President Jakaya Mrisho Kikwete speaks last night at the launching ceremony of the Presidential Award on the Extractive Industry Corporate Social Responsibility and Empowerment held at the Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es salaam.
President Jakaya Mrisho kikwete greets the chairman of Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI), Judge Mark Bomani (rtd) last night at the launching ceremony of the Presidential Award on the Extractive Industry Corporate Social Responsibility and Empowerment held at the Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es salaam. Looking on is ambassador Juma Mwapachu.
President Jakaya Mrisho Kikwete arrives last night at the launching ceremony of the Presidential Award on the Extractive Industry Corporate Social Responsibility and Empowerment held at the Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es salaam. Right is the Minister for minerals and Energy Mr William Ngeleja and left is the Dar es salaam Regional Commissioner,Mr. Said Meck Sadick.
President Jakaya Mrisho Kikwete arrives last night at the launching ceremony of the Presidential Award on the Extractive Industry Corporate Social Responsibility and Empowerment held at the Kilimanjaro Hyatt Regency hotel in Dar es salaam. Right is the British High Commissioner to Tanzania Ms Diane-Louise Corner, second left is the Minister for minerals and Energy Mr William Ngeleja and far left is the Dar es salaam Regional Commissioner,Mr.Said Meck Sadick.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Idea ya Prime Minister wa Malaysia hiyo ! hila safi at list sasa tuna copy vitu vya kuwa motivate watanzania!

    mdau Paris

    ReplyDelete
  2. Nimelipenda hili vazi la taifa, wallah!!

    ReplyDelete
  3. hiyo tuzo haina jina au tafsiri ya kiswahili?

    ReplyDelete
  4. Muhidin,

    Yaani leo leo nilikuwa ninawaza juu ya kuandika The Mess of Corporate Social Responsibility and Celebrity Social Responsibility in Tanzania. Halafu naingia humu nakutana na hii habari.

    Ukipata nafasi tafuta BBC Focus on Africa Magazine toleo la January hadi March 2012 kuna mjadala mzuri sana juu ya hili suala la Corporate Social Responsibility.

    Mdau, Helsinki, Finland.

    ReplyDelete
  5. Hili ndio vazi la taifa tarajiwa kwa akinababa na akinamama?

    ReplyDelete
  6. Mjadala juu ya VAZI LA TAIFA umehitimishwa!! Ndo lenyewe!!!

    ReplyDelete
  7. Kwa kuongeza tu kwenye vazi la taifa hizo pindo za shati au hilo gauni la huyo mama kwenye pindo zake tunaweza kudarizi vivutio vyetu kama wanyama,samaki,wadudu,ndege yaani vibwagizo tunavyo vingi tu.

    ReplyDelete
  8. Mwanamke aliyefaa vazi la Taifa, katika picha ya tatu kutoka juu, Yupo nyuma mkono wa kushoto wa Rais Kikwete ni nani? Asanteni wadau

    ReplyDelete
  9. Hilo vazi la kutarizi huu mshono kuweka vivutio vyetu, Kama Wanyama,samaki,wadudu,ndege, vibwagizo Tunavyo vingi Kama ulivyosema ndugu annoy WA 02:50 PM. hapana Hata kidogo, utaaribu mshono, inatoka fresh hivihivi na bendera kufanya kuwa vazi la taifa kwa kina mama na kina baba
    Oneni jinsi jk na huyo dada walivyopendeza, mashallah

    ReplyDelete
  10. Naungana na Mdau Mar 01,01:50:00AM 2012.. VAZI LIWEKWE VIVUTIO BILA KUSAHAU MLIMA KILIMANJARO

    ReplyDelete
  11. this is it,vazi la Taifa.Mh. and the lady look very smart.I like JK's pose ("hands in thy pockets"!!)

    ReplyDelete
  12. Michuzi hebu tuelimishe huyu dada alievaa vazi la taifa ni kiongozi gani maana hujamtaja jina wala wadhifa wake maana tumemwona amekaa meza kuu atakuwa mtu mkubwa.....

    ReplyDelete
  13. kama hili ndo vazi la taifa basi sayansi mliyosoma wala haijawasaidia kitu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...