THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

PROFESSOR JAY, ALLY KIBA & DIAMOND PLATNUMZ LIVE IN UK 10.12.11!!!!!!


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Tangazo linapotosha !

  -Ilitakiwa kusema- 'miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika'

  -Alafu Prof Jay inabidi ajifunze kutoa tangazo lenye busara, ametamka neno 'AU SIO' mara 16!

  Mkongwe wa muziki kama Prof J inabidi atoe mfano mzuri kwa wanao chupukia pls.

 2. Anonymous Anasema:

  Jamani WHY mnaleta hawa? Tunataka wanamuziki wa ukweli kama kina Choki, Banza, na wengineo fleva is past tense. Hawa si wanamuziki jamani, toka lini waimbaji wa karaoke wakawa wanamuziki? Please jamani, next time mkitaka kuleta wanamuziki wa nyumbani ombeni ushauri.

 3. Anonymous Anasema:

  Kaa jamani hii mmetubania, hata anuani ya ukumbi hakuna eti sisi ndo tupige cmu, Tanzania hamjui customer service kabisa, advertisement yeyote inakuwa na full information,(date, adress, time and price)ili kabla hatujapiga cmu tuwe angalau na jibu moja,je ni mbali sana kutoka home kwangu? Je huo muda nitakuwa available. Mi nataka kuja kwa ajili ya prof J

 4. Anonymous Anasema:

  Au sio....!

 5. Anonymous Anasema:

  Useless kabisa. Hawa ndo wanamuziki wa Bongo? Wapi muziki wetu wa asili jamani? Siji ng'oo kwenye shoo yenu leteni wanamuziki wa kiukweli toka nyumbani si waigizaji.