Baadhi ya mabango yenye ujumbe yakionyeshwa katika kilele Tarime
 Hawa ni baaddi ya waasisi wa UW
 Karibu tena Mama yetu Mkoani Musoma- Mbunge viti maalumu Mkoa wa Mara Rosemary Kirigini baada ya kualizika sherehe Tarime
 katimu Mkuu wa UWT Amina Makillagi (shoto) akimtambulisha muasisi Dr, Msimu Abdulrahman Hassan.
 Kikundi cha kwaya ya Chuo cha ualimu Tarime
 Mama Karume (shoto) na Mama Salma Kikwete wakiwaaga UWT babada ya kumalizika sherehe Tarime za UWT Kitaifa
 Muasisi wa UWT  Zanzibar Mama Fatma Karume akionyesha Tuzo yake baada kutunikiwa
Muasisi wa UWT Zanzibar  Mama Fatma Karume (kulia) na Mama Kikwete wakifurahia maonyesho ya wajasiriamali Tarime.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. haya haya tena chereko chereko mwana mwari ccm yuko uwanjani cheroko chereko vibwebwe na ushungi ha ha ha. wadanganyika na wazanzibar ha ha ha.
    uhuru wa bendera huooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...