Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mh! hata uelekeze vp lazima niende kw jirani anisaidie kufunga.

    ReplyDelete
  2. Asante Anko.Hii kitu imekuwa ikinitatiza sana naamini kwa sasa nimeelewa.

    Ila hiyo ya kwanza upande wa juu kushoto naona haina mawasiliano na hizo zinazofuatia,itoe inachanganya.

    ReplyDelete
  3. Mbona inaonekana km rahisi hivyo?

    Huwa naona watu wanazungusha mara mbilimbili au ni staili ndo zinakuwa tofauti?

    ReplyDelete
  4. unatutisha ukizingatia makao makuu ya hii blog,ukitoa somo hili kwenye kwanza jamii jiandae kushtakiwa kwa kumsaidia mtu .........

    ReplyDelete
  5. TUNAMSHUKURU MDAU KWA SOMO LA KUFUNGA TAI.LAKINI TAI INA UPANDE WA NDANI NA WA NJE YAANI WENYE LEBO NA USIO NA LEBO.ANGETUONYESHA LEBO IKO WAPI ILI SOMO LAKE LIELEWEKE VIZURI.

    ReplyDelete
  6. Shukran kwa maaarifa haya!

    ReplyDelete
  7. UKOLONI!

    ReplyDelete
  8. Wale wanaodhalilisha kitanzi kwa kutembea kigogo kariakoo au kuanza kupayuka njiani wakijifanya wantangaza neno la bwana il hali jioni wanawahi mabondeni kupata machozi ya simba a.ka.a konyagi mwitu waache tabia hiyo. Kitanzi enzi zetu huongei sana kama ilivyo sasa, vitendo vinaongea badala yako.

    Mzee kijana
    Mburahati barafu

    ReplyDelete
  9. Asante Ankal, mimi ni single mum na nina mtoto wa kiume, huwa napata shida kuomba wababa wa watu wavalishe mwanangu tai. Thanx for darasa.

    ReplyDelete
  10. Washkaji wala msiangaike sana we kama unataka kujifunza kufunga tai mbona ni rahisi tu! ingia GOOGLE type how to tie a tie utapata majibu kibao na NI kwa njia ya video unachotakiwa kufanya shika tai yako mkononi then fuata maelekezo its simple. Mimi nimejifunza kupitia njia hii, na sio tu tai hata kama hujui kupaka makeups, kuvaa chupi, kupiga mswaki yaani chochote ambacho unaona kinakusumbua you can simply ask GOOGLE. Nawale wenye midomo zenge ulizeni namna ya kuaproshi mizigo mtaelekezwa.

    ReplyDelete
  11. Ni kawaida kwa Mabosi wa Kisasa kushindwa kufunga tai wao wenyewe wakiwategemea Madobi na Wazee wa zamani !

    Unaweza kukuta mtu akawa hata Meneja wa Benki akawa hajui kabisa kufunga tai mwenyewe !

    ReplyDelete
  12. Mimi zakwangu zilishamuharibia kazi dada wa kazi maana akizifungua kuzinyoosha mpaka nirudi samora kwa ramso kuzifunga yaani shukrani saaana mkuu!!!

    ReplyDelete
  13. Ahsantu Ankal, hii kitu ilikuwa inantatiza kidogo japo me c mtu wa kuuvuta.

    ReplyDelete
  14. Sh*t! Kumbe rahisi hivi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...