Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake mwanamuziki Diamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Fiesta kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi anamcheki mtoto wakati alipokuwa akiimba.
Home
Unlabelled
wema sepetu atia fora katika fiesta morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WEMA SEPETU SAAAAFI SAAAAAANA , ULICHO KIFANYA KWA MPENZI WAKO HAPA BRUSSELS-BELGIUM KINAHESHIMIKA SAAANA. SAAAFI SAAAANA WEMA.
ReplyDeletehongera wema. tulia sasa acha mapepe
ReplyDeleteHii inafaa iwe habari mvunjo "breaking news" kwamba Wema binti Abraham amehamia mbagala kwenye nyumba nyuma mbele jalala....HATS OFF Wema!!!
ReplyDeletehivi ukimpa mtu hongera unakuwa una ona jambo jema alilofanya .... hapa hongera ni ya nini hasa? Shame on u ... kisa cha kutembea uchi
ReplyDeletehttp://www.jamiiforums.com/jamii-photos/151771-wema-ndani-ya-fiesta-moro.html
Natamani mfunge ndoa kabisa tena mheshimiaje kama Jay Dee na Gadner kila la kheri
ReplyDeleteHata mi nashangaa hongera za nini, mwanaume kavaa poa kiheshima, mwanamke kajiachia ila wanasema ukiona mwanamke yuko uchi ujue alisha uonyesha uchi wake kwa more than 5 men,(watafiti walisema)maana huwezikuwa umeanza tu kuchumbiwa ukajiachia. Mmmhhhhhhhhhhh wanaume mnaooa sasa mnakazi kwani siku hizi wadada hawawawekei waume zao wanatoa kama nyanya sokoni au vitunguu hata akitaniwa tu na mwanaume kidogo huyo anaingia ndo maana ndoa hazina thamani tena. Pole Diamond i think pray before you do anything, marriage is not lelemama thou.
ReplyDeletewewe unayesema wema yuko uchi una matatizo gani. this is show biz. ulitaka avae buibui au vipi. wewe ni taliban au vipi. hata kama watu bilioni kumi walikwisha kumuona uchi so what.
ReplyDeleteChamsingi wametoka poa, na hakuna kitu kizuri katika maisha kama kupata support toka kwa mtu wako wa karibu. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Wengine wivu tu hawana lolote. Big up wema, keep it up, hayo ndiyo maisha.
ReplyDeletebig up wema nimeipenda hii. na nyie mnaosema eti diamond pray kabla hujaamua, hata kama Sepetu alianguka wakati flan alikuwa anajifanya mwenyewe? mbona mwapenda kuwaonea wanawake nyie?? mie naamini bado kuna wanawake decent sio kama dunia ni chafu kiasi hicho. Na hata sie wanawake tunapata shida kuamua nani atuoe mana wanaume nao wamekuwa wachafu sana. Unakutana na mwanaume hamjajuana hata mwezi anaomba, unamkatalia anaomba, unamnunia anaomba, unamwambia nakupa three months ya kupima walau kwa kadirio la chini, anaomba. yani hadi wajiuliza what type of world is this. msisingizie wanawake, wanaume zipu wameacha wazi all the time.
ReplyDeletedunia ipo taabani wanadamu wamekengeuka.sidhan this will last longer,wema unahitaji changes in ya life.
ReplyDeleteWe Misupu mbona umeibania ile picha nyingine aliyoiweka DOGO wako kule kwake?
ReplyDeleteNayo ilete hapa bana! Halafu umeshamwambia nae aitoe
si wanampamba huyo wao
ReplyDeleteacheni ujinnga big up sepetua maaana umessepetua mbayaaaa
ReplyDelete