MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA (PICHANI) LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM,MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

HABARI KAMILI NA PICHA ZITAFUTA BAADA YA MUDA KIDOGO.HIVYO TUVUTE SUBIRA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Sawasawa kabisa,Wafujaji wa mali za uma hatuwahitaji katika jamii.

    ReplyDelete
  2. he wamemshika m'kameruni ; wampe dhamana asije'enda tuharibia vijana wetu huko !

    ReplyDelete
  3. Afadhali.Hili nani kaliibua? wapinzani wanasemaga wao ndo wanaoibua kesi za ufisadi, na matumizi mabaya ya madaraka! Precision Air Oyeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  4. Usanii

    David V

    ReplyDelete
  5. Usanii

    David V

    ReplyDelete
  6. ni matumaini yangu haki itatendeka,mafisadi kama haya yanayoongea kwa ujeuri na kejeli wanapaswa kuwajibishwa ipasavyo

    ReplyDelete
  7. awe mfano kwa wengine wanao hujuhu mali za watanzania.

    mdau paris

    ReplyDelete
  8. Hmna lolote ni usanii tu unaendelea kama kawaida yenu. Kwa vile mmeboronga kwenye kupitisha mchakato wa katiba, sasa hivi mnataka kujikosha kwa wananchi ili wasahau katiba. Mara daraja la kigamboni, mara Jairo, mara Bosi wa ATCL. Mlikuwa wapi wakati wote huo msiwashughulikie? Tunajua mwisho wa siku hwatapatikana na hatia.

    ReplyDelete
  9. Dhana ya Kujivua Gamba inaenda sambamba na kuwatoa kafara wachache.. Then baadae wanaachiwa huru... Full Viini macho

    ReplyDelete
  10. SIRI YA AIBU KUBWA KWA NCHI YETU TANZANIA KUSHINDWA KUWA NA SHIRIKA FANISI LA NDEGE ANAYO MHESHIMIWA HUYU AMBAYE SASA NI MDHARAULIWA!!!

    ReplyDelete
  11. Ni muujiza na maajabu ktk uendeshaji wa biashara kuwa na mradi wa Genge la dagaa banda moja tu, halafu ukaajiri watu 30 wasaidizi.

    MUUJIZA: NI MAAJABU YA MWAKA KIUENDESHAJI WAKATI SHIRIKA LINA NDEGE 3 TU TENA ZA KUKODI ,HALAFU ATCL IKAAJIRI WAFANYAKAZI 300...HAYA NI MAHESABU YA MBINGA!!!

    ReplyDelete
  12. Ndio maana ktk dunia nzima utakuta Profesa wa Biashara wa Chuo Kikuu nchini Tanzania, anafundisha na kutunuku Wanafunzi Shahada ,na Shahada za Uzamili wakati yeye mwenyewe hata hamudu kuendesha mradi wa genge la bamia au kioski cha soda!!!!

    Matokeo yake ni mzao wa waendeshaji kama huyu Bosi!!!

    ReplyDelete
  13. Tujifunze kuangalia zaidi wasifu badala ya kufahamiana!!!!!....unakuta wahitimu na wanataaluma wenye sifa stahiki na walio rasilimali kubwa kabisa kwa nchi,ili kujikimu kimaisha wanahangaika juani wakibeba chupa za maji safi kupoza njaa na kiu huku makabrasha mikononi na makwapani kuhudhuria semina na kutafuta kazi za muda!

    ReplyDelete
  14. Kufahamiana sio kigezo cha ufanisi!!!! nchi itafikia pabaya na mabosi wa aina hii kupewa dhamana mwishowe wana chemka!

    ReplyDelete
  15. Mbona kama mashtaka husika yameshamfanya awe huru hata kabla kesi haijaanza?

    ReplyDelete
  16. mbuzi wa kafara huyo Air Tanzania wameiuwa wakubwa fulani wakishirikiana na Shirima aliekua Air TANZANIA wameuwa wafungue PRECISION

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...