Church – Birmingham Alabama.

Semina hii itafanyika katika kanisa la Umoja Church
Jumamosi March 13, kuanzia saa 11 Jioni na Jumapili March 14 kuanzia saa 12 jioni.

Tafadhali wasiliana na Uongozi wa Kanisa kwa maelezo zaidi.

214 554 7381 au 682 552 5402

WOTE MNAKARIBISHWA!!!

UMOJA CHURCH
12727 HILLCREST RD
DALLAS TX 75230

“ …LET THE WEAK SAY, I AM STRONG.” (JOEL 3:10)


Hoja moja imeshachangiwa mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Wow, brother Yohana, mhubiri wetu pale chapel USCF Mlimani 1996-1999, pia alikuwa mwinjilisti katika missions mbalimbali, nakumbuka zaidi ile ya Kisarawe. God bless you, keep the fire burning!