Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongozana na mgeni wake Rais wa Somali, Sheikh Sharif Sheikh Ahmed wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo kwa ziara ya siku mbili.
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Somalia,Sheikh Sharif Sheikh Ahmed wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo
Askari wa JWTZ wakiwa kwenye Gwaride la heshima wakati wa ugeni wa Rais wa Somalia leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
wasanii wa JKT wakotoa burudani kabla ya ujio wa Rais wa Somalia.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. JAMANI HALA HALA NCHI YETU YENYEWE TUNA NJAA,HAKUNA UMEME,MAJI,NA SASA MAFUTA....ANGALIENI WASOMALI HAO HAWANA AKILI,TUSIJE KUFANYWA KITU MBAYA KAMA UGANDA LETS CONCETRATE ON OUR OWN PROBLEMS.

    ReplyDelete
  2. Huyu bwana kaja tena kung'oa jino? Hii itakuwa mara ya pili sasa...

    ReplyDelete
  3. Nina rafiki yangu huku ughaibuni anatoka Somalia huwa nikimueleza jinsi nchi yetu inavyowasaidia wasomali kwa mfano miaka ya hivi karibuni serikali iliwapa uraia wakimbizi wao wapatao 400000 huko tanga na sasa hivi tunawapa chakula. Anacheka kweli na kuniambia tusiwaendekeze sio watu wazuri eti watakuja kutuliza siku moja na huruma zetu hizo. Anasema namnukuu: "Haya jifanyeni mna huruma kuna siku mtajuta kuwapa uraia hao jamaa".

    ReplyDelete
  4. Wamepata wapi mafuta ya kufika eapoti?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...