Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Mahafali ya Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma leo . Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dr. Robert Kisusu na katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la chuo, Ramadhani Khalfan.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Mkuchika (kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma, Ramadhani Khalfan (kushoto) baada ya kutunuku Vyeti na Stashahada kwa wahitimu wa chuo hicho
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika Picha ya pamoja na badhi ya wahitimu wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo baada ya kuwatunuku vyeti na Stashahada katika mahafali ya chuo hicho Novemba 15, 2010. Waliokaa kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dr. Robert Kisusu, Mwenyekiti wa Baraza la Wadhmimi wa Chuo, Ramadhani Khalfan, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Mkuchika na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Majoho safi. Ila wayavae vizuri...na kama hizo kofia ni kubwa sana zipunguzwe saizi!

    ReplyDelete
  2. Jamani, mpeni Pinda nae ka-nondoz haka kamoja ka PhD. Dr. Kikwete anazo zaidi ya tatu sasa :-)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...