Kisiwa cha Mafia

Sisi kama wenyeji wa kisiwa hichi na wenye nia uchungu na kisiwa hiki
tumesikitishwa na hatua ya baadhi ya wenye mahoteli ya kitalii kwenye
kisiwa hichi pamoja na uongozi mzima wa wilaya (DC) na halmashauri kutoa
kibali kwa kundi la burudani toka Ugiriki kuja kufanya vitendo vya ushoga
kwa kutumia mgongo wa Tamasha la muziki.

Pia tumesikitishwa uongozi hapa Mafia kukubali kutoa kibali kwa hawa vijana
3,000(revelers) bila kupata ridhaa ya wenyeji wa Kisiwa hichi (Public
consultation). Tungependa ifahamike kuwa sisi kama wenyeji wa Kisiwa hichi
tunakaribisha wageni lakini ni LAZIMA wazingatie na waheshimu mila na
taratibu zetu na moja kati ya hizo mila zetu USHOGA haumo!
Kitendo cha kutaka kuleta vijana hawa mashoga hapa kisiwani kufanya
vitendo vyao kwa siku 14 mfululizo hakikubaliki kimaadili na tunawaunga
mkono wana Mafia na hasa wazazi ambao hawako tayari kuona watoto wao
wakishuhudia vitendo vya kishoga, utumiaji wa madawa ya kulevya ambavyo
ni si mila na desturi yetu kama waTanzania.
Kama mjuavyo Mafia ni kisiwa cha amani na ndio maana kimekuwa kinaongoza kwa utalii wa scuba diving duniani na tunaendelea kuwakaribisha watalii ambao wanakuja na kutuheshimu na wanaoelewa umuhimu wa kutunza mazingira ya kisiwa hichi.
Kisiwa hichi hakina uwezo wala fedha za kuweza kutoa huduma za afya kwa
watu wake iweje leo tamasha hili la mashoga 3,000 ambao itabidi wajisaidie
kwenye mashamba ya watu kwani hakuna public toilets za kuweza kuhimili
kishindo hichi.
Hivi kwa mfano mazingira yashachafuliwa ni sisi watu wa Kisiwa hiki ndio
tutasafisha au halmashauri? je wanazo pesa za kusafisha na kuokota toilet
papers zitakazo achwa na hawa Mashoga kwenye mashamba yetu?
Hospitali zetu hapa zinatia aibu na mbaya zaidi huduma za afya kwa mama
zetu na dada zetu wanapojifungua zipo katika hali duni, hivi kweli
mheshimiwa DC na timu yake wameona kwa sasa tunachohitaji ni hili Tamasha?
Kwa kawaida ya Mashoga hawatokaa sehemu moja hapa kisiwani na watataka
kwenda kufanya uchafu wao kwenye fukwe zetu hapa kisiwani, hivi Uongozi wa
Kisiwa hichi utatoa polisi wangapi kwa kila kundi la hawa mashoga kufanya
mambo yao? kwani sidhani kama wananchi watakaa na kushangilia vitendo
hivi vikifanyika hadharani.
Tungependa kuufahamisha umma kuwa hawa waandaji tamasha hili lilipofanyika kwenye kisiwa cha Skyros, watu walililalamika sana pamoja na kuwa Wagiriki wana mitizamo ya ku liberali kwenye mambo haya lakini hali ilikuwa mbya kiasi cha Polisi kuvamia na kusitisha lile Tamasha kwani lilikuwa linaelekea kuvujinka kwa amani.
Katika kipindi hichi ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi je ni kweli
Serikali inataka kuona uvunjikaji wa amani katika kipindi hichi
tunachoelekea kwenye Uchaguzi kwa kukubali hili tamasha la Mashoga?
Je jeshi la polisi linazo resources za kulinda mashoga 3,000 usiku na
mchana kwa siku saba mfulululizo?
Kwa nini mratibu wa hili Tamasha hili la Mashoga hataki kukutana na viongozi wa Kisiwa hichi na kuwaeleza kwa
kinagaubaga nia yake?
Maandaji wa Tamasha hili wamesema wamepata ushirikiano wa karibu na
kampuni ya uwindani na utalii inayojiita KARIBUSANA ambayo iko chini ya
Costa Coucoulis,Angela Damas,Chyrista Batou na Mark Evans ambao wanajiita
wahifadhi wa mazingira kwenye tovuti yao lakini wakati huo huo wako tayari
kuhakikisha kuwa mazingira ya kisiwa chetu yanachafuliwa na hawa wageni.
Je Mbunge na DC wa Kisiwa hichi watakuwa wanatekeleza ilani ya chama gani
kulikubali hili Tamasha la Mashoga?
Je wilaya iliyo masikini kuliko zote Tanzania inahitaji Tamasha la muziki
au tunahitaji miradi ya Maendeleo?
Je BASATA na Wizara ya Utalii wameamua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2010

