JK akiwa na Muadhama Laurean Kardinali Rugambwa ambaye alikuwa 
Kardinali wa kwanza wa Afrika, Mwadhama Laurian Kardinali Rugambwa alifariki dunia, mwaka 1997. Mwili wake ulipumzishwa katika Kanisa la Kashozi km 15 Mashariki mwa Mji wa Bukoba, ukisubiri kuhamishiwa katika makazi yake ya milele katika Kanisa Kuu la Bukoba (katikati ya mji), alilochagua litumike kwa mazishi yake. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...