The Abeid Karume International Airport, Zanzibar


The recently expanded runway of the spice island’s international airport was officially opened last week.
The rehabilitation and extension of the airport’s single runway now permits larger wide bodied airplanes to land, as operations into Zanzibar were hitherto restricted to smaller aircraft like the B737, the Bombardier CRJ and larger turboprop planes being able to land and take off.

At the opening ceremony it was also announced to change the current name ‘Kisauni’ to ‘Abeid Karume International Airport’ in recognition of the first president of Zanzibar.

The tourism sector of Zanzibar expressed satisfaction over the completion of the work at the airport and are now busy lobbying international tour operators and airlines to fly either nonstop or via another airport in the region to Zanzibar, so that tourists can reach the island from Europe and elsewhere without having to change planes enroute.


Zanzibar only last week underwent a referendum to create a government of national unity between ruling party and the opposition, to end constant political arguments and prevent the periodic outbreak of violence prior and after elections, which had in the past led to unfavourable anti travel advisories.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kuna makosa kwenye article aliposema we were restricted to smaller aircraft like 737 and crjs those are not small aircraft its suppose to be we were restricted to larger aircraft like crjs

    ReplyDelete
  2. Hodi "TAKURU ZANZIBAR" : licha ya uzuri wa Zenj lakini kuna tatizo hapo uwanjani, nimesikia mara kwa mara> Lleo hii hapa New Jersay (USA) nilikuwa na mtu ambaye juzi ametoka kikazi, hapo Uwanjani aliombwa Pesa ili apitishe sanduku lake bila kufunguliwa. Waarabu wawili waliokuwa kwenye mstari walipofika walikabidhi pesa na kupita bila kubughuziwa. naona Njaa inatia doa sana Uwanja wetu! TAKURU mpo,,,tembelea uwanja wa Zanzibar

    ReplyDelete
  3. yani unataka takukuru waende airport ya zanazibar kuzuia rushwa wakati uwanja wa hapo dar tu wameshindwa.

    ReplyDelete
  4. afadhali ss tutatalii sana tu
    zanzibar oyeeeee,utalii na udumu

    naja

    ReplyDelete
  5. mimi nadhani wahusika wanatakiwa sasa kuelekeza nguvu katika jumba la kufikia na kuondokea wasafiri; kwa kweli nimepita pale mara kadhaa na nakuwa najisikia huzuni sana kwa hali ilivyo; yaani hata mimi na ulofa wangu naweza kuweka ka living room kangu kakawa na mvuto kwa mgeni kuliko inayoitwa International Airport of Zanzibar?

    Nafikiria kwamba tatizo si jengo tu kuwa halitoshi lakini pia kuna tatizo zima la customer services kuwa za hali ya duni sana; na kushindwa kuelewa kwamba hapa ndipo kwa kujipinda kwasababu ndio nyumba ya kwanza mtalii anaetoka ulaya au marekani anayofikia mara akitua Zanzibar.

    ReplyDelete
  6. Rushwa tatizo sugu Africa!

    ReplyDelete
  7. duh hii wamezidisha ukubwa tu wa runaway lakini kule juu wameziba tena kwa mabox ati wanadai ugaidi inatoa picha mbaya sana zamani ukiwa una mgeni wako au unataka kusafiri basi unamuona hadi anaingia kwenye ndege na ndio ilivo kwa airport nyingi utakuta kumefunguliwa firstfood na ungaona kila kitu sasa unaishia nje kiwanja chenyewe kiduchuu,hakuna hata sehemu ya kupumzikia.wameshindwa kujenga jengo la kisasa hawa mbona aibu vijii inchi kama seychelles viduchuuu vyenye watu 80 elfu tu lakini wana international airport ndege za dunia nzima zinakwenda.KUHUSU RUSHWA SIO SANA YA HIVO KAMA ILIVO JKI pale wakikujua wewe mm-bongo lakini una nondo ya ulaya umemalizika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...