Vodacom kanda ya kaskazini imekabidhi Flat screen TV yenye inchi 32 pamoja na decoder, ungo wa DStv kwa Bw. Abraham Macha mkazi wa eneo la Mererani akiwa ni mshindi wa tatu katika shindano la 'world cup trivia'. Kutoka kushoto ni Meneja mauzo kanda ya kaskazini Mr. Henry Tzamburakis, Mwakilishi wa idara ya mauzo (Vodashop Sokoine) Samya Ulimwengu na mshindi wa zawadi hiyo Bw. Abraham Macha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2010

    Hiyo ni bahati nasibu au ni kitu gani? mbona washindi waliowengi ni 'asili' moja tu? tulishawashtukia!! deal hizo, wajinga ndiyo waliwao!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...