THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

frank na natasha wameremeta

Frank akimlisha mkewe Natasha keki kwa upendo
Maharusi na wapambe wao wakisali kabla ya kukata ndafu
Frank na Natasha wakifungua Champain
Ringi la maana lilizunguswa katika kusherehekea harusi ya Frank na Natasha.
Kamati ya maandalizi ikiwa na zawadi


Kuna Maoni 9 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Ewe, frank umpende natasha kila siku kama siku ya leo ambayo mmefunga ndoa umesikia?? spendi kuona ishu ya small house marufuku!!

  HONGERENI SANA MDUMU MILELE

 2. Anonymous Anasema:

  Akileta ujinga ajue kuna watu bado tunampenda huyo binti.
  Amtunze vizuri mtoto mrembo huyo.
  Ole wako tusikie habari mbovu.

  Hongereni saana Maharusi

 3. Anonymous Anasema:

  Who are they by the way?

 4. Anonymous Anasema:

  mmemependeza sana hongereni

 5. Anonymous Anasema:

  najua huyu jamaaa anafanya kazi duka la kompyuta linaitwa PRINCE ni salesman wao... hongera

 6. Anonymous Anasema:

  frank yuko handsome kweli , nimemtamani, ila nimemkosa

 7. Anonymous Anasema:

  YAANI HIZI NDO DEAL ZA BONGO, KILA KUKICHA HARUSI NA VISHUGHULI, KWELI NAVIKOSA HIVI VITU.

  NA TENA INAONYESHA KUWA USIPOANGALIA UTAISHIA KUFANYIAK KAZI SHEREHE/HARUSI.

 8. Anonymous Anasema:

  SAFI SANA, HATA ULAYA MABIBI HARUSI WANAKUWA GYM KABLA YA HARUSI ILI MWILI UKAE VIZURI.KAPENDEZA YUKO FIT SANA.

 9. Anonymous Anasema:

  frank, bado tuna kutaka babu weee. kama hukupata kitu roho inataka usiache kutu beep