Hatimae bei ya Dagaa wa Kigoma imeshuka kuduchu toka Tshs. 20,000/= tarehe 24/09/2011 hadi Tshs. 17,000/= wiki hii kwenye Soko Kuu la Karikoo. Dagaa wa Mwanza wao wanaendelea kukomaa na bei yake ile ile ya Tshs. 3,000/= kwa kilo.
Bei ya Awali kabla ya kushuka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa nini dagaa ghali?

    ReplyDelete
  2. supply and demand ndio ina set price. I hope EWURA wangeachia market ifanye mambo yake na sio uhuni wa price control.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...