NI NYUMBA YA KISASA KABISA, IKO KITUNDA/KIPUNGUNI KARIBU NA MOSHI BAR. INA SEBULE YA KUPUMZIKA, SEHEMU YA KULIA CHAKULA, VYUMBA VITATU VYA KULALA, KIMOJA KIKIWA NA CHOO NA BAFU (MASTER BED ROOM) NA STOO.
IMEPIGWA PLASTER NJE NA NDANI, IMEWEKWA TILES PAMOJA, CEILING BOARD (QYPSUM), FRAME ZA MIRANGO NA MADIRISHA. BADO KUWEKWA MILANGO, MADIRISHA NA RANGI TU.
BEI NI MAELEWANO.
WASILIANA NA PAULO KWA NAMBA 0715634825, AU 0755634825
please send more pictures of the house in and out to email freewares@abv.bg
ReplyDeleteMheshimiwa Maige, haya sasa. Nyumba nyingine hiyo kanunue. Inauzwa USD 700, 000= tu.
ReplyDeleteMoshi Bar unaingilia njia ya Mombasa wakati Kipunguni ipo karibu na Banana karibu kabisa na jengo la Mamlaka ya Hali ya Hewa. Maeneo haya hayajakaribiana kabisa. Mtoa tangazo anapaswa kufanya utafiti na kutoa maelekezo sahihi.
ReplyDeleteUnauza hiyo Paulo tena bila presha.Sema hiyo hatua ilikofikia sasa hapo ndipo kuna 'mchezo mtamu'..Finishing.Kama vipi weka na JPEG ya ramani badala ya kutoa maelezo marefu(Ushauri tu siyo lazima)
ReplyDeleteDavid V