vibao vinavyoonesha majina ya mitaa aliyokuwa anaishi Nelson Mandela eneo la Orlando, Soweto, Afrika kusini kabla ya kutiwa gerezani. Leo maelefu ya wageni toka sehemu mbalimbali duniani wametembelea nyumba hii katika kuadhimisha hepi besdei ya 92 ya kuzaliwa Rais mstaafu huyo wa Afrika Kusini. Jina la Soweto ni kifupisho cha Southern West Township
watu toka sehemu mbalimbali duniani hutembelea nyumba hii ya kihistoria ambayo Nelson Mandela ameitoa ibaki kama kumbukumbu
wageni wakioneshwa ndani ya nyumba ya Mandela

Chumba kikuu.
wadau tok sehemu mbalimbali wamefurika nyumbani hapo leo
meza ya kulia chakula
kwa nje

bango lenye maneno ya Mandela ukutani
Nondozzz za mzee mzima
ankal akiwa chumba cha kukalia

uwani kukiwa na picha ya Winnie Mandela akiosha
vyombo kwenye bomba hilo pichani kwa chini
mtaa unavyoonekana
mgahawa wa familia ya Mandela

msela akiwa kabana pembeni na chupa zake
ambazo ndani mna mchanga wa eneo hilo ambao anauuza kuanzia randi 3
hadi 10 kutegemeas ukubwa wa chupa
Kwa habari kamili ya Nyumba ya Mandela

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2010

    "Long Walk To Freedom" by Nelson Mandela is one of my favorite book I've ever read.

    Thank you Dolaman kwa kutuletea picha hizi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2010

    Duh!hizo chupa nilidhani ni sosi za nando's.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2010

    TZ tumepoteza nafasi ya kuwa na sehemu ya kumbukumbu kwa kuipoteza na kushindwa kuitunza nyumba aliyoishi Mwalimu pale Magomeni. Nadhani kwa sasa kumbukumbu ya makazi ya Mwalimu iliyobakia ni ya Butiama ambako ndipo alipozikwa.

    Ankal, hapo unaingia bure au kuna kiingilio?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2010

    Baada ya kupata uhuru Biashara ni muhimu. Siasa hailiwi na ukilazimisha kula siasa ndiyo ufisadi unapoanzia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2010

    Michuzi, ukiweza itundike hii..

    http://vijana.fm/2010/07/17/nelson-r-mandela-46664/

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2010

    Mkuu umefanya kazi nzuri sana kuzibandika picha hizi. Ahsante sana.

    Malisa from BG

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2010

    hivi umefika nyumba ya kumbu kumbu ya mwalimu nyerere pale magomeni ama unataka ponda bila sababu?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2010

    God bless Hon. Nelson Mandela. Amen.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 19, 2010

    ''hivi umefika nyumba ya kumbu kumbu ya mwalimu nyerere pale magomeni ama unataka ponda bila sababu''.

    NYUMBA GANI WEWE, WAKATI IMESHAUZWA SIKU NYINGI NA WATU WANA MPANGILIO MWINGINE NA HIYO 'SITE''? UKO NHI HII WEWE KWELI?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2010

    Good Job misupu kwa kutuletea habari ya the Great SIYABONGA MADIBA, Wish you long life Madiba

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 19, 2010

    ankal safi sana kula bata,na sie tuko nyuma yako lol
    mwanaume unatalii ww??

    eneo zuri kwa utalii na kumbukumbu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...