Jukwaa lilivyokuwa linaomnekana kwa mbali. Chini ni Msanii Ludacris akimwaga Lazi usiku wa kuamkia leo viwanja vya Leaders Club, Kiondoni, jijini Dar es salaam katika shoo ya hitimisho la Tamasha la Fiest. Picha na Kajuna Son na Michuzi Jr






Palikuwa hapatoshi

DJ wa Ludacris akifanya mambozzzzz

Msanii mahiri wa Kike kutoka nyumba ya vipaji THT,aitwaye Lina akicheza jukwaa na mmoja wa madensa wake kwa namna ya kipekee usiku huu,ambao shangwe za hapa na pale ikiwemo miluzi kibaoo.
Nyomi la Watu
Kijana mdogo hivi lakini mambo yake ni makubwa awapo jukwaani,anaitwa Beka Boy kutoka nyumba ya vipaji THT akiimba jukwaani.
Msanii wa kike Mwasiti pamoja na msanii mwingine anayeibukia vilivyo katika anga ya hip hop bongo,Gozilla wakilishambilia jukwaa la Serengeti Fiesta 2011 usiku huu.
Wakazi wa jiji la Dar ambao wametoka kila kona wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011.
Msanii mwimbaji na mtunzi kutoka THT aitwaye Amin akiwa na kundi lake wakionyesha umahiri wa kucheza jukwaani kwa namna ya kipekee kabisa usiku huu.
Msanii mahiri wa kizazi kipya Ben Paul akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu.

Pichani ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Serengeti Breweries Limited,Tedd Mapunda,Mkurungenzi wa Masoko wa SBL,Ephraim Mafuru pamoja na Mdau wakiwa wamepozi huku wakifuatilia tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea jukwaani usiku huu kwenye viwanja vya Lidaz Clud,Kinondoni jijini Dar.
Umati wa watu uliofurika usiku huu ndani ya viwanja vya Lidaz Club,wakishangilia majotro yanayaoendelea hivi sasa,ama kwa hakika ni full kujiachia watu ni wengi na ulinzi upo wa kutosha kabisa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2011

    haina majotroooooooooooo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2011

    Kweli watanzania wanaipendwa Fiesta haina majotroooooooooooooos!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2011

    Samahani lakini jana nilijaribu kuangalia kidogo nikawa bored. Mbona wasanii wengi wa kwetu wanatumia CD kwa nini? Ile ilitakiwa iwe live show na ingependeza kweli kweli.

    Samahani nikiwa nimewaudhi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2011

    hahahaah fiesta kaka umeibania comment haina nomaa lakini sisi ndo watanzania tutazidi kutania mpaka mwisho.....
    MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2011

    sio palikuwa hapatoshi tu na palikuwa pananuka na jasho pia na wezi nje nje

    ReplyDelete
  6. hivi bongo siku hizi wanaruhusu kuvaa nguo zenye rangi ya jeshi?au kwa sababu amevaa Ruda basi na sheria hakuna,je sisi walalahoi tukivaa itakuwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...