Home
Unlabelled
cartoonist david chikoko's new comic book
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo vipi makaka na madada humu ndani bila kukusahau ankal michuzi.Mi naomba kuuliza swali,hivyo huyu mtunga hiki kitabu ni mzungu au mtu wa hapa nyumbani?? kama ni mtu wa bongo au kama hiki kitabu kinazamilia kisomwe na wa bongo au kama katuni zinahusu maadili ya bongo, KWA NINI JAMAA ANACHORA KATUNI PICHA ZA KIZUNGU?? au gamba ndio kizungu ndani katuni zinakuwa za kiafrika?.Sielewi jamaa sababu zake kuweka mizungu,wakati watu siku zote tumefurahia picha za kina pimbi,chakubanga na katuni wengine,ingekuwa vizuri kama huyu mtungaji angekaa mstahili huu huu wa katuni tulizozoea.kwani sisi si wazungu.sina maana achore picha za kina pimbi nina maana katuni za ki-bantu, sio watu weupe na nywele zao za tambi,`draw cartoons that people can relate to`
ReplyDeletemdau Tue Jun 01, 01:16:00 PM unayesema katuni zimechora za wazungu ... weee vipi wewe
ReplyDeletewewe huoni huyo masai anakuwakilisha wewe ???? nitakuletea miwani uvae
mbaguzi wa rangi wewe ....
mdau
Dar
chikoko amechora tu lkn alietunga hicho kitabu ni mzungu na nivizuri upate nakala yako kisha utajua kwanini kuna pic za wazungu
ReplyDelete