Sehemu ya Mji wa Bukoba unavyoonekana kutokea juu.
Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Kibao kinachokukaribisha katika Mji wa Bukoba.
Jengo la benki ya CRDB tawi la Bukoba linavyomeremeta katika mji huo.
Soko kuu la Mji wa Bukoba linavyoonekana leo.Mitaa ya katikati ya mji wa Bukoba.

kwa picha nyingi zinazoonyesha mandhari ya mji huu wa Bukoba na matukio mengine mengi,tembelea libeneke la Mtaa kwa Mtaa linaloendeshwa na Ankal Othman Michuzi kwa kubofya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Naomba utuwekee soko la KATERERO hapo Bukoba. Gulio lake ni zuri sana.

    ReplyDelete
  2. Mabepari mko wapi? ama mmebanana dar tu mnaacha kujenga kwenu?????!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2011

    Nakugambireee enough.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2011

    ukiondoa Dar, Mwanza na kidogo Arusha hiyo miji iliyobaki tumsalie mtume jamani !

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2011

    Wakola muno kunyoleka e'ngozi e'zamazima. Sisi wazawa wa Bukoba tunaokaa huku Dar na kwingineko tunapenda kuuona mji wetu ukiwa ktk mazingira yaleyale origino yasiyo na maghorofa marefu, zamani mitaa ya bk jengo refu sana lilikuwa ni pale Magereza likiwa na ghorofa nne!!! Mtu yeyote wa Bukoba ulipokuwa unazungumzia jengo refu duniani anakwambia... ni refu kupita la Magereza!!!??? Pia inanikumbusha wakati huo bk kuna advocate mmoja tu, ukitaja neno advocate wanakuuliza unamzungumzia "Rweyemamu"!!??? Wakati huo pia Bk kukiwa na matajiri kina Mulima (marehemu), Kainami,Gulam nk!! Wakati ule ukivaa viatu ni Jumapili kwenda kanisani!! Pia kali ya mwisho, wali ulikuwa ukiliwa wakati wa sikukuu hasa Xmas, na mchele unanunuliwa mwezi Juni unatunzwa hadi Disemba, kuku ananunuliwa mwezi wa tisa mnamchunga kila jioni asije akapotea otherwise ilikuwa ni kesi kubwa kwa dingi. Kama kuna mtu atakumbuka mengine naomba aatuhabarishe.
    Michu naomba usiibanie wape wadau raha wakumbukie bk enzi hizo.

    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2011

    Kama kuna mtu anataka kujua eneo linaitwa 'Katerero' na mitaa yake vizuri naomba niulize kupitia anuani yangu ya katerero73@gmail.com

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2011

    Kweli Nkyabo..Maana wazee walikuwa wantupa pesa ya kunnua nguo za Xmas baada ya kuuza kahawa mwezi wa tisa.Pia kuvaa viatu shule ilikuwa issue..ni pekupeku tu.Hoteli maarafu ilikuwa COFFEE INN,ukumbi wa disco ulikuwa Continental pale stendi ya mabasi sasa hivi ni booking offices za mabasi ya kwenda Mwanza nk.Timu za mpira zikuwa ni Coffee,RTC Kagera,Magereza Rwamulumba.Dj maarafu alikuwa kutoka One way disco sound..Mhhh we acha tu.
    Wakola waitu.
    Mzee wa Ifakara

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2011

    ungambire stupid yote na makeke yenu hii ndio mji wa Bukoba? Ah Wahenga mko wapi jamani? Kiswahili kirefu lakini duh hapa itabidi ile mikutano ya kuchangiana harusi tuzungumzie nyumbani. Wachagga tunajenga Moshi na sehemu tunayoshi nyie hamjengi nyumbani kwanini? Maendeleo ya nyumbani yanaletwa na mwenyeji sio wageni jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...