
Kaka Michuzi please share the link with your lovely readers to see our sister’s happiness.
This lady is important person to many peoples life: she inspires, she helps, and she encourages many of us.
Regards From
Wedding Bells Bridal boutique Tanzania
Kimwer Avenue, Msasani
Mobile 0715 943 333

hongera sana dada Maza.nadhani huyu dada ndio yule mwenye saloon na mpambaji mzuri sana wa maharusi.mdogo wangu alipambwa kwake mwaka 2006.palikuwa na mabibi harusi wengi siku hiyo lakini alifanya kazi nzuri sana na mdogo wangu alipendeza sana.again hongera sana dada, zamu yako imefika na sure umependeza sana,ujaliwe sana katika ndoa na maisha yako.
ReplyDeleteToo much pink or colours!
ReplyDeleteHONGERA SANA MAANA NOW IMEKUA
ReplyDeleteWow a Wonderfull wedding , maharusi mmpendeza sana, Mugnu awabariki na muishi kwa amani.
ReplyDeletebora umetuwekea picha, shamimu anatubania weee huko kwenye blog yake!
ReplyDeletekwa kweli harusi ilipendeza sana. Congrats Maznat
ReplyDeleteAm so happy for u maza no words can express what I feel when I see this . If it wasn't for you I would not have passed my exams
ReplyDeleteRebel