Bw.Chris Kukulski, Meneja wa jiji la  Bozeman akimkabidhi Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa uraia wa heshma,(Honorary Citizenship) wakati meya Silaa alipotembelea jiji hilo lililopo jimbo Montana nchini Marekani wikiendi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. keep it up - ur the new generation tunaowategemea

    ReplyDelete
  2. Mzee niachie huo uraia kaka?

    Mbeba Box

    ReplyDelete
  3. sasa anza BOX karatasi usharamba lol

    ReplyDelete
  4. huandishi bora tungeelezwa kafanya nini adi apewe huo uraia . Mimi naamini dunia hii akuna mtu atayekupa zawadi bure unless its ur birthday na sikuizi hata waalikwa wa birthday wanakuja mikono mitupu.....
    Mdau washington , mimi na michuzi blog damu damu :)

    ReplyDelete
  5. Mh! Kwa hiyo atakuwa na dual citizenship?

    ReplyDelete
  6. Hongera sana

    Kuna honorary citizenship ya nchi yaani ya USA na honorary citizenship ya city na pia honorary citizenship ya state. Ya nchi hutolewa na raisi, wakati ya state hutolewa na governor wa state hiyo na ya city hutolewa na city manager kama ilivyo kwa Jerry. Hizi ni tuzo za heshima tu na hazimpti mtu yeyote hadhi yeyote ile ya uraia wa marekani au state au mji. Wala haina kuwa na upendeleo kupata viza wala kuwa na haki za raia wa USA au wa mji huo. Ni tuzo la heshima halina haki yeyote wala pesa. Faida yake labda kuiandika kwenye CV tu. Wakati honorary citizenship ya nchi USA, ni hadimu sana mpaka sasa ni watu 5 tu wamepewa tuzo hizo tokea USA iwe nchi wakiwemo Wiston Churchill. Tuzo za miji (city) ni za kumwaga

    asante, mdau Joe Bura

    http://www.state.gov/documents/organization/86761.pdf

    ReplyDelete
  7. Jukumu la kutoa uraia marekani linawezwa fanywa tu na united states citizenship and naturalization services , hata Obama hawezi mpa mtu uraia, what this Guy is getting is something else and not citizenship. Mambo ya uraia hapa ni magumu jamani na yote yapo federal level and any official at state level can not offer someone a citizenship

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...