THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

wema sepetu atia fora katika fiesta morogoro


Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake  mwanamuziki Diamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Fiesta   kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi anamcheki mtoto wakati alipokuwa akiimba.
Hapa Diamond akimwimbia mpezi wake Wema Sepetu huku akiwa amepiga magoti katika kuonyesha heshima kubwa kwake kutokana na sapoti anayompa katika kazi zake. Picha na Michuzi Jr


Kuna Maoni 13 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  WEMA SEPETU SAAAAFI SAAAAAANA , ULICHO KIFANYA KWA MPENZI WAKO HAPA BRUSSELS-BELGIUM KINAHESHIMIKA SAAANA. SAAAFI SAAAANA WEMA.

 2. Anonymous Anasema:

  hongera wema. tulia sasa acha mapepe

 3. laiza Anasema:

  Hii inafaa iwe habari mvunjo "breaking news" kwamba Wema binti Abraham amehamia mbagala kwenye nyumba nyuma mbele jalala....HATS OFF Wema!!!

 4. Anonymous Anasema:

  hivi ukimpa mtu hongera unakuwa una ona jambo jema alilofanya .... hapa hongera ni ya nini hasa? Shame on u ... kisa cha kutembea uchi
  http://www.jamiiforums.com/jamii-photos/151771-wema-ndani-ya-fiesta-moro.html

 5. Anonymous Anasema:

  Natamani mfunge ndoa kabisa tena mheshimiaje kama Jay Dee na Gadner kila la kheri

 6. Anonymous Anasema:

  Hata mi nashangaa hongera za nini, mwanaume kavaa poa kiheshima, mwanamke kajiachia ila wanasema ukiona mwanamke yuko uchi ujue alisha uonyesha uchi wake kwa more than 5 men,(watafiti walisema)maana huwezikuwa umeanza tu kuchumbiwa ukajiachia. Mmmhhhhhhhhhhh wanaume mnaooa sasa mnakazi kwani siku hizi wadada hawawawekei waume zao wanatoa kama nyanya sokoni au vitunguu hata akitaniwa tu na mwanaume kidogo huyo anaingia ndo maana ndoa hazina thamani tena. Pole Diamond i think pray before you do anything, marriage is not lelemama thou.

 7. Anonymous Anasema:

  wewe unayesema wema yuko uchi una matatizo gani. this is show biz. ulitaka avae buibui au vipi. wewe ni taliban au vipi. hata kama watu bilioni kumi walikwisha kumuona uchi so what.

 8. Anonymous Anasema:

  Chamsingi wametoka poa, na hakuna kitu kizuri katika maisha kama kupata support toka kwa mtu wako wa karibu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Wengine wivu tu hawana lolote. Big up wema, keep it up, hayo ndiyo maisha.

 9. Anonymous Anasema:

  big up wema nimeipenda hii. na nyie mnaosema eti diamond pray kabla hujaamua, hata kama Sepetu alianguka wakati flan alikuwa anajifanya mwenyewe? mbona mwapenda kuwaonea wanawake nyie?? mie naamini bado kuna wanawake decent sio kama dunia ni chafu kiasi hicho. Na hata sie wanawake tunapata shida kuamua nani atuoe mana wanaume nao wamekuwa wachafu sana. Unakutana na mwanaume hamjajuana hata mwezi anaomba, unamkatalia anaomba, unamnunia anaomba, unamwambia nakupa three months ya kupima walau kwa kadirio la chini, anaomba. yani hadi wajiuliza what type of world is this. msisingizie wanawake, wanaume zipu wameacha wazi all the time.

 10. Anonymous Anasema:

  dunia ipo taabani wanadamu wamekengeuka.sidhan this will last longer,wema unahitaji changes in ya life.

 11. Mkware Anasema:

  We Misupu mbona umeibania ile picha nyingine aliyoiweka DOGO wako kule kwake?

  Nayo ilete hapa bana! Halafu umeshamwambia nae aitoe

 12. Anonymous Anasema:

  si wanampamba huyo wao

 13. Anonymous Anasema:

  acheni ujinnga big up sepetua maaana umessepetua mbayaaaa