siku tajiri mpya wa bwawa la maini alipoingia uwanjani kuangalia timu yake ikipigwa 2 mtungi na everton, ankal alikuwa utete, rufiji, kwenye vekesheni. hana hamu jinsi ruba alivyoganda bwawani....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ankal,salama lakini?
    Hongera kwa vekesheni,na pole kwa kichapo..

    ReplyDelete
  2. Eti hizi tetesi ankal karudisha card ya liver na kuchukua ya Chelsea ni za kweli?

    ReplyDelete
  3. Ankal hapo Utete bado iko biashara ya mbao ama wameshafyeka misitu yote?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. Ankal, hapo ni home village, umenigusa sana mdau, unatuonyesha ni jinsi gani unavyojituma kipindi hiki cha campaini. Juhudi hizi ziendelee!Umeme umeshawaka? Maji ni bwerere masaa 24!! Pongezi kwa Watendaji wote!!

    ReplyDelete
  5. ...Kama kawa, ze fulanazzz inawakilisha globu!

    Mdau wa Mwenge

    ReplyDelete
  6. Michuzi si uhamie Man U kwa muda? Man U hawana ubaguzi!!

    ReplyDelete
  7. huo ndio umasikini wa nchi michuzi anaoshabikia

    ReplyDelete
  8. ankal bora uhamie arsenal. bwawa la maini limekauka iliyobaki litakukamua wewe maini yako.
    mdau ndani ya MAISHA UTANI

    ReplyDelete
  9. Ha ha ha ha Michuzi sijui kama uliangalia hiyo mechi! Maana fans wa Bwana mmefulia kinoma, hatuwaoni hata mkiongeo. Wenzenu wanatimu guruwe lao wanabaki na mchicha-rito.

    Gunner forever.

    ReplyDelete
  10. Ankal, siriaz, mwaka huu 'Bwawa' lina hatari ya kushuka daraja.

    ReplyDelete
  11. Utete Rufiji mbona kutu nyingi? Hiyo inaathiri watoto na kuchafua mazingira. wizara ya afya infanya nini? Watu wanakazana kuangalia wa ligi ya Uingereza. Wamesahaulika? Afya kabla ya kilimo. Una mpango gani Michuzi, gombea ubunge uwatetee hao ndugu zetu wa Rufiji.

    ReplyDelete
  12. Michuzi, wakati wa usajili mdogo January, njoo arsenal kwa MKOPO. Wenger ana hela wa ya wachezaji 1 au wa 2. Na pia mambo mazuri kwa mashabiki na wapenzi, mwenyewe (AW) anasema kesha nusa harufu ya mambo makubwa. Tumemaliza deni letu la kudevelop Haibari( Highbury). Tuna faida ya TShs 130billion kabla ya kodi.

    Mdau Kiwoso - Kidachini

    ReplyDelete
  13. Hahahahahahahaahahahahahahah! Kwa kweli umenifurahisha sana. Ila nimefurahi zaidi kusikia unataka kuhamia Chelsea. Tuthibitishie tafadhali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...