THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Rais Kikwete afungua semina ya APRM kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo asubuhi

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua semina ya Africa Peer Review Mechanism(APRM) kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya  CCM taifa katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.
Baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa wakihudhuria semina maalumu ya APRM iliyofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi(Picha na Freddy Maro).