    Mhmmm na kweli msikubali kabisa uchafu huo kuja kufanyika hapo. Watoto wetu lazima tuwalinde na maadili yasiyo ya Kitanzania achilia mbali kidini!! Kisiwa kitaghariki - kamwe msikubali.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2010

    Hili suala la mashoga kuja Tz halikubaliki KAMWE. Kama serikali haitasikia itabidi wananchi tuchukue sheria mkononi. Tutawazingira hao mashoga na kuwapiga mawe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2010

    aisee hii ni hatari sana kama watu wanadhamiria kuja kufanya uchafu kama huu katika sehemu ya watu ambao ustaarabu wao uko juu, wasikubaliwe kabisa kuchafua mazingira safi ya kisiwa cha mafia kwani ni kisiwa pekee chenye maadili ya kiafrika na kidini pia

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2010

    Msikubali kabisaaaaa!!!!!! kwa nini tusitofautishe mila na desturi za kwao na zetu za africa, kama wanataka sherehe waende cologne ujerumani na miji mingine ya ulaya, sasa hivi ndio tamasha lao, sidhani kama hii ni mila na desturi ya nchi yetu na pia kwa Mafia kwa kuwa kisiwa hiki, jamii kubwa ya wakazi wake ni waislamu, so hili halikubaliki!
    Wasikiharibu kisiwa hiki waende wakafanyie kwao

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2010

    kabisa msikubali.yani du hiki kisiwa kumbe kipo Tz.wao sasa mbona hata hatukisikii au ndo mimi tu jamani loo.msikubali kabisa hao waje huko.kweli labda kwakuwa nipo nje muda mrefu ila nasoma magazeti daima.

    ReplyDelete
  6. ama kweli ukistaajabu ya musa......haya ni nani kwanza aliyetoa kibali cha hao mabaradhuli kutia nanga katika fukwe zetu, tena wakilenga zile takatifu zenye waumini wengi...huu ni uchokozi wa nyoka...ambaye ananyanyua kichwa na kutema mate hata kama hajakusudiwa kuuawa....hatutaki mashoga na ushoga katika ardhi yetu nzuri ya tanzania

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2010

    ole wake mtu awalete hao mashoga huku mafia. hapo ndo serikali itajua kuwa sisi wakazi wa mafia ni mafia kweli kweli.

    ReplyDelete
  8. Mafia BoyJune 30, 2010

    Nipo pamoja nanyi wana Mafia wala msizubae kama serikali imekubaliana nao. Basi nyie andaeni vijinga vya moto usiku mkavichome hivyo vibanda vyao vya ufuska ktk hizo beach hao mashoga. Kwani wamelaaniwa na Allah kwa hiyo si dhambi kwenu kuwapinga kwa njia yoyote ile. Inshaallah

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 30, 2010

    MUNGU AKUPENI ROHO ZA KIJASIRI MUENDELEE HIVYO HIVYO KUPIGANIA MILA NA TAMADUNI ZETU.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 30, 2010

    Kulalamika hakutotusaidia,kama ulivyotuandikia hapa jipange na wamafia wenzio mfanye maandamano ya kufa mtu,na amini wengi wenu hamkubaliani nalo swala hili basi na muonyeshe kwa vitendo wajue wahusika kua matendo ya uchafu hayatokubalika kamwe kwenye ardhi yetu hata kama kisiwa kinahitaji pesa ya utalii.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 30, 2010

    Mafia ni sehemu peke yake Tanzania ambayo angalau maambukizi ya UKIMWI yako chini kuliko sehemu yoyote ile ya Tanzania. Hii inatokana na mila, taratibu na desturi za watu wa Mafia, hebu wasiwa-pollute watu wa Mafia kwa mambo yasiyo na maana.

