THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Mh. Job Ndugai ndiye Naibu Spika

Mh. Job Ndugai akila kiapo baada ya kuchaguliwa wa kura nyingi kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo jioni mjini Dodoma.
Spika Anne Makinda akimkabidhi
Naibu Spika Mh. Job Ndugai nyenzo za kufanyia kazi

Naibu Spika Mh. Job Ndugai akikalia kiti cha enzi kuanza kazi

video
Mh. Job Ndugai akijieleza kabla ya uchaguzi


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Pongezi mara elfu kumi ndugu Job Ndugai na Mola akulinde na akupe kila la heri. Amen.

  2. Anonymous Anasema:

    Mhe. Naibu Spika Job Ndugai,
    Wananchi wanategemea Bunge la kasi zaidi,kiwango na uwezo wa mkubwa wa uwakilishi

    MAINA OWINO