Mdau Frank Mtao akiwa na Marehemu mama yake,
Hayati Felista Mtao, enzi za uhai wake


Ni miaka mitano sasa tangu ututoke rafiki yetu kipenzi,
ndugu na mama yetu mpendwa.
Ukarimu na ujasiri wako tutaukumbuka daima.
Enyi marafiki, ndugu na jamaa popote mlipo,
nawaomba sara zenu mumuombee mama yangu Felista Mtao
akae mahali pema peponi huko aliko - Amina!
Frank Mtao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Namkumbuka sana mama yetu hasa pale aliponisaidia mtoto wangu alipozaliwa,mungu amlaze mahali pema peponi, Amina-Faraji Baba

    ReplyDelete
  2. namkumbuka sana na hasa jinsi ulivyokuwa unampenda sana mama mtao. daima tuendelee kumwombea. frank unatumia namba gani na uko wapi? australia au dar. naomba namba yako ya dar ya cm fadhali.

    ReplyDelete
  3. Naomba Mungu aiweke roho yako pema peponi Mama. Ameen.

    ReplyDelete
  4. namkumbuka mama kweli mlimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi, tupo pamoja frank, gloria

    ReplyDelete
  5. RiP Bi Mkubwa...mwanga wa milele uangaziwe.

    ReplyDelete
  6. Namkumbuka Sana mama yetu, tangu miaka ya 88 na 89 wakati tukiwa tunakaa karibu kule Musoma maeneo ya Nyasho. Frank pole sana, ni kazi ya Mungu. MARERO STEPHEN

    ReplyDelete
  7. JULIUS CHIFUNGONovember 24, 2010

    Pole sana kaka Mtao, yote mapenzi ya Mungu. Tulimpenda sana mama lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi. Tuzidi kumuombea apumzike kwa Amani
    CHIFUNGO-IRINGA TZ.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...