    Hivi hakuna vitu vya maana vya kupeleka kuliko hayo matamasha yasiyo na kichwa wala miguu? Kwani huko Ugiriki hakuna visiwa? Hakuna pwani? Haya mambo yaliachiwa Unguja mpaka sasa hivi Unguja inatisha kwa kweli vijana wameharibikiwa kabisa na madawa ya kulevya kwa ajili ya kuwaachia makundi na makundi ya watalii wa kitaliano!

    Hizi hela hizi zitatufikisha pabaya, tamaa mbele mauti nyuma yanafuata!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 30, 2010

    Tanzania bwana wakishapewa Pesa wanakuwa Kama ile mijamaa YA kwenye RAdio nanihiu. MR II hakukoseak ujiunga na chama kama Chadema au Cuf.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 30, 2010

    Kwani kama wahusika wa tamasha wanataka sherehe na mashoga kisiwani kwa nini wasiwapeleke Cyprus?Si ni kisiwa hata hicho na ni bora kwa vile kiko karibu na makwao ambapo pia watu washazoea kuona mambo yao?!Hivi watu wengine wanataka kuipeleka wapi Tanzania nchi yenye sifa za utulivu na amani?Mafia kumetulia na ni kisiwa kizuri sana, mashoga kuja kujimwaga mwaga ni kitu kisichokubalika hata!!!Huu ni upuuzi mtupu!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 30, 2010

    Aliyeongelea Zanzibar imeharibika sababu ya watalii wakitaliano kasema Ukweli mtupu JAmaa wanaleta Unga na Nakuwapa kazi za unga nak uharibu vijana.

    WAKAZI WA MAFIA HAO MASHOGA WAKIJA ANDAMANENI MSIOGOPE NA FANYENI MBAYA JUJUUUUUUUUU TU MELI LAO LIPINDUKE.

    WAZUNGU KWANZA MACHIMBO WAMETUTOLEA WATU KAZI MAFIA NA MALIPO HAWAJAWALIPA.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 30, 2010

    Nyie wenyewe kiongozi wenu wa mtaa au kata anaweza kutoa temorary order kama hao watu watakua wameshaingia contrack na viboba wenu. Ikitolewa hiyo nyie mnakaa aiport na karatasi za sheria hiyo na kila anayeingia mnampa. Mnamwonyesha ni marufuku kuonyesha vitendo fulani na kama ukionekana unaishia jela. Na kama hilo haliwezekani najua viongozi wa kata waoga kama nini basi chukueni sheria mikononi ukiona shoga wewe kong'ta. Waambie kwetu mila zetu zinasema nikiona watu wa aina hiyo natakiwa kuwachapa lasivyo nikizaa mtoto wangu aakua kipofu...Wakirudi huko wakahadithie...

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 30, 2010

    Haya wana-MAFIA huu ndo wakati wenu kuwaonyesha WANASIASA NA SERIKALI kuwa sasa wamepitiliza hamuwezi kunyamaza! Tumieni kila njia ya amani kuhakikisha kuwa tamasha chafu hilo halifanyiki. Vinginevyo tukio la siku 7 litaacha sumu itakayoathiri vizazi vya watanzania siku 7 za wk miaka na miaka ijayo.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 30, 2010

    MASHOGA WAPO TANZANIA KIBAO HATA MAFIA WAPO, KINACHOFANYIKA TANZANIA NI KWAMBA WANAJIFICHA WAKATI NCHI ZA UPANDE HUO WANAKOTOKEA NI KITU CHA WAZI NA WANALINDWA NA SHERIA ZA NCHI, WANACHOFANYA WAO NI KUWA WANAKUJA HOLIDAY SI KWAMBA KWAO WAMEKATAZWA KUWOWANA. TANZANIA MASHOGA DEBE, ILA TUNAFANYA SIRI. NIMEISHI LINDI, DAR, TANGA, MTWARA, MAFIA, KILWA MASHOGA WAPO KIBAO Tu SI NDO HAO TUNAWAITA WASENGE KWA JINA LAO LA ZAMANI SIKU HIZI NI MASHOGA

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 30, 2010

    Fungeni Vijana wenu ndani! Hao mashaoga wana nia ya kuoa. Hujasikia ni fesheni mwanaume kuomba visa kwa ajali ya mwanaume mwenzake. Eti mume/mke wake! Na vijana wanakimbilia kwa vile wanaona ni tiketi ya kuwa na maisha bora!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 01, 2010

    We kaka hapo juu unasema wanachokuja kufanya holuday kwahiyo unasapot waje? Unasema tz mashoga wapo debe ila tunafanya siri? Kwahiyo nawe umo kwenye kundi? Matatizo yote yanaanzia ngazi za juu wanajua fika si utamaduni ila tamaaa ba kuigopa nchi za majuu kunyimwa misaada kwa kuona wakikataa watakua wamekiuka haki za..... na hivyo watakosa misaada wanao jinufaisha kuvimbisha vitambi vyao na famil zao .hawajali wananchi hawapendi mafisadi wa roho waakili na..... .washaisoma bongo kwamba watu wake hawajali jatiba zao maakuzi yai nawala hawana msimamo ilimrdi ukiwaoneshea bingo.watakubali mbona hawaendi somalia suudia na kwingine

    Ybinty

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 01, 2010

    Hivi JK anazo taarifa hizi? hapa inabidi wziri anayehusika awajibishwe.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 01, 2010

    Haya Wanamafia na Waislam wote watanzania,mda wa kupata Firdusil A'aala ndio huu..Hapo ni Jihad tu ndio itakayofanya hilo swala lisifanyike..km serikali inaandaa mipango ya ulinzi nanyi fanyeni mipango mpate msaada wa wanamgambo wa Al-Shabaab toka somalia.Ni nina hakika njia nyengine yyt haitasaidia pasi na damu kumwagika..na kwa kawaida ilivyo ikishafanyika mara ya kwanza na kukawa amani basi mchezo utandelea na kl mwaka watakuja..lkn mkionyesha mfano wataogopa.Msiogope kuitwa Al-qaeda wala Terrorists hayo ni majina tu..mbona majambazi hawaachi kazi zao pmj nakwamba wao wako ktk uovu na nyinyi mpo ktk kuzuia munkari.Mi nasikitika nipo mbali lkn tuna mpango within5 years to come tutaanzisha Al-qaeda wing in East Africa ikibezi zaidi Cast of East Africa..nipo into contact na brother Azzam Al-Amriki ili kulifanikisha hili.Lkn hili likiwa kny process msiache kufanya juhudi zenu kuzuia uovu huu.Inshaallah kheri itapatikana.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 01, 2010

    Upuuzi mtupu huu, piga kuanzia waandaaji mpaka hao mashoga wenyewe hakuna huruma hapa. Watu hawana adabu hawa na wanakaribishwa kwa misingi ipi? Mbona viongozi wetu wanakosa busara wamelogwa au laana ya kuzaliwa ? Hivi hao waandaaji wanatembea mitaani na mnawaona kisha mnawaacha tu!! Wafanyieni kazi wajue kisiwa hicho si cha kuleta uchafu hata kidogo na kwa waandaaji (Tanzania) wengine wawe macho kwa mambo haya.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 01, 2010

    ujinga mtupu..kwakweli wakiwasili hapo ni kuwapa hayo matangazo ya kisheria na muda wote wakiwa hapo kila mtu anatembea na fimbo yani ata wakishikana mkono ni viboko wakaoneshe ndugu zao...tz wapo mashoga ndio lakini wanajificha sasa hawa wageni nawao wajulishwe kwamba wakija tz wafiche upuuzi wao haujakubalika katika jamii yetu otherwise viboko tu!!
    na waandaji msisahau kuwajulisha hilo..

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 06, 2010

    huku ni kuharibiana biashara mm ni moja kati ya wa2 wa mafia na ninajua A-z ya hii issue ya hawa wa2 wanaotaka kuanda Mafia Dance Festival na co ushoga ( that z perso nal interest that makes some people kuwachafulia hawa mabwana wasiandae hili tamasha. Naamini kabisa hawa wadau hawana nia yeyote mbay na kama festival ni za mashoga basi Sauti za busara na festival za bagamoyo zingekuwa ni za mashoga. Just ask urself why Mafia? $ sure hawa wadau wamejipanga vya kutosha kwa kila kitu kuandaa hilitamasha kwa faida yao na jamii nzima ya mafia. Aliye andika hii habari ni moja kati ya watu wanaopenda mafia iendelea kuwa katika hali duni na yeye aendelee kufaidika na kuwanyonya watu wa mafia.

    Kiukweli watu wamafia bado hawajafumbuka na ni wepec sana kudanganywa ndiomaana wapo chini sana kimaendeleo. Please SAY NO kwa wapinga maendeleo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...