Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Makao Makuu ya Umoja wa Africa leo mjini Addis Ababa,Ethiopia.Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. bernard Membe. Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza leo asubuhi mjini Addis Ababa. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh Bernrd Member na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr Mwinyihaji Makame  katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa,Ethiopia leo.Picha na IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. vipi JK leo kakutana na nani? maana yeye huwa hakutani na viongozi hadi mikutanoni anapatiahapo hapo kuondoa gharama,lakini kweli hawa waafrica hana shida nao kukutana nao

    ReplyDelete
  2. BABA HUKU MADAKTARI WAMEGOMA NA WATU WANAKUFA SIO UTANